RwandAir Bankrupting Rwanda

RwandAir Bankrupting Rwanda

Fitna za Kenya Airways ili waendelee ku-dominate airspace ya East Africa. Hatutakubali kuendelea kuwa wateja wa kudumu wa KQ. Tumeanza local routes na tutapenya mpaka Sydney mpka Pariii
Ule mgogoro was kuzuia Tanzania Tour operator kupeleka watalii Jomo Kenyatta Airport uliisha dakika sifuri baada ya Tanzania kuzuia safari nyingi za KQ kutua Dar
 
KQ kwa Dr. Jiwe (PhD) andikeni maumivu. Kutopewa work permit Bi. Mulinge ni trailer tu.
 
au ni mbinu ili nchi hizi zisiwe na ndege na hivyo RwandaAir ibaki bila mpinzani? JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Tumetupiwa chambo.
Huu sijui uzi wa ngapi kuhusu story moja tu.

Shilingi ina pande mbili. Hili laweza kuwa kweli au uongo. Uongo kwa maana ya kutengenezwa ili Tanzania na Uganda tusiwe na Airlines na RwandAir ipanuke zaidi kuhudumia nchi zetu. Akili za Kagame, anazijua mwenyewe.

Hawezi kushindana na KQ au Ethiopian. Karata yake yaweza kuwa hiyo. Kama Tanzania na Uganda zikiwa na mashirika yake imara, RwandAir haina chembe ya nafasi.
Wee jamaa unaona mbali sana.. sijui kama kuna watu watakao kuelewa, huyo mwandika makala ni propagandalist wa Rwanda naona vijana wa ufipa wamesha cheza ngoma yake....

Wanacho kifanya rwanda ni kupambana na sisi kwenye biashara ya usafiri wa anga ila wamekuja kivingine, wanataka kutuaminisha wanapata hasara na sisi tukate tamaa na shirika letu.. Kama Rwanda wanapata hasara kwanini walienda kwa wakoloni kuwaomba watumie airspace yetu....

DdfHKE6UwAEngPn.jpg:small
 
Biashara za usafiri wa anga ni ngumu sana, mtu ukingia kichwa kichwa tunaweza kupata matatizo makubwa sana, sitaki kulisema vibaya Taifa langu lakini ukweli ni kwamba sisi kusema kweli hatuna uzoefu wa kuendesha a successful biashara ya usafiri wa anga - tukubali ukweli huo, kama Mataifa ya Ulaya pamoja na USA wanaona kuna umuhimu wa kuunganisha baadhi ya mashirika yao ya ndege baada ya kugundua kwamba going unakuwa taugh wakiwa Shirika moja moja ushindani unakuwa mkubwa sana.

Mifano mingi ya kudhilisha ukweli huo tunayo sana - chukulia shirika la South Africa Airways je, hivi sasa lipo katika hali gani kifedha, je, Kenya Airways yenye assets chungu mzima hivi sasa hikoje kifedha - hali sio nzuri hata kidogo, nisijue wenzetu wa West Africa - bottom line is: JPJM anapashwa kuwa makini katika jambo hili, najua ana nia njema sana na Taifa letu lakini tukubali kwamba biashara ya usafiri wa anga sio lelemama.

Ushauri wangu: Viongozi wa Rwanda, Burundi,Uganda,Tanzania na possibly Sudan Kusini wakae chini wafanye mazungumzo ya kuunganishwla resources zao ili waunde Shirika moja la ndege kama ilivyo kuwa East Africa Airways - vinginevyo tutapata wakati ngumu kuendesha biashara hii on our own - ni ngumu mno - lakini Waswahili tulivyo wabishi watamzuga JPJM kwamba Watanzania tuna uwezo mkubwa wa kuendesha biashara ya anga - wakati wanajua fika kwamba hiyo si kweli hata kidogo.
 
Ndege kwetu sisi ni hasara.hi biashara waachie mashirika makubwa yenye uzoefu wa mda mwngi km ethiopia kenya sa emirates qatar sisi tuwape route tu na c vinginevyo.cku tukiwa nauwezo tutafanya hyo biashara kwasasa barabara za lami na reli ndyo ya muhimu.
Duh anyway niheshimu mawazo yako.
Inawezekana una point ya msingi ila umeshindwa kuipangilia vizuri. Uzoefu kwenye biashara inaanzia wapi au lini?? Utapataje uzoefu kwenye biashara usiyowahi kuifanya??
Unataka kusema Kenya na Ethiopia zinafanya biashara ya ndege zikiwa na barabara za lami sehemu zote za nchi zao ??
 
Biashara za usafiri wa anga ni ngumu sana, mtu ukingia kichwa kichwa tunaweza kupata matatizo makubwa sana, sitaki kulisema vibaya Taifa langu lakini ukweli ni kwamba sisi kusema kweli hatuna uzoefu wa kuendesha a successful biashara ya usafiri wa anga - tukubali ukweli huo, kama Mataifa ya Ulaya pamoja na USA wanaona kuna umuhimu wa kuunganisha baadhi ya mashirika yao ya ndege baada ya kugundua kwamba going unakuwa taugh wakiwa Shirika moja moja ushindani unakuwa mkubwa sana.

Mifano mingi ya kudhilisha ukweli huo tunayo sana - chukulia shirika la South Africa Airways je, hivi sasa lipo katika hali gani kifedha, je, Kenya Airways yenye assets chungu mzima hivi sasa hikoje kifedha - hali sio nzuri hata kidogo, nisijue wenzetu wa West Africa - bottom line is: JPJM anapashwa kuwa makini katika jambo hili, najua ana nia njema sana na Taifa letu lakini tukubali kwamba biashara ya usafiri wa anga sio lelemama.

Ushauri wangu: Viongozi wa Rwanda, Burundi,Uganda,Tanzania na possibly Sudan Kusini wakae chini wafanye mazungumzo ya kuunganishwla resources zao ili waunde Shirika moja la ndege kama ilivyo kuwa East Africa Airways - vinginevyo tutapata wakati ngumu kuendesha biashara hii on our own - ni ngumu mno - lakini Waswahili tulivyo wabishi watamzuga JPJM kwamba Watanzania tuna uwezo mkubwa wa kuendesha biashara ya anga - wakati wanajua fika kwamba hiyo si kweli hata kidogo.
KQ na South African Airways, issue yao ni uendeshaji mbovu na zaidi ni rushwa tu. Kwa nini Ethiopian hawapati hasara miaka mingi? Hata kuwe na njaa Ethiopia, shirika lao kamwe haliyumbi. Jibu ni moja tu. Sound Management without interference from from the usually corrupt politicians.
 
Wee jamaa unaona mbali sana.. sijui kama kuna watu watakao kuelewa, huyo mwandika makala ni propagandalist wa Rwanda naona vijana wa ufipa wamesha cheza ngoma yake....

Wanacho kifanya rwanda ni kupambana na sisi kwenye biashara ya usafiri wa anga ila wamekuja kivingine, wanataka kutuaminisha wanapata hasara na sisi tukate tamaa na shirika letu.. Kama Rwanda wanapata hasara kwanini walienda kwa wakoloni kuwaomba watumie airspace yetu....

DdfHKE6UwAEngPn.jpg:small
Ungejua, hata hilo wazo la kununua hizo bombardier limetokea Rwanda, ungenyamaza tu usingeropoka ropoka humu.
 
Issue ya ndege ni ngumu lakini kwa Tanzania ina fursa kibao katika biashara ya ndege

Tatizo ni usimamizi na utayari na baada ya Magufuli wajao itakuwaje

Katika domestic route ,Fast jet alikuwa anapiga bao sana , Prevision air hasogei , lakini baada ya ATCL kuja wamekuwa washindan wakubwa na sisi wasafiri Mara nyingi tunawapa ushauri kuwa waendeshe shirika kibiashara ,kiushindani na sio kiserikali , angalau wanachukua ushauri wetu kupitia kwa mawakala wa Ticket n.k

Na tunaona wanafanya vizuri , Tanzania ina nafasi kubwa ya kufanya vizuri ,huwezi kupanua JNIA alafu usiwe na ndege
 
Aibu ya karne hii. Mtu anaye jinasibu kutetea wanyonge kutumbukiza mabilioni kwenye biashara kimeo. Si angeelekeza mabilioni kwenye kilimo waliko wanyonge wengi ?

Pia, biashara yoyote ni uzoefu. Wenye uzoefu Kama wanashindwa, sisi tutaweza?
 
tulikuwa na pa kujifunza. Kenya, Rwanda, afrika kusini na kampuni ndogo za ndani. Miaka 20,30 ijayo magu atakuwa na lipi la kuongea juu ya uwekezaji huu?
 
Aibu ya karne hii. Mtu anaye jinasibu kutetea wanyonge kutumbukiza mabilioni kwenye biashara kimeo. Si angeelekeza mabilioni kwenye kilimo waliko wanyonge wengi ?

Pia, biashara yoyote ni uzoefu. Wenye uzoefu Kama wanashindwa, sisi tutaweza?
Mkuu huko kwenye kilimo wakijikomboa wengi na huo unyonge yeye atawaongoza akina nani sasa?
 
uzuri wahusika wameona,ila Mwenyekiti wa bodi ya ATCL ni mshikaji wake sana baba yetu sasa sijui kama anajua hizi figisu,shida ni wenye akili wanatemwa kisa sio wenzetu (makada) ona CEO wa TTCL unajua ametokea wapi?nguo za kijani
 
baada ya kutua airbus mpya mbili mwaka huu vijana wa ufipa watahamia chini ya ardhi
 
Back
Top Bottom