anjo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2009
- 299
- 97
Taarifa za kuaminika ni kuwa Rwanda imewarejesha watanzania 77 waliopelekwa kama wahamiaji haramu.
Watu hao wamepokelewa mpakani Rusumo na maafisa husika wa zoezi KIMBUNGA.
Kwa hili nafikiri tutajikuta tunaishi na watu ambao tumewaita wahamiaji haramu na itatuletea chuki isiyo ya lazima.
Tuwaombe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwa makini katika zoezi hili. Asiachwe mhamiaji haramu na asipelekwe ambaye siye kama ilivyoonekana leo Rusumo.
Anjo