Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Akili kubwaKagame anaipenda nchi inaifanya kama familia yupo radhi aibe watoto wale chakula. Viongozi wa Tanzania wanaipenda nchi kama shamba,wapo radhi wavune waende kuuza sokoni