Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonekana kuchukua sura mpya na ambayo inaanza kutia wasiwasi baada ya Rwanda kutishia kuchukua hatua za kijeshi endapo DRC itaendelea kurusha mabomu kwenye ardhi yake. Rwanda imeyasema hayo baada ya mabomu kumi kuanguka nchini Rwanda mfululizo na kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa

source DW(KISWAHILI)

Bila shaka kawaambia M23 warushe mabomu kwake na ionekane ni askari wa DRC ili apate sababu ya kuingia huko. Asisahau kuna askari 3,000 wa Tz na South Africa na ikibdi SADC yote hasa wanaume wa Angola na Zimbabwe wanaweza kuingia huko
 
mabomu kuangukia nchi ya mwenzako huo ni uchokozi! Ni vema kuheshimu mipaka ya mwenzako labda kama ni sababu ya kutaka kupima maamuzi ya Rwanda!
Mwambie Kagame wako aachane ya ushali wa kijinga,mwaka 1994 yeye na kikundi chake cha RPF waliamua kutumia njia ya mkato kumpindua Juvenal Habyehinama kwa kumua na matokeo yake yeye na watutsi wenzake walikiona cha moto.Sasa anataka kuchokoza tena watu waliolala,safari hii inaweza ikawa mwisho wa yeye na kikundi chake!
 
Bila shaka kawaambia M23 warushe mabomu kwake na ionekane ni askari wa DRC ili apate sababu ya kuingia huko. Asisahau kuna askari 3,000 wa Tz na South Africa na ikibdi SADC yote hasa wanaume wa Angola na Zimbabwe wanaweza kuingia huko
ahahahahaa,angola,zimbabwe,tz,DRC,south africa,mimi sina lakuongea lakini dunia itapigwa butwaaaaaaaaaaaa,mimi yangu macho.
 
Natumai hawatafanya makosa hayo, vinginevyo sasa dunia inajua ukorofi huko wapi.
Unapotoa hoja kuwa na fikra kidogo hivi kama ni kweli mabomu yamerushwa ndani ya ardhi ya Rwanda kutoka DRC hapo mchokozi ni nani? na tukumbuke Idd amin alianza kuishambulia Tanzania kwa mbinu za kichokozi kama hizo mwisho wa siku akaingiza majeshi kabisa na kuua watanzania wengi kule Kagera kama ni kweli wamerusha mabomu ni vema Rwanda nayo ikajihami na uvamizi huo.
 
Bila shaka kawaambia M23 warushe mabomu kwake na ionekane ni askari wa DRC ili apate sababu ya kuingia huko. Asisahau kuna askari 3,000 wa Tz na South Africa na ikibdi SADC yote hasa wanaume wa Angola na Zimbabwe wanaweza kuingia huko

Mbona majeshi yatanzania ndio yanatumia mizinga congo! hiyo inajulikana,subirini jamaa wakizama congo mtausikia mziki wao,mnasema m 23 inasaidiwa na rwanda,hamujui mziki wao,mkisikia wameingia hakutakua cha angola,zimbabwe,drc,fdlr,tz yani ni kiboko mbele kwa mbele,waache waendelee kuchokoza.
 
jamaa anajirushia mabomu ili apate sababu, ahahahahahahahaha

Mawazo hayo hayana tofauti na mawazo na maneno ya CCM juu ya tukio la Soweto hivi kuna uwezekano kweli ukajirishia mabomu na kuua raia wako? hayo ni mawazo ya kipuuzi
 
Kwa wale wanaokumbuka vita ya kumpiga nduli idd amini, ilifikia hatua mizinga ya tanzania inapiga vijiji vya Sudani vilivyompakani na uganda. the same, kama vita inapiganwa mpakani is likely bomu likavuka mpaka kwa bahati mbaya na kupiga nchi jirani, lakini kwa kesi ya kagame ni tofauti yeye anatafuta sababu ya kuingiza majeshi yake Kusaidia M23 maana ameshaona maji yapo shingoni na madini ya coltan hatayapata tena.
 
kama m23 wameingia nchini kwake inamaana wamevamia nchi yake hivyo ilifaa awapige au wajisalimishe. mwisho wa kagame umwfika kinchi kidogo hakiwezi kusumbua giant east africa, mtu kakaribishwa ndo anataka kututawala wote
 
Rwanda wachumba tuu.
 
That's tactic

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mawazo hayo hayana tofauti na mawazo na maneno ya CCM juu ya tukio la Soweto hivi kuna uwezekano kweli ukajirishia mabomu na kuua raia wako? hayo ni mawazo ya kipuuzi
tulia wee kiboga mnyarwanda, tukio la soweto huwezi kulinganisha na hilo la Rwanda,
 
==>> Thubutu....karwanda tunapiga na kudandia juu...kagame KACHANGANYIKIWA....TUNAPIGA HADI DUNIA ITASHANGAA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…