Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Tumezungumza na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Tzeba, amethibitisha kuwa Serikali ya Rwanda imeruhusu malori ya Tanzania yaendelee na safari kwa kulipa dola 152 badala ya 500 zilizoanza kutozwa jana. Kasema Waziri wa Fedha wa Rwanda, aitwaye Gatete, na wa Uchukuzi, Rwakabamba, wameridhia tozo ya dola 152 iendelee.
Source: mimi mwenyewe-dodoma
na kasema ilikuwa imewekwa kwa sababu gani?
Kasema ofisa mmoja katika Wizara ya Fedha ya Rwanda ndiye aliyezomoka na kutangaza mabadiliko hayo kwa mdomo. Waziri wa Fedha Rwanda alipoulizwa na mwenzake wa Tanzania, alishituka, na akaahidi kulipatia ufumbuzi. Tzeba kasema ndani ya dakika 30 jibu likawa limepatikana kuwa agizo la ofisa wa Rwanda halikuwa halali.
Muhimu: Nadhani Rwanda wanajua bila Tanzania hawana maisha. Huo ndiyo ukweli. Rais Kagame asituvuruge uhusiano wa nchi hizi mbili.
Ritz mpigie simu Tume ya Katiba kuna mtu anatumia ID yake humu JF!!!Kichwa cha habari kimekaa kishabiki!
Pia unajua makubaliano yamefikiwaje? fuatilia vyema utajua TZ imepiga magoti na kupoteza baadhi ya haki zake kufikia maamuzi hayo.
Kasema ofisa mmoja katika Wizara ya Fedha ya Rwanda ndiye aliyezomoka na kutangaza mabadiliko hayo kwa mdomo. Waziri wa Fedha Rwanda alipoulizwa na mwenzake wa Tanzania, alishituka, na akaahidi kulipatia ufumbuzi. Tzeba kasema ndani ya dakika 30 jibu likawa limepatikana kuwa agizo la ofisa wa Rwanda halikuwa halali.
Muhimu: Nadhani Rwanda wanajua bila Tanzania hawana maisha. Huo ndiyo ukweli. Rais Kagame asituvuruge uhusiano wa nchi hizi mbili.
Kichwa cha habari kimekaa kishabiki!
Pia unajua makubaliano yamefikiwaje? fuatilia vyema utajua TZ imepiga magoti na kupoteza baadhi ya haki zake kufikia maamuzi hayo.
Nina wasiwasi huyu anaweza kuwa murutongore au Balali.
Mkuu hebu fafanua vizuri, je hayo makubaliano hayahusu kusitishwa kwa kuwafurusha wahamiaji haramu?Kichwa cha habari kimekaa kishabiki!
Pia unajua makubaliano yamefikiwaje? fuatilia vyema utajua TZ imepiga magoti na kupoteza baadhi ya haki zake kufikia maamuzi hayo.
Mkuu hebu fafanua vizuri, je hayo makubaliano hayahusu kusitishwa kwa kuwafurusha wahamiaji haramu?
Naomba ni jaribu kuotea: Wamegundua mizigo mingi iliyozuiliwa ni ya wanyarwanda wenzao.Je ametoa sababu ya ongezeko la ghafla? Nini kimebadili msimamo wao mkuu?
Hehee kumbe tishio letu limeigusa Rwanda,
Tukiwa kama taifa lenye kura ya Veto tunayo kila sababu ya kuwa na karipio kwa yeyote EAC
Tulitoa saa 24 za angamizo kwa Kagame