Rwanda yakipokea Kiswahili rasmi, Tanzania tunasubiri nini kukitumia kufundishia?

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,419
804
Wabunge nchini Rwanda kwa kauli moja wameridhia kupitisha muswada wa sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa hilo. source ITV

upload_2017-2-9_14-59-40.png

*Nini maoni yako kuhusu kukua na kusambaa kwa kiswahili chetu
*Una maoni gani kuhusu jiitihada za sasa za kukifanya Kiswahili kua lugha ya kufundishia tkt level zote za elimu nchini kwetu, Tanzania.
 
Mkuu, kutumia Lugha ya Kiswahili kufundishia si kitu rahisi,inabidi nchi ijitosheleze kweli kiuchumi ili iweze hata kuajiri wahitimu yenyewe. Huwa mnadanganyana kuhusu China, Russia, German n.k kutumia lugha zao, tazama uchumi wao kwanza.

Unaweza kudhani ni rahisi ila fikiria, suala la kuhamia Dodoma tu imekua siasa mpaka wale jamaa wanahamia majengo ya chuo,

Tatizo kubwa la Tanzania Siasa inachukua nafasi kubwa katika kila jambo, Chama tawala hupambana na uinzani badala ya kuleta maendeleo huku wapumbavu wakiendelea kuwa mtajia mkubwa.
 
Rwanda wana Kifaransa, Wanajifunza Kiingereza sasa wamekipokea Kiswahili.
Sisi unataka tutumie Kiswahili kila mahali ili tuongee na Nani?
hata kiingereza kitafundisha pia. ila kitakua somo kama masomo mengine kama kifasansa, kiarabu na kichina; hivyo hilo la mawasiliano halitakua tatizo.

sisi tunangalia lugha ya kufundishia ambayo itatuwezesha kua na kizazi kunachoelewa mambo, na sio kilichokariri mambo.
 
utakua hujui ndio maana huna maelezo. nakupisha uende zako waje wenye kujua mambo.
utakuwa hujuwi kiingereza wewe :D :D

ufe tu, usilete ndoto zako za kiswahili hapa.

yani dunia nzima iongee kiingereza halafu wewe ung'ang'ane na likiswahili tu...

kiswahili tunakijua, tukijue na kiingereza pia.

kama hutaki, nenda kwa rasi simba usitubwatukie hapa.
 
Mkuu, kutumia Lugha ya Kiswahili kufundishia si kitu rahisi,inabidi nchi ijitosheleze kweli kiuchumi ili iweze hata kuajiri wahitimu yenyewe. Huwa mnadanganyana kuhusu China, Russia, German n.k kutumia lugha zao, tazama uchumi wao kwanza.
sasa kama lengo la kufundishwa ka kiingereza ni kusaida kupata ajira, mbona sasa hivi wanafunzi wanafundhishwa kwa kuiingereza na wengi wako mtaani na hawana ajira? tena wanaambiwa wajiajiri ilihali hata masomo yao walikua wanakariri tu. mimi naona kuna haja ya kuwafanya wanafunzi waelewe masomo ili hayo hata kuko kujiajiri kuwe rahisi kwao. lugha ya kufundishia itayomuwezesha mwanafunzi kuyaelewa masomo yake vizuri ni lugha mabayo anaimudu, kiswahili. tumeshakiona kiingereza kinaafanya wanafunzi wakariri badala ya kuelewa.

Unaweza kudhani ni rahisi ila fikiria, suala la kuhamia Dodoma tu imekua siasa mpaka wale jamaa wanahamia majengo ya chuo,
sasa hii pint ni point ya kisiasa. hii 'point' haelezei hata urahisi wa kuelewa kwa mwanafunzi ktk masomo yake kama akitumia lugha fulani kujifunzia masomo yake.
 
utakuwa hujuwi kiingereza wewe :D :D

ufe tu, usilete ndoto zako za kiswahili hapa.

yani dunia nzima iongee kiingereza halafu wewe ung'ang'ane na likiswahili tu...

kiswahili tunakijua, tukijue na kiingereza pia.

kama hutaki, nenda kwa rasi simba usitubwatukie hapa.
'piont' zako hazielezei urahisi wa mwanafunzi kuelewa masomo yake kama akitumia kiswahili au kiingereza. tunahitaji kuandaa kizazi kinachoelewa, na sio kilichokariri. madhara ya kukariri ndio haya yanatufanya tuzidi kua vibarua kila kukicha. nadhani ww unafurahia kua kibarua wa mzungu, badala ya kua mtaalamu kamili.
 
Wabunge nchini Rwanda kwa kauli moja wameridhia kupitisha muswada wa sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa hilo. source ITV

View attachment 468844

*Nini maoni yako kuhusu kukua na kusambaa kwa kiswahili chetu
*Una maoni gani kuhusu jiitihada za sasa za kukifanya Kiswahili kua lugha ya kufundishia tkt level zote za elimu nchini kwetu, Tanzania.
Kwani na Rwanda wanakitumia kufundishia? Me nadhan si lazima sana kutumia kiswahili kufundishia, kinavyotumika sasa inatosha kabisaaaa
 
sawa naunga mkono hoja, ila wanangu wacha tuu niendelee kula bamia ila wakasome feza bwana.
 
hata kiingereza kitafundisha pia. ila kitakua somo kama masomo mengine kama kifasansa, kiarabu na kichina.
hivyo kwa hilo la mawasiliano halina tatizo.
sisi tunangalia lugha ya kufundishia ambayo itatuwezesha kua na kizazi kunaoelewa mambo, na sio kilichokariri mambo.
Kiswahili kingekuwa kizuri Shule za Msingi zingefanya vizuri sana lakini mara ya mwisho kuangalia bado za English Media zilikuwa top 10
 
Kiswahili siimchezo bora kibaki kutumika huku uswahilini kuliko kwenda kupasua vichwa vywatoto namisamiati yakutisha,
 
Kwani na Rwanda wanakitumia kufundishia? Me nadhan si lazima sana kutumia kiswahili kufundishia, kinavyotumika sasa inatosha kabisaaaa
unadhani kiswahili kikitumika kufundishia kitaleta madhara gani ktk kumfanya mwanafuzi kuelewa masomo yake?

kwa upande wangu naona madhara kenye kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia, kwani humfanya mwanafunzi akariri badala ya kuelewa.
 
Basi bora kusoma/kufundishwa kwa kiinglish then unatqfta kamusi ya kiinglish kiswahili unayatafusiri kwa kiswazi
 
Mkuu, kutumia Lugha ya Kiswahili kufundishia si kitu rahisi,inabidi nchi ijitosheleze kweli kiuchumi ili iweze hata kuajiri wahitimu yenyewe. Huwa mnadanganyana kuhusu China, Russia, German n.k kutumia lugha zao, tazama uchumi wao kwanza.

Unaweza kudhani ni rahisi ila fikiria, suala la kuhamia Dodoma tu imekua siasa mpaka wale jamaa wanahamia majengo ya chuo,

Tatizo kubwa la Tanzania Siasa inachukua nafasi kubwa katika kila jambo, Chama tawala hupambana na uinzani badala ya kuleta maendeleo huku wapumbavu wakiendelea kuwa mtajia mkubwa.
ushabiki ndo mwingi mkuu, wengi hawajui waendako wala watokako
 
Kwa akili zako finyu huwezi kuelewa. Hata hicho Kiswahili chenyewe hujui kukiandika. BADIRI ndiyo nini!? Mwangalie huyu Magufuli hata kusafiri nchi za nje anaogopa kwa sababu hana uwezo wa kuwasiliana na wenzie wa nchi nyingine. Ni ujinga tena wa hali ya juu kutumia Kiswahili kufundishia mashuleni. Inabidi kupambana na nchi mbali mbali duniani ikiwemo za majirani zetu. Na kamwe huwezi kupambana wakati unafundisha kwa Kiswahili. Tutabaki nyuma milele.

UONGO, BADIRI FIKRA MKUU
 
Kiswahili kingekuwa kizuri Shule za Msingi zingefanya vizuri sana lakini mara ya mwisho kuangalia bado za English Media zilikuwa top 10
hapo ktk kufauru/kufeli kunasababishwa na mambo mengi nje ya lugha ya kufundhsia pia, japo lugha ya kufundishia nayo inachangia asilimia yake. linganisha mazingira ya kujifunzia, idadi ya walimu, nyenzo za kufundishia na kujifunzia, morali za walimu, n.k. najua utaona utofauti mkubwa sana.
utofauti wa ufauru wa shule hizo umezotaja, hautofautiani na utofauti wa ufauru kati ya feza boys na zile shule zetu za sogea tukae. hata hivyo, si feza boyz wala shule zetu za sogea tukae, lugha ni tatizo kwa wote. hakuna aliye epuka kukariri ili apate maksi. kwanini tuendelee kuwakaririsha watoto, ilihali kuna uwezekano wa wao kuelewa.
 
Back
Top Bottom