rwanda wapitisha sheria ya utoaji mimba

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
nimeshikw ana kigugumizi leo nilipoona itv habari rwanda wamekubali sheria ya utoaji mimba kwa minajili
1.kama mhusika alibakwa na akizaliwa mtoto atokuwa na uwezo wa kumhudumia
2.kama alibeba mimba za mabosi kwa minajili ya kupata kazi na ana uhakika awezi kuitunza hivyo inachukuliwa alibeba mimba sababu ya shida
na zingine nyingi kwa habari zaidi nunua

NIPASHE KESHO
 
bora haoi wameamua hivyo kwani hapa kwetu haijapitisha lakini mtaani mwenye kutaka kutoa anatoa bila tatizo lolote
 
Kagame hana unafiki. Twanga pepeta. Ataokoa wengi japo kutoa Mimba kwa imani zetu wengi ni sawa na uuaji. Dhambi!
 
Back
Top Bottom