Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Sipendi makelele yoyote, ila bora magari maana ni watu wanawhi kwenda kuhusika kwenye ujenzi wa taifa, ila mtu kukurupuka na likanzu na kuongea kiarabu kwenye spika....hehehehe hapana...


Kama kelele za magari na mbwa wabwekao mnaowafuga majumbani mwenu hazikusumbueni vipi "kelele" za adhana inayodumu dk 1 na "kanzu" yangu ikusumbueni ??!!, ndio maana nasema ni husuda na chuki tu ndiyo inayokusumbueni.

"By hooks or crooks never can you stop the fastest growing religion on Earth"---- mtabakia kupiga blah blah tu while the religion is unstoppable whether you bar the Adhan or not.
 
Kuhusu kukumbusha watu muda wa ibada, hii haina relevancy kwa sasa, kwani watu kwa sasa wana saa na simu zenye alum etc.

Kwako haina hiyo unayoiita relevancy lakini kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu hatujaona wala haijaainishwa njia mbadala ya adhana, there is no any substitute for the Adhan call, kama ingelazimika kuwepo na njia mbadala basi mtume wetu mtukufu (saw) angeianisha njia hiyo na kwakuwa hajaiainisha njia nyingine basi hatuna excuse kushika any other way.

Kuhusu kujua msikiti kwa wageni sioni ufanisi wa hili, mtu anaweza kuuliza nyumba za ibada zilipo, kuna google map pia.

Ndio kuuliza ni njia.moja ya kujua nyumba ya ibada lakini Adhana nayo ni njia bora zaidi kujua mahali ulipo msikiti, kuhusu google map sio kila msikiti utaonekana katika google map na sio kila mtu ni mtaalamu wa kutumia hizo smart devices isitoshe sio kila mtu anaweza kumiliki hizo devices za gharama hivyo utaona adhana bado inabakia kuwa the universal call for all muslims of all walks of life kwani uislamu ni dini inayochukua watu wa hali zote za maisha.

Kinachoendelea ndani ya majengo kinapaswa kubakia kwa waliopo huko.

Hapo nakuunga mkono na hilo ndilo fundisho la Uisilamu kwamba mara baada ya adhana kuimbwa na Waumini kukusanyika ndani ya msikiti kinachobaki ni humo ndani kufanya ibada bila kutumia Loud speaker kuwabughudhi watu waliopo nje.---- loud speaker ni kwa ajili adhana na matangazo mengine ya muhimu kwa jamii kama italazimu na sio kutumia loud speaker kurusha dua za ibada za humo msikitini.

Tena mipango miji wanapaswa kuhakikisha nyumba za ibada hazijengwi kwenye makazi ya watu.

Nyumba za ibada ni LAZIMA zijengwe kwenye makazi ya watu, nyumba ya ibada ni nyumba ya huduma ya kiroho kwa watu, kama maduka, hoteli, guest houses na lodges, bar nk, zinajengwa kwenye makazi ya watu ili huduma ziwe karibu na watu vipi nyumba za ibada kwanini zisijengwe karibu na makazi ya watu ??!!, ukipeleka nyumba za ibada mbali na watu basi watu watajenga bar nk na hivyo kumkaribisha shetani karibu na watu.

Ponder deeper.
 
Achana na adhana,Kuna wale wanapita saa 9 usiku wakiwa wanapiga ngoma na kuimba kipindi Cha ramadhani halafu wanaweza wakafika sehemu wakasimama muda mrefu mpaka wapewe sijui nini jamani wamejua kunitesa ramadhani hii aisee usiku wa kuamkia leo Kuna jirani yangu uvumilivu umeshinda wamepigizana kelele mpaka wakaondoka
[emoji23]

I am sorry for you

What if i told you, what they are doing it has nothing to do with ISLAM, actual it has no basis at all

Those are newly invented matters - misguidance
 
Kwani mnaposema "Allah akbar, Allah akbar...," kwenye vipazasauti huwa sala zetu mnazielekeza kwa wanadamu? Mnaabudu wanadamu ama wanyama ama kitu kingine? Mi nilifikiri sala zetu mnazielekeza kwa Mungu? Kama siyo, samahani basi.
Wewe kwe akili maji, vile vipaza sauti yala yanayotamkwa unajua anaambiwa Mungu.
 
Nimesoma coments karibu zote ila najiuliza kitu, huo upendo na mafundisho mnayohubiri uku mbona ni tofauti na maisha halisi? Kuna siku nilitembea natafuta chumba cha kupanga wakati huo nasoma NIT pale asee niliteseka sana kila nikifika kwenye nyumba ya watu wa dini fln naulizwa wew dini gani? Hamn huruma wala nini na mvua ilikuwa inaninyeshea balaa adi dalali nilikuwa naongozana nae akawa ananiambia tukifika nyumba fln sema wew ni dini hii 😁😁 , sasa ninapoona apa inahubiriwa nasaha njema tu yan sielew
 
Kama Rwanda sio nchi ya kiisilamu (sio n?chi ya kidini) iweje iingilie mambo ya dini kwa kukataza, "religious rites" za msingi??!!. Kumbuka Adhana haijaanza hivi karibuni bali imeanzishwa na mtume Muhammad (saw), nani sasa aje kumpinga Mtume ??!. Nasikia hata wachhungaji wamelazimisha wawe na shahada za theology ndipo wapewe ruhusa ya kutoa huduma za kiroho!!, Yesu alikuwa na degee ya theology ??, inaonekana kama Yesu angalikuwa mnyarwanda katika zama hizi akina Kagame ndio wangalikuwa mafarisayo wake.

Wewe ni mpingaji wa uisilamu tu, wala huna thamani yoyote kuliko Uhuru Kenyatta aliyeiheshimu Adhana ilipotolewa kule Dodoma wakati akihutubia.

Soma mwisho wa Iddi Amini alipoanza kuingilia uhuru wa dini nchini mwake, Mungu sio wa mchezo.
Idd Amin alikuwa anawabeba waislamu sana
 
Mimi nalaani kitendo cha mamlaka kuingilia mambo ya msingi ya dini yoyote, tuache dini na wanadini wafanye dini na wanasiasa wafanye siasa, tuache waumini waishi kwa harmony na tolerence bila kuvunja amani, mamlaka kuingilia mambo ya msingi katika dini ni KIZUNGUMKUTI (vicious cycle) kwani hatujui ni kitu gani kitafuata baada ya hapo, inawezekana mamlaka yakaanza kuwachagulia waumini viongozi au hata kuamua kupingana na maandiko ya badhi ya vitabu vya dini nk, hiyo ni hatari.
hawatambui kero wanazosababisha ktk jamii , wanaitumia dini km kinga yao , acha wakumbushwe
 
Nahao wageni anaowataka waje wakimbizi toka uingereza ni wakristo tu au wapagani
 
Bora walivyo katazwa.
Hivi Mungu gani huyo kila saa anaimbwa.

Allah Mkubwa, Allah Mkubwa, Allah Mkubwa.

Ndio nini sasa. Bora kwanye adhana mngekuwa mnaitana.
Waumini tuje kwenye swala, tuje kuswali.

Sasa mnavyo paga Mikelele Allah Mkubwa ndio mnamaanisha watu wafanye nini ?

Huo mkelele wa adhana hauna maana yoyote zaidi ya kulitaja Jina la mungu wenu bure.

Watu wa Torati walisha katazwa na Mungu wao.

Kumbukumbu la Torati 5:7
"Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Nyie mnao Uzza, Lutta na Manata.

"Kumbukumbu la Torati 5:8
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
Kumbukumbu la Torati 5:9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao",

Nyie mmechonga Jiwe Jeusi mmeliweka pale Maka ndani ya Alqaba mnalisujudia kila kukicha.

"Kumbukumbu la Torati 5:11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure."

Nyie kila dakika, Allah Mkubwa, Allah Mkubwa Allah Mkubwa.
Kama mmelogwa vile.

"Kumbukumbu la Torati 5:17
Usiue."
Nyie kila siku mnachinja watu eti wamemkejeri Mtume au Allah.
Nani aliwaambia muue kwa sababu hizo. Utasikia katuambia Allah.

Imeandikwa ktk Torati, usiue.


"Kumbukumbu la Torati 5:21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako."

Muhamadi kamtamani mke wa mtoto wake wa kufikia hadi kampora.
Eti ndio Nabii huyo. Nabii wa Allah.

"Kumbukumbu la Torati 5:18
Wala usizini."
Muhamadi kaanzisha ndoa ya Mutta ya siku moja, mbili au tatu kwa malipo.
Yeye anajipa haki ya kuchukua mwanamke yeyote wa mbele yake.

Ndio maana mwanamke mateka akamtilia sumu na kumwua shauri ya uroho wa Ngono.
Ninyi kawaahidi wanawake 72 mkijilipua kwa jina la Allah.

Allah na Muhammadi ni Wapinga Kristo dhahiri kabisa waache kumsingiza Dajar.
Kila alicho kiagiza Mungu wao wanakivunja.
 
"The Kagame downfall nears, let's wait and see".

The adhan is more than just calling muslims for prayer, it glorifies God, "Allah akbar" being part of the words found in the adhan means; God is great.

By stopping the adhan also means stopping the God glorification.
Pls for kiswahili brief also
 
Dunia sasa imestaharabika hivyo kwa rwanda kuzuia uharibifu wa mazingira wa sauti nafikiri dini zetu zinatakiwa ziendae na wakati wa sasa maana swali muhimu la kijiuliza ni: je adhana ni muhimu saidi ya SWALA ?
 
Udini unawasumbua sana,,,hebu jaribuni kupiga marufuku adhana muone kitakachowatokea,
 
Ukataze adhana uruhusu wenye mabaa wapige mziki watakavyo,laana hiyo.Adhana ya dakika mbili ina tatizo gani? Adhabu yake ipo na siyo muda mrefu
Em mwambieni allah afanye chap kwa haraka mnacheza nyie ohooo
 
Kitatokea nini sasa wewe na komwe lako

Jaribu kuzuia au kulalama pembeni, unadhani waislamu wamelala usingizi eti!!! Kama ni kidume kweli fanya hivyo, na sio kujivimbisha mitandaoni

Watu kama ninyi mnaotusumbua, enzi za ertugrul or Osman washawafyekelea mbali😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom