chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,824
- 3,846
Ebola ni ya miaka kibao, basi ingekuwa imeshaingia kitambo .bt tz sio Kama Congo mkuu.Hakuna cha kuimba wala Mama yake kuimba,nasikia ebola nayo inakuja kwa kasi kuja kumuumbua mtu!
Ebola ni ya miaka kibao, basi ingekuwa imeshaingia kitambo .bt tz sio Kama Congo mkuu.Hakuna cha kuimba wala Mama yake kuimba,nasikia ebola nayo inakuja kwa kasi kuja kumuumbua mtu!
inakata mapafu mdogomdogo.Na ile ya Madagascar ilikua na sumu gani?
Chanjo ya mrusi ndo imeperform vizuri kuliko zote.Chanjo ya Russia na China hata WHO hawa zizungumzi kabisa.Wao wanatizama za US,UK na Germany.
Yaani siasa za umagharibi mpaka kwenye chanjo
Punguza mahaba kakaRussia ni noma sana.Halafu wanaongoza kwenye kila kitu.Kwenye technologia yao ya vita ni balaa tupu!
Nimekuelewa sana ulichoongea lakini ukweli ni kwamba Russia kuna tech nyingi sana amefanya siri ambazo dunia haijui.Tofauti ya Marekani na Russia ni kwamba Marekani huwa anapenda kujianika sana ili aonekane kuwa ni noma na ndiyo maana huwa anaongoza ila Russia kuna technologia nyingi sana za kivita ameficha.Punguza mahaba kaka
Mpk sasa linapofka swala la tech za kivita marekani hana mpinzani kbs aisee
Fatilia matoleo yote ya silaha vita zkiwemo ndege ndo utagundua russia huwa anafanya kitu after marekani kufanya
Najua utaleta hoja za ma s400 hayo madude mpk sasa hayajapgana vita kamili zaid ya mbwembwe tu
Haikuwa chanjoNa ile ya Madagascar ilikua na sumu gani?
hivi ya billgate inaitwaje vile.
Lugha iliotumika mbona sio yao.😂😂View attachment 1703014
Hii ndo chanjo inayoaminika kwa sasa.
Chai hii. Ni muvi gani iyo niicheki. Najua sio real hata chembeNimekuelewa sana ulichoongea lakini ukweli ni kwamba Russia kuna tech nyingi sana amefanya siri ambazo dunia haijui.Tofauti ya Marekani na Russia ni kwamba Marekani huwa anapenda kujianika sana ili aonekane kuwa ni noma na ndiyo maana huwa anaongoza ila Russia kuna technologia nyingi sana za kivita ameficha.
Kuna siku katika black sea ndege ya kivita ya Russia iliisogelea manuari ya kivita ya marekani kisha manuari hiyo ya marekani ikatoa onyo kuwa ndege hiyo isisogelee karibu lakini kilichotokea ni kwamba ndege hiyo ya Russia iliizima mifumo yote ya umeme na mawasiliano ya manuari hiyo remotely kisha ikawa inaendelea kusogea karibu.Wanajeshi wa marekani walianza kurukia kwenye maji kuokoa uhai wao kwa sababu lilikuwa ni tukio la ajabu ambalo halikuwahi kutegemewa.Siku hiyo Russia alikuwa anataka kuonyesha tu kuwa yeye ni nani kwani baada ya kuzima mifumo yote ya umeme,mawasiliano,etc aliondoka zake.Wale wanajeshi wa Marekani waliomba kustaafu jeshi kuanzia siku hio.Mpaka leo hii marekani hajui kilitokea nini kwa sababu kilichofanyika kilikuwa ni impossible scenario.