Rwanda Vs Uganda nani atashinda Vita?

Rwanda inawez kuw mbele zaidi Kiteknolojia zaid ya uganda na Tz kwahyo tunaweza kuipa win
 
Kagame na M7 wote walikua msituni baada ya kutoka tz,wakizichapa dhidi ya jeshi la Uganda.uko Sweden imekaaje hiyo?
Familia ya M7 ilikua inaishi Sweden muda huo,so muda mwingi alikua anautumia huko.So hata wkt Kampala inakamatwa hakuwepo, aliyekua boss wa majeshi ya Uganda Gen. Tumwine nae hakuwepo pia alikua Nairobi Kenya kwny matibabu tangu 1983 mpk 1986 Kampala inatwaliwa,nchi ilikamatwa chini ya Deputy Army Commander Rwigyema (Munyarwanda).
 
Rwanda walitokea Uganda kwenda kuchukua nchi. Wamelelewa uko na hii sioni kama inaifanya wawe inferior kwa Uganda. Sisi tuliishikilia Uganda baada ya kumtoa Iddi Amin, bado Museveni huyo alitokea hapa na mafunzo alikuwa anapewa. Hii inatuongezea point gani kwenye medani tukikutana sasa.
Kwani nani hajui viwanja vya jeshi, kambi, viwanda, vituo vya umeme, madaraja, maghala na location muhimu zilipo. Sote tunajua New York, Fort Knocks, Andrews Airbase zilipo. Kwenye mapigano ni habari nyingine
 
😁😁😁 Sijaelewa hata ulichokiandika aisee.
 
Kitendo cha kukaa kule kwa miaka 20 na kutumia matrilioni ya dola bila ya mafanikio yoyote ndio kushindwa kwenyewe huko mkuu. Kitendo cha kupelekeshwa miaka yote hiyo na kuspend matrilioni kwa nchi ambzo umeziacha mbali mno kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi na kiushawishi sasa hiyo ndio defeat yenyewe bro.Don't mess with Afghans and Viatnamese
 
Watu wanaamuaga kubisha tu ili waonekane wajuaji mkuu.
 
Hakuna ya msingi
 
CMI wa miaka karibu 30 iliyopota... hakuna relevance na leo
Jamaa anachukulia jeshi kama kiwanja hakibadiliki. Six Days war ilitokea 1967 Israel akashinda within a week akipigana na Waarabu nchi nne, nyingine zilisaidia indirectly.
Mwaka 1972 Egypt na Syria pekee zikaanzisha vita tena. Hiyo vita ilikuwa tofauti kabisa kabisa ya 1967 wakati Israel inajua kila kitu kuhusu maadui zake. Tofauti ya miaka mitano ilileta mabadiliko makubwa.

Au kama vipi aangalie tofauti kati ya WW1 na WW2 ambazo zilipishana miaka 21. Tofauti kubwa mno hata allies wenyewe walibadilika. Ukitoka WW2 1945 njoo Cold War inaanza rasmi 1961 pale watu washabadilika kabisa. Miaka 30 kijeshi ni mingi kubaki na intelijensia ileile
 
Watu wanaongea sana.... they dont know the science, theory wala history of war.

Rwanda ana disantavage mbili kubwa sana

1. Size of the country

Kutoka border mpaka Kigali ni umbali mdogo sana kama 70km, in case of war, Uganda inaweza ikakaza na kuumia lakini ndani ya siku kadhaa wako Kigali. Watu wanafananisha Rwanda na Israel, wanasahau Israel ni kama jimbo la US, wana the best air defence systems dunia + on the best airforce.

2. Geoposition yake.

Rwanda ni LandLocked country.... upande wa DRC basically hakuna njia kutokana na umbali + uadui na DRC. Upande wa mashariki kuna TZ, Uganda ina-play karata zake, anapigwa pini. Kusini ana ugomvi na Burundi.

Rwanda imeweza sana media manipulation mpaka wanaonekana eti ni invincible, mpaka watu wanaamini Rwanda can defeat TZ; kumbe ni mayai tu
 
Kumbuka vita vya Kagera tuliponea chupuchupu, Rwanda itatandikwa kama mtoto mdogo.
Umeona, sema kipindi kile na sasa kuna utofauti kidogo. Idd Amin katika ile vita alikuwa kapiga mpaka maeneo ya Bukoba. Pale Kyaka bado kuna gofu la kanisa lilopigwa na wajomba wa UG.Ila kuna jambo ambalo nasikia katika vita inayohusisha taifa na taifa kwamba kabla ya vita kuna mikataba inasainiwa na moja ya mambo mnayokubaliana ni silaha ambazo zitatumika ila kama hili sio kweli basi Rwanda na udogo wao Mganda akizubaa anaweza pigwa kitu kizito
 
Nachokiona hapa ni Watusi Kujaribu Kujipa ujiko
Maneno mengi na Misifa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…