Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Mkuu nakuhakikishia likitokea la kutokea Kigali tunaichukua mapema sana tena kwa kikosi cha miguu cha Tabora tu.Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu
israel vs Arabs kwenye 6 days war nani alishinda? Baada ya hapo naleta majibuVikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.Bajeti zao za ulinzi zikoje
Zana za anga za kivita, ni nani anavyo vingi?Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.
Marekani hakushindwa Vita Vietnam,aliyeshindwa Vita Vietnam Ni Wanasiasa wa Marekani waliorudisha majeshi Nyuma ili waweze kuchaguliwa. Hata Afghanstan tunaambiwa Marekani Kashindwa Vita,Lakini aliyeshindwa Vita Afghanstan Ni Rais Joe Biden na Wala Sio Jeshi la Marekani. Jeshi la Marekani lilikuwa na uwezo wa kuendelea kuikalia Afghanstan hata kwa miaka mingine 20 endapo Wanasiasa wasingeliingiza Jeshi kwenye kampeni zao za Kisiasa za kutafuta Kura. Kwahiyo uwe unatofautisha vitu hivyo.Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.
Vietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.
Halafu kunakwenda kutoa huduma ya kwanza...alafu wakimbizi lazima watakuja Tanzania
Nani kakudanganya mu7 hajawekeza kwenye jeshi!kaangalie ndege zake za kivita tu hamna anaemiliki ukanda wote huu wa nchi za maziwa makuuVietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.
Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
Siwezi kubishana Sana khs Hilo,ingawa ukweli Ni kwamba hata Kampuni kubwa kubwa nyingi Rwanda Zina mkono wa jeshi kuanzia za kujenga mabarabara,za Maziwa na ma hotel etc.Vietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.
Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
Mkuu both teams to score GG inatoaVikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?