Rwanda: Vibali vya ujenzi vyasitishwa nchi nzima

Rwanda: Vibali vya ujenzi vyasitishwa nchi nzima

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Kutokana na kinachoonekana kuwa matumizi mabaya ya ardhi, huku nchi hii ikikabiliwa na ongezeko kubwa la raia, matumizi ya ardhi hasa kuhusu ujenzi, serikali imelazimika kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi nchi nzima.

Inasemekana kuna zoezi la kuhusisha wataalamu wa ardhi ili siku za usoni, serikali isije jikuta inaingia gharama za kuwafidia wanaoweza kuvunjiwa, kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya matumizi ya ardhi(Master plan) hasa maeneo ya jijini Kigali na miji mingine.
 
Back
Top Bottom