Rwanda To Eliminate Nyumba za Majani by May | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda To Eliminate Nyumba za Majani by May

Discussion in 'International Forum' started by cerezo, Jan 8, 2011.

 1. c

  cerezo Senior Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  "He emphasized that among the key reasons for phasing out thatched houses is because they pose health hazards, adding that as the country develops, the living standards of the people should also improve."

  Nimeipenda hiyo!
   
 4. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  KIGALI - The Permanent Secretary in the Ministry of Local government, Eugene Balikana, has announced that the government has set May as the final deadline for completely phasing out thatched houses in the country.

  He made the remarks while briefing the press after a meeting that brought together several ministers, top army and police officers, governors and other government officials to strategize on how to eliminate thatched houses.

  "With the help of the Ministry of Local Government, the army, police and other groups, there will be an official launch of construction of houses for the vulnerable people who still live in thatched houses," said Balikana. He added that the campaign will be launched on January 18.
  Currently, there are about 68,951 vulnerable people across the country who stand to benefit.

  Balikana added that districts and province officials will be sensitizing those who still live in thatched houses but can afford to build their own houses, to start constructing and the government will assist them with iron sheets.

  He emphasized that among the key reasons for phasing out thatched houses is because they pose health hazards, adding that as the country develops, the living standards of the people should also improve.
   
 5. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  u forget that their country is the same as mkoa wa Singida... Even we could do it if we had a short-chassis country like his... Watu muwage fair kidogo....
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani wewe ndy uwe fair kidogo!...angalia resources, usiwatetee hawa vilaza-the whole system is a failure!
   
 7. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa kama ni nchi kadogo kama mkoa singida,mbona wana shirika nzuri la ndege?so mbona singida wamekosa shirika lao la ndege?
   
 8. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35  Mkuu angalia na makuu waliyonayo ambayo sisi kama nchi kubwa hatuna, mfano wako umefeli
   
 9. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Suala sio nchi kuwa ndogo...sawa ni determination na jitihada za kujaribu kufanya hiyo tofauti.Hatuwezi kusema uchumi unakuwa tu bila maisha ya wananchi kuwa bora zaidi!
   
 10. October

  October JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acha uvivu wa kufikiri na fikra mgando wewe, Inawezekana kabisa kuondoa manyasi kama kuna utashi wa kisiasa. Tatizo tuna viongozi wavivu, wasio na ubunifu na wasio na nia ya dhati kuondoa umasikini wa nchi hii. Kila kiongozi anakula tu bila kujali itakuwaje Kesho.
   
 11. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakati Rwanda wanaanza kuijenga nchi yao tulipeleka watanzania wengi sana kuwafundisha na kuongoza maeneo mbalimbali kama akina Prof. Mwalubamba, Kuanzisha RRA walienda akina Nyambere n.k lakini baada ya miaka 10 tu sasa tunahitaji Kagame aje kututawala na kutufundisha namna ya kutumia mali asili zetu kujiletea maisha bora. Nanda Ngara eneo la Kirushya ukipitia Mugikomero utaona tofauti kubwa sana ya nyumba za Tanzania, Rwanda na kidogo Burundi. Hawa wote wanaishi maeneo yanayofanana lakini Warwanda na warundi wanaezeka nyumba kwa vigae wanavyochoma wenyewe wakati Tanzania tunaezeka kwa majani ya migomba.

  Tatizo ni utashi wa kisiasa na msukumo wa kielimu kwa tanzania. We need changes..........
   
 12. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  I hope watakuwa mfano mzuri kwa Kikwete
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu Kagame ni katili lakini anawapenda sana wanachi wake. Namkubali sometimes.
   
 14. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndo maana tunataka utawala wa majimbo nadhani utarahisisha usimamizi wa maendeleo. Chukua peas za (EPA + DOWANS + DEEP GREEN + MEREMETA + KAGODA) gawanya bei ya bati ~20,000/= Utapata jibu! Kaya moja wape mabati 100, tutapata jumla ya kaya zitakazopata mgao. Kwa hesabu hii tutaezeka mpaka kaya zote za Burundi!
   
 15. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni hatua nzuri sana hii, zanzibar ni ndogo zaidi ya rwanda kwa ukubwa but still kuna nyumba za makuti nna manyasi tele. hizi ndio hatua za kweli za kupambana na umasikini na naamini hata hapa kwetu tunaweza. tena sie tukiamua tutazieliminate kwa muda mfupi zaidi kwani tuna rasilimali nyingi sana compared to Rwanda. we only lack leadership. hengereni rwanda
   
 17. G

  Gastor Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani zanzibar si ndogo pia, sasa vp si iwe kama rwanda, tena zanzibar is not landlocked unlike rwanda which is landlocked.
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kagame hata kama ni dikteta, lakini ana manufaa makubwa kwa nchi yake. Big up to him.
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr. Kagame is doing what is best for his country. Talking of Democracy at this time in the Land of Rwanda does not help. When the forces of evil were leashed and thousands of Rwandans died at the ignorance. The people need to feel as of one nation and not as of tribes which were broken up by the colonists.

  May be Rwanda will become a Singapore of Africa and lead others to prosperity and may be to democracy. The first need of people is food, shelter and security and then democracy matters. If you are hungry, naked and insecure, democracy does not matter.

  Congratulations to Kagame and the progress he has made so far - even with all the imperfections.

  Respect Kagame. You are doing it once again.
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kama nchi yetu ni kubwa then hata rasilmali zetu ni kubwa; kwa wao wenye nchi ndogo na raslimali kidogo wanaweza kufanya yanayolingana na ukubwa wa nchi yao. Sisi pia tunatakiwa tufanye kulingana na ncvhi yetu. Tuna dhahabu, almasi na madini kemkem lakini hakuna la maana tunachofanya zaidi ya kujidai tuna amani eti "tusije tukauwana kama Rwanda" huku wenzetu wao wakiendelea
   
Loading...