Rwanda To Eliminate Nyumba za Majani by May

Rwanda To Eliminate Nyumba za Majani by May

"He emphasized that among the key reasons for phasing out thatched houses is because they pose health hazards, adding that as the country develops, the living standards of the people should also improve."

Nimeipenda hiyo!

Only serious people can do such thingz. Prezidaa wetu bado yuko fungate
 
Kagame wape semina viongozi wenzako wameshindwa kufanya kazi wamekalia maneno tu, RWANDA kulikuwa na vita Tanzania hakukuwa na vita lakini Rwanda Juu Tanzania Chini viongozi wetu wamelala usingizi wa Pono.
 
Wakati Rwanda wanaanza kuijenga nchi yao tulipeleka watanzania wengi sana kuwafundisha na kuongoza maeneo mbalimbali kama akina Prof. Mwalubamba, Kuanzisha RRA walienda akina Nyambere n.k lakini baada ya miaka 10 tu sasa tunahitaji Kagame aje kututawala na kutufundisha namna ya kutumia mali asili zetu kujiletea maisha bora. Nanda Ngara eneo la Kirushya ukipitia Mugikomero utaona tofauti kubwa sana ya nyumba za Tanzania, Rwanda na kidogo Burundi. Hawa wote wanaishi maeneo yanayofanana lakini Warwanda na warundi wanaezeka nyumba kwa vigae wanavyochoma wenyewe wakati Tanzania tunaezeka kwa majani ya migomba.

Tatizo ni utashi wa kisiasa na msukumo wa kielimu kwa tanzania. We need changes..........

Ni Prof. Rwakabamba. Cha mno, ni kwamba Mkwere hawezi hata kuliongelea tatizo la nyasi, na kwao chalinze na bagamoyo ndio wanaongoza kwa mbavu za mbwa!
 
Iwapo viongozi wote wa Africa (including the so-called Founding Fathers) wangekuwa na vision na committment ya kuinua hali ya maisha ya wananchi wao kama wanavyofanya akina Kagame huko Rwanda nadhani after 50 years of Independence, nchi nyingi zingekuwa mbali kimaendeleo!
 
napata uchungu sana kuona viongozi wa tz walivyo vilaza....yaaani imelala imelaala...jaman hata vitu vidogo tu wanashindwa kukabiliana navyo.....inawaza kula tu na kuwaibia watz na kusaini per diems kwa safari zisizo na tija ..... sijui ka tutafika....aibu hawaoni nchi ilivyo maskiniwhile rasilimali za kufa mtu.
 
Sisi huku ni kupoteza tu mabilion kwa mikataba mibovu,wenzetu baada ya mradi mkubwa wa One Computer Per Child sasa wanaondoa nyumba za majani,mbali na matatizo mengine ya Rwanda big up Kagame angalau umewajali maskin
 
this is great news.

but there is a serious flaw in this, what will happen when those roofing iron sheets rust away and need to be replaced? what will happen then?
 
this is great news.

but there is a serious flaw in this, what will happen when those roofing iron sheets rust away and need to be replaced? what will happen then?

They will buy new ones..Duh! You pessimist!
 
Posted Monday, January 17 2011 at 00:00

Post-genocide Rwanda is often described by expatriates as "a country in a hurry."
It is a label Rwandan leaders have no problem with. It echoes the slogan meant to rally the country behind them in their enthusiastic and single-minded pursuit of social progress: "Kwihuta mu majyambere" (speeding up progress).
President Paul Kagame, said by associates to have no room for failure, has been emphatic in his insistence that while other countries opt to walk towards development and social progress, Rwanda must run.
This view is well demonstrated by the government's determination to force through - and I mean force through - initiatives intended to uplift the standards of living of its majority poor.
Many times these initiatives are launched against a background of protests by several groups and individuals, including the country's development partners, who usually want to be convinced that a specific policy is feasible and affordable before lending their support.
In recent years the initiatives have included implementing a land consolidation scheme under which peasants have been coaxed, to say the least, into shifting to planned and concentrated settlements in order to free up more land for agriculture; requiring them to use more - free or subsidised - fertiliser; enforcing livestock improvement schemes; land redistribution from the rich, famous and powerful to hitherto landless villagers; switching from seven to nine years of primary schooling with an element of vocational training; and carving up the country into agricultural zones, with each concentrating on the production of one or a few crops for which its soils and climatic conditions are best suited.
An employee of a donor agency once told me that any donor wishing to influence the government's ambitions must first of all find a way of supporting them.
Apparently those who choose to criticise are simply ignored.
The logic, as often stated by President Kagame, is clear: Rwanda must be run by Rwandans, and it is Rwandans who know what is good for Rwanda.
Currently, the initiative that has come under much scrutiny and criticism, not least by sections of local media and civil society, is the government's "bye bye nyakatsi" campaign whose implementation has from time to time been taken a little too far by over-enthusiastic local officials eager to be seen to work.
Nyakatsi refers to rudimentary, often temporary, grass-thatched huts, in which the rural poor, unable to afford anything better or more elegant, usually live.
The government accuses these dwellings of being intrinsically unhygienic, undignified, and prone to attracting disease-causing or disease-carrying agents, and therefore of being a threat to the health and well-being of its citizens.
And so a solution has been devised: their mass destruction and replacement with improved houses with iron sheets roofing.
The government has undertaken to encourage those who can afford better houses, such as cattle keepers with large herds, to build them at their own cost.
Meanwhile the able-bodied poor are eligible for free roofing sheets, while the elderly and those of ill-health, or widows, qualify for free new houses.
The army, police, and prisoners sentenced to community service have been drafted in to help, and NGOs, Diaspora Rwandans, and some development partners are encouraged to assist where they can.
According to reports, insome areas over-enthusiastic local officials have pulled down all nyakatsi in total disregard to whatever peculiar circumstances may apply to individual owners or occupants, sometimes before the assistance promised by the government arrives to enable those affected to quickly rehouse themselves or be rehoused.
Despite criticism which might have cowed other governments into changing course, the government of Rwanda is steaming ahead, with provincial governors vowing to eliminate the offending structures within specific time frames.
It is estimated that this "accelerated modernisation" will see the disappearance of over 600,000 nyakatsi over the next few months.
Reliable sources say the government has already dispatched the required iron sheets to local governments.
With arguably Africa's most potent "zero tolerance for corruption" policy hanging over their collective heads, there is no expectation that local leaders will "lose" or divert them to personal use, the sort of thing their colleagues elsewhere do with a disarming sense of entitlement and impunity.

Frederick Golooba-Mutebi is a Senior Research Fellow, Institute of Social Research, Makerere University.
 
This is not possible!!!! yaani Warwanda waweze hili? tena katika Afrika? CCM na mashabiki wake hawana mpango huo kwa sababu wanajua "haiwezekani". Kwa hiyo, Watanzania wasahau kuondokana na nyumba za tembe as long as CCM is in power.
 
This is not possible!!!! yaani Warwanda waweze hili? tena katika Afrika? CCM na mashabiki wake hawana mpango huo kwa sababu wanajua "haiwezekani". Kwa hiyo, Watanzania wasahau kuondokana na nyumba za tembe as long as CCM is in power.

Ni possible kabisa ndugu yangu kuangamiza msonge Rwanda, ukizingatia matofali wanachoma wenyewe na mabati ya motisha! why not? Kwa TZ haiwezekani coz hata hayo mabati ya motisha watagawa kindugunization.... Tumelaaniwa TZ.
 
ni hatua nzuri sana hii, zanzibar ni ndogo zaidi ya rwanda kwa ukubwa but still kuna nyumba za makuti nna manyasi tele. hizi ndio hatua za kweli za kupambana na umasikini na naamini hata hapa kwetu tunaweza. tena sie tukiamua tutazieliminate kwa muda mfupi zaidi kwani tuna rasilimali nyingi sana compared to Rwanda. we only lack leadership. hengereni rwanda

Umenena. Watanzania hatukosagi visingizio. Sasa sijui kama nchi kubwa kwanini tusiigawe basi kama tunashindwa kuendelea kutokana na ukubwa!! Hatutaki kukubali kwamba maarifa ya viongozi wetu yamefika mwisho. Tunataka kuongozwa na watu wale wale. Ndio maana sasa hivi kuna mjadala EL for president!! Tunarudi palepale!
 
hata wafanyeje kanchi kao ni kadogo kuliko yetu, na si kwamba watakuwa wamefanya jambo kubwa saana, wala. kwasababu uchumi wao bado ni tegemezi kupindukia kama tulivyo hapa tz tu. angejenga barabara, aunganishe reli na kigoma ili iwe rahisi kwake kuchukua mizigo hapa bongo port etc, na kuhamasisha hivyo vitu labda vya sayansi etc kama alivyokuwa anaahidi..
 
hata wafanyeje kanchi kao ni kadogo kuliko yetu, na si kwamba watakuwa wamefanya jambo kubwa saana, wala. kwasababu uchumi wao bado ni tegemezi kupindukia kama tulivyo hapa tz tu. angejenga barabara, aunganishe reli na kigoma ili iwe rahisi kwake kuchukua mizigo hapa bongo port etc, na kuhamasisha hivyo vitu labda vya sayansi etc kama alivyokuwa anaahidi..
Sio sababu ya udogo, ni kutokana na kuthubutu na nia ya kufanya. Bongo ni kubwa lakini na ina rasilimali nyingi vilevile. Tatizo viongozi wetu mawazo yao ni ya ubinafsi mno. Hamna anaejali kuwa wenzao kulala kwenye tembe ni tatizo. Hamna mwenye muda wa kufikiri kuwa makazi mabovu yanaongeza maradhi, wagonjwa wanakuwa wengi, nguvukazi inapungua, uzalishaji unakuwa mdogo wakati madawa na madakitari watahitajika wengi kutokana na wagonjwa kuwa wengi, dispensary na hospitali hazitatosha serikali itahitaji badget kubwa zaidi kushughulika afy kuliko ingifanya mkakati mmoja tu wa kuboresha makazi. Ila wanawaza kupitisha bakuli kuomba omba.
 
big up Kagame,baada ya kufanikisha mradi wa One Computer Per Child,sasa ndio hivi tena songa mbele ni heri wewe ambaye angalau upande wa mazuri unazidi mabaya
 
Well,it is amazing to find a president who is ant corruption,ant poverty &no nonsense like Kagame and who believe that things are possible,each long journey start by the first step,and the courage to take the first step makes the meaning of the rest,keep up the good job Mr Kagame!
 
rwanda wanajenga mji mpya kabisa wa kisasa!cement na nguzo za umeme za kisasa sio za miti kama sisi tunazoweka mwenge-tegeta sasa zinapelekwa na malori ya AZAM toka bandarini dar!mbolea wanayotumia ktk msimu wa kilimo inatuzidi sisi mara dufu ingawa eneo lao dogo. KIGALI ilipata zawadi ya kuwa jiji safi africa ya UNEP!gari inakaguliwa mpakani kama haina tatizo unapewa stika basi hutaona askari yeyote akikusimamisha tena!flyovers wanazo na uki overspeed faini dola 100.KWELI SII KILA MAPINDUZI NI HARAMU.KWA TANZANIA NI MUHIMU KUFANYA MAPINDUZI
 
Wakati Rwanda wanapiga step hii kubwa ya kimaendeleo, sisi tunarudi nyuma kudai kugawana maeneo kutokana na dini zetu! What a shame! Halafu baadae tukimaliza dini tutaanza na makabila na mtiririko huo hautakaa kuisha. Kweli siasa TZ zimevamiwa na watu wasio na hoja wala uwezo wa kupigana kwenye siasa.
 
Ukiwa na political system kama ya china, inawezekana. Haya mambo ya sjui free and far election sometimes yanaponza.
 
Sisi tunalala sana watu wanaiba wanapewa msamaha siku zasonga. Rwanda watatupita saana tu na wametoka kwenye vita juzi tu. Bila kuwa kama Tunisia hapo au kubadili katiba tutacheza sana.
 
Back
Top Bottom