Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
u forget that their country is the same as mkoa wa Singida... Even we could do it if we had a short-chassis country like his... Watu muwage fair kidogo....
Size does not matter, plans do.
Ni rahisi kuongoza watu masikini wenye maisha duni kuelekea kokote kubaya CCM watakako.
Ni vigumu sana kuwarubuni na kuwapotosha watu wenye maisha bora na mwamko.
Serikali ya CCM inaweza kugawa Green Vest za kijani ,khanga ,cap na pilau nusu lakini hawawezi kufuta kodi ya Cement na Bati, kwa sababu kufanya hivyo ni kuamsha Watanzania waengi walio lala na kujijengea mazingira magumu ya kuwaburuta.
Miaka 50 ya Uhuru bado tunapigana Vita choka mbaya na Adui Yule yule Ujinga.
Ujinga ni aghari sana, ukitakakuthibitisha hilo Angalia utajiri wa asili ulivyo mkubwa Tanzania kisha linganisha utajiri huo na maisha ya watanzania walio wengi more than 90%