"Rwanda: The Untold Story": questions for the BBC

... BBC wameanika ukweli mtupu! Binafsi nilihusika ktk impact assessment kwa Tz wakati vita ikiendelea Rwanda! Nilitembelea maeneo mengi na tuliokoa wengi waliofungwa Magereza bila huduma muhimu za kijamii... UKWELI ni kuwa RPF iliua Wahutu wengi sana zaidi ya 800,000 tofauti na figure ambayo PK anajaribu kuiaminisha Dunia... Ukweli ni kuwa Wahutu wengi zaidi wameendelea kuuawa hata baada ya vita 1994 to date!!! Kwa kuwa mpango huu unaratibiwa kwa karibu sana na WHO, UNICEF na Wakubwa wa Dunia wanaoamini kuwa Depopulation ndiyo njia pekee ya kuokoa Human Spicies isitowke duniani kutokana na kuharibika kwa mazingira bila shaka PK ataendelea kutawala kwa miongo kadhaa ...
 
2jMali

kuna post yako ya ukabila naona mods wameitoa niona wacha nikufwate huku utakoma mara hii wabongo washaanza kukuona gozigozi
Jumali Jumali Jumali niljua tu utakua busy kutafuta sumu !yaani hauna hata haibu ya kumnukuu mchonga alafu unarudia yaleyale? sijui niayako eti nikuone chizi alafu nikuache? Lakini unajidanganya hapa niliponimebanwa na kazi lkn nikikuona tu nakuwahi kabla hujaambukiza watu hiyo Ebolayako, Gama upo hapo? hizi ndio sera zao za msingi unazotaka watuletee Rwandakama nyie mnaziona ni poa basi zitumieni hukohuko mliko, sisi tushakuwa allergicnazo.
Hivi yule Jenerali mnaye mtukuza hizi siku na yuleRudasingwa wamekimbia unyiginya na uwega? Kweli mmeishiwa sera mmebaki kuuzahizo sumu bongo tena kwenye internet lakini sio uraiani maana hata bongo uwezifungua mdomo useme uchafu wako, kinachonifurahisha mkiingia tu Rwanda kusalimiandugu zenu sumu zote lazima mziteme hamtaki kibano kwa kwenda mbelehatubembelezi .
Sasa huyo tax dereva kama hana fani nyingine unataka ajeRwanda kuwa nani? Rais, waziri mkuu au nn? Nimeshakuambia Rwanda hakuna kuuza suraaukabila au dini taaluma zako ndiozitakupa kazi sio kwa njia ya rushwa au mjuano kama uko ulipo
Eti wanyiginya wanafananaje na wega wanafananaje? Ukiwaona utawajua?Unajidanganya Interahamwe mkubwa usije ukakuta uliua hata ndugu zako bila hatakujua! Mbona mimi ni mnyiginya tena muhindiro direct kutoka kwenye ukoo wamfalme(mwene gahindiro) mbona sio mrefu hivyo kama unavyosema kimo changu 1.80malafu sina tofauti sana na nyie mnaojiita wahutu, Kweli we mkabila number mojasasa hao commoners ambao ndio waliokuwa wengi Rwanda kipindi chenu na hwakuwana tatizo na wahutu mbona mliwamaliza? Au hiyo siku mlikuwa mmeamka vibaya?
Rwanda ya leo ndugu yangu Jumali hatuangalii unauhusianogani na mfalme au Kagame mwenyewe, onyesha utaalamu wako ulipwe uende zakoukalale na wale wanaoleta ukabila nafikiri unajua tunachowanya mkabila wee.
 
Talkandtalk......endelea kuona jinsi 'chama lako' linavyokimbia hoja kwa kufurumsha matusi...!

Kama kweli umesoma kitabu cha Gen. Romeo huwezi kujifanya hizo hoja hujaziona. Kama hujasoma kitabu hicho sema tu kuwa sifahamu hayo...!

Sometimes kama mtu hawezi kushindanisha hoja ni vizuri kukaa kimya......!

Ni vizuri kupanua ufahamu wako, hata kama unatetea jambo ambalo halina mashiko, tumia facts sio matusi...!
Hizo sumu mnazolishwa na interahamwe wenzenu sio facts,na hujui lolote Zaidi ya kukariri talking points za wachawi wenzako.
 
Kimsingi hakuna hoja tena hapa........mnaelewa mnaongea na mtu mwenye ufahamu zaidi ya mlivyodhani...! Nishapigilia msumari kwenye jicho...! Off my hands.....!
 
... BBC wameanika ukweli mtupu! Binafsi nilihusika ktk impact assessment kwa Tz wakati vita ikiendelea Rwanda! Nilitembelea maeneo mengi na tuliokoa wengi waliofungwa Magereza bila huduma muhimu za kijamii... UKWELI ni kuwa RPF iliua Wahutu wengi sana zaidi ya 800,000 tofauti na figure ambayo PK anajaribu kuiaminisha Dunia... Ukweli ni kuwa Wahutu wengi zaidi wameendelea kuuawa hata baada ya vita 1994 to date!!! Kwa kuwa mpango huu unaratibiwa kwa karibu sana na WHO, UNICEF na Wakubwa wa Dunia wanaoamini kuwa Depopulation ndiyo njia pekee ya kuokoa Human Spicies isitowke duniani kutokana na kuharibika kwa mazingira bila shaka PK ataendelea kutawala kwa miongo kadhaa ...

PK na kagenge chake cha wahuni walitumia mbinu nyingi chafu....! Ukibahatika soma kitabu kimoja kimeandikwa na Sibomana kinaitwa 'Hope for Rwanda' kuna details nyingi kuhusu yaliyojiri magerezani na visa vingine vingi vya kusingizia watu kuhusika na genocide...!
 
Hizo sumu mnazolishwa na interahamwe wenzenu sio facts,na hujui lolote Zaidi ya kukariri talking points za wachawi wenzako.

Tumekwenda hoja kwa hoja......mpaka zilipowaishia mkahamia kwenye matusi.....! Wengi wenu mko sawa na yule mama mropokaji Mukishiwabo.....!
 
Kimsingi hakuna hoja tena hapa........mnaelewa mnaongea na mtu mwenye ufahamu zaidi ya mlivyodhani...! Nishapigilia msumari kwenye jicho...! Off my hands.....!
jMali siku hizi anaishia kutoa "like" tu manake uongo wake umeshafika kikomo. Unajua literature ya genocide revisonism is very limited kwa hiyo labda waanze kutunga mengine mapya. I can safely predict that by the end of this year, jMali mtakuwa hammsikii tena. Atakuwa ameishiwa na hoja.
Commanche, Talkandtalk, Koba, MGOSI132, MUKAMASIMBA
 
Last edited by a moderator:

Naelewa PK na kagenge chake cha wahuni ni wauaji.....usimtishe jMali.....! I know what you mean....haaa haaa!
 
nyie ndio wale wale tu...eti kagenge chake!!! wenzenu huko msituni wanajiandaa kupata kipigo nyie mnang'ang'ania huko tanzania. kitaeleweka tu.
 
Haaaa haaaa....kama unataka kurudi kwenye hoja za M23 tulishajadili sana......! Unataka kuhamisha 'goal post' sasa
 
jMali siku hizi anaishia kutoa "like" tu manake uongo wake umeshafika kikomo. Unajua literature ya genocide revisonism is very limited kwa hiyo labda waanze kutunga mengine mapya. I can safely predict that by the end of this year, jMali mtakuwa hammsikii tena. Atakuwa ameishiwa na hoja.
Commanche, Talkandtalk, Koba, MGOSI132, MUKAMASIMBA

What you really mean is: hamtamsikia kwa kuwa atakuwa kapigwa risasi na "majambazi" kama yule prof, kanyongwa hotelini kama patrick karegeya, kapigwa risasi kama Sendashonga, kachinjwa kama rwisereka, au "kapotea" na maiti ikaokotwa majini burundi!
 
Acha kujifanya wa maana wakati njaa tupu...and why do you have lie? reason hautaonekana kwa sababu utakuwa huna hoja hukuiona? now imegeuka kupigwa risasi,kunyongwa,vitisho etc then mwenzako kwetunikwetu jump in eti acheni vitisho kwa jmali....nice try though.
 
Ishia tuu with your s-tupid sumu,better go and help interahamwe wenzako wanaomalizwa na cholera misitu ya Congo kwa ajiri ya sumu zako and likes of jmali,you keep ----ing these kids heads ila soon or later they will truly know the truth and you will be sorry with your azz.

Nimekujulisha hapo juu....jibuni hoja...mlianzisha wenyewe kwa mbwembwe....zimejibiwa kwa facts on public domain mmekimbia....!

Mnabadilisha 'goal post' kwa kuweka matusi...! Hoja za matusi hizo sio kiwango changu...! Mtu kama mm na-reason na Kamanda James sio mtu mdogo kama wewe usiejua chochote...! Nilichofahamu 'chama lenu lililop humu JF' hamna hata uwezo wa reasoning bali ushabiki wa kijinga...!

Hayo ya Congo, ni discussion nyingine....tulishajadili sana humu...!

Adventure ya 'Banyamulenge' maziwa makuu in the last 30yrs imezimwa mara mbili.....

First, wakati wa vita ya pili ya Congo baada ya Angola, Zimbabwe na ex-FAR kuzuia 'utoto' wa Kamanda James, baada ya kupata kichapo kikali.......(uoga wa Kagame ndio hapo ulianza kuonekana....msome Kamanda James jinsi alivyompa Kagame ultimatum, msome pia adventure zake kule Kitona).......

Secondly, ni kichapo cha mwaka jana pale M23 na 'washirika wake' walivyopata kipigo cha mbwa mwizi...!

Zaidi ya yote unanipotezea muda tu kujadili vitu vilivyo juu ya uwezo wako....!
 
You haven`t talked anything about General Dallaire fax to the UN security council?
The fax was showing the ongoing Genocide preparations and that was one of the basis that the Genocide was planned.
Hapo kwenye red hueleweki, what are you trying to say?

Tofautisha facts na personal sentiments,what you are showing are your personal sentiments:
Tulikuwa kwenye issue ya Genocide planning, na hoja yako kwamba ICTR ilitoa hukumu kuwa Genocide was not planned.
Unfortunately nilipokuuliza source wewe ulinipatia hukumu ya Bagosora na mwenzake:
On the other side nilishangaa inakuwaje unasema ICTR imetoa hiyo hukumu, yet UN security imeconfirm kwamba what happened in Rwanda was the Genocide against Tutsi?
My facts on the debated issue are supported by UN report and Human rights watch(http://www.hrw.org/legacy/backgrounder/africa/rwanda0406/rwanda0406.pdf):

Some of the points lightened by HRW are here below:

Among the false ideas drawn on by political leaders and propagandists backing
Habyarimana were the following:
• Tutsi were foreign to Rwanda and had no right to live there.
• Despite the 1959 revolution, Tutsi continued to enjoy higher status and greater
wealth than Hutu and were in some way responsible for continuing Hutu
poverty.
• Tutsi posed a danger to Hutu, who were always the victims, whether of Tutsi
military power or of Tutsi cunning (use of their women to seduce Hutu, use of
their money to buy Hutu), and so Hutu had a right and a duty to defend
themselves.
(ONE OF THE MEMBER HERE, ALWAYS PREACH THE ABOVE NDIO MAANA WANAOJUA ALWAYS CALL HIM INTERAHAMWE;

Again from HRW:

By early 1994 planners met again and produced a document called "Organization of
civilian self-defense" ("Organisation de l'Auto-Défense Civile"). It was neither signed
nor dated, but its authenticity was established by Jean Kambanda, prime minister of the
interim government during the genocide. Investigators for the International Criminal
Tribunal for Rwanda (ICTR) seized the document when they arrested Kambanda in
1997. In a statement to the ICTR Appeals Chamber, Kambanda identified the document, said it was regarded as highly confidential, and said that it clearly predated April 1994. Through analysis of the content and through comparison with other
documents and witness interviews, it appears that the document dates to mid-February or at the latest to March 1994.

Hizo facts zako zinazokanusha ziko wapi?? and how credible are your sources??
 
Soma post yangu # 97
 
Nimekuonesha in detail....even kipande cha hukumu ulichoweka, soma hukumu yote...! Nenda kwenye archive ya ICTR....mbona hivyo vitu sasa ni public knowledge..? Nimekufahamisha pia soma verdicts za akina Ndindiliyimana uone yote hayo yamewekwa wazi...!

Mambo mengi yaliyosemwa 1994-1995 yalikuwa ni cover-up....hivyo reports nyingi za enzi hizo ilipofika especially after 2006 zilianza ku-lose ground

Nimekuonesha kwenye post zangu zilizopita kuwa judges even walikataa sio tu kuwa Genocide was not planned prior to killing of Habyarimana, bali pia walikataa na vielelezo vingine ikiwemo so called hate radio....!
 
And most of them they are in prisons for life,yeah waliiba kuku and not genocide..mpuuzi mkubwa wewe.
 
Nimekuonesha in detail....even kipande cha hukumu ulichoweka, soma hukumu yote...! Nenda kwenye archive ya ICTR....mbona hivyo vitu sasa ni public knowledge..? Nimekufahamisha pia soma verdicts za akina Ndindiliyimana uone yote hayo yamewekwa wazi...!

Mambo mengi yaliyosemwa 1994-1995 yalikuwa ni cover-up....hivyo reports nyingi za enzi hizo ilipofika especially after 2006 zilianza ku-lose ground

Nimekuonesha kwenye post zangu zilizopita kuwa judges even walikataa sio tu kuwa Genocide was not planned prior to killing of Habyarimana, bali pia walikataa na vielelezo vingine ikiwemo so called hate radio....!

1:It is very simple copy and paste it here manake nikipitia ruling i dont see that statement, what i can see are just rulings for Bagosora na mwenzake, ingekuwa hivyo shitaka hilo lingekuwa dropped na prosecution kwa washtakiwa wengine.
2.Reports zilikuwa cover up???? and from 2006 zimeanza ku loose ground?? what are your basis??
Unataka kusema UN,HRW reports are no longer credible and have lost ground due to informations raised by websites like proxylake?
Nadhani tunakalibia mwisho wa mjadala:::Hahah
 
Back
Top Bottom