Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 425
Waulize FAR na interahamwe kama RPF walikuwa kagenge ka wahuni?ukipata jibu rudi tuongee
Hakuna shaka yeyote ndani ya Rwanda kuwa Kagame na kagenge chake cha wahuni ndio tatizo. Si kweli kuwa RPF wote walikuwa ni wauaji. Ndio maana mara baada ya kugundulika uovu ambao Kagame na kagenge chake cha wahuni kulitokea mtafaruku na reprisal killings ikaongezeka...! Baada ya mauaji ya Kibeho jiulize na watu wangapi wa RPF walijitoa na kukimbia Rwanda?