"Rwanda: The Untold Story": questions for the BBC

"Rwanda: The Untold Story": questions for the BBC

Pumba unazoweka hapa is meant for all. Na ndipo tunapoona how shallow your knowledge is. Yaani mimi niende kutembelea the Great Wall of China halafu nijiite mtaalamu wa masuala ya Wachina. Huna tofauti na jMali. Eti na yeye aliwahi kufungua kampuni Rwanda sijui akashindwa kupata tenda akaona badala ya kuendelea kupambana kwenye soko huria, ni bora afanye juu chini amuondoe raisi wetu. Inaingia akilini kweli mtu kama jMali "mtanzania" YEAH RIGHT, awe na chuki binafsi hivi just because he never got any work in Rwanda? The Great Thinkers nadhani are getting my drift.

Alafu huyo huyo Jmali anayeomba mungu watutsi wote wafe etianamuonea huruma jamaa mmoja wa kwenye ukoo wa mfalme kufariki akiwa dereva Taxubeligiji wakati Rwanda inaongozwa na watutsi (kwa mujibu wa Jmali) wenzie,hupo hapo mkuu? Sumu zake zinamuambiaangekuwa raisi wa Rwanda basi ndugu yake ambaye ni dereva tax angemfanya waziriwa usafiri ! nakuambia yani tabu kweli, lakini anajidanganya kusudi arudi kwaolazima azitapike au afie hukohuko, asije akatuharibia jamii kama alivyofanya 94
 
Pumba unazoweka hapa is meant for all. Na ndipo tunapoona how shallow your knowledge is. Yaani mimi niende kutembelea the Great Wall of China halafu nijiite mtaalamu wa masuala ya Wachina. Huna tofauti na jMali. Eti na yeye aliwahi kufungua kampuni Rwanda sijui akashindwa kupata tenda akaona badala ya kuendelea kupambana kwenye soko huria, ni bora afanye juu chini amuondoe raisi wetu. Inaingia akilini kweli mtu kama jMali "mtanzania" YEAH RIGHT, awe na chuki binafsi hivi just because he never got any work in Rwanda? The Great Thinkers nadhani are getting my drift.

Haaa haaa akili yako ndogo sana....unataka nikwambie niliishi Kigali, nilifanya kazi Butare, nilikuwa na mradi pale Gitarama, nimewahi kufanya kazi Bugesera etc....nani anaweza kusema hivyo.......akili yako ndogo sana.....unataka niende mbele zaidi nikwambie mimi ni nani.......akili ndogo kweli!
 
I already know you by reading you shallow points.
 
Haaa haaa akili yako ndogo sana....unataka nikwambie niliishi Kigali, nilifanya kazi Butare, nilikuwa na mradi pale Gitarama, nimewahi kufanya kazi Bugesera etc....nani anaweza kusema hivyo.......akili yako ndogo sana.....unataka niende mbele zaidi nikwambie mimi ni nani.......akili ndogo kweli!

Hahahha! Mjomba achia hapo, hayo majina peke yamenimaliza! NilikuambiaRwanda mnayoijuwa ni ile ya zamani wakati wa chinjachinja yenu, hayo majinatoka mtoke tulipita tunayabadilisha kiasi kwamba kama umepotea njia ukayatajahupati mtu wakukuelekeza.
Umenikumbusha yule mwandishi wa BBC aliyesema eti maitizilizokutwa mto Rwer moja ilikuwa na kitambulisho kutoka Gisenyi , Lol, yaanihuku kwetu kilikuwa kichekesho cha mwaka baada ya kusikia hiyo habari, ndiomaana hata hatufwatirii hizo habari tumewaachia warundi na washirik(na) wao wajijue! Nice try, pole sana
 
Haaa haaa akili yako ndogo sana....unataka nikwambie niliishi Kigali, nilifanya kazi Butare, nilikuwa na mradi pale Gitarama, nimewahi kufanya kazi Bugesera etc....nani anaweza kusema hivyo.......akili yako ndogo sana.....unataka niende mbele zaidi nikwambie mimi ni nani.......akili ndogo kweli!

Yaani ni mburura hawa jamaa. Hawana maana kabisa. Wamezoea kufanya fujo zao porini bado wana akili za porini porini. Eti sumu, ahahahhhaha
Sasa tunawaleta mjini.
 
Yaani ni mburura hawa jamaa. Hawana maana kabisa. Wamezoea kufanya fujo zao porini bado wana akili za porini porini. Eti sumu, ahahahhhaha
Sasa tunawaleta mjini.

Hebu nisaidie kidogo, mjini ndio kule ambapo maneno yanazidivitendo? Basi kama ndivyo palivyo basi hatuji kabisa! bakini na miji yenu iliyojaa ukabila, udini, kipindupindu, kichocho na vinginevyo vinavyoweza kunichukuasiku nzima kuviandika, duh miji mingine jamani inatisha bora mkubali kutemasumu mje tuishi wote huku kijijini kwenye guarantee ya maisha!
 
AFP) - Rwandan President Paul Kagame said Tuesday the central African nation was no longer "just a country of genocide" and now had a positive story to tell about reconciliation and economic growth.He warned though of the dangers of dependence on foreign aid and of the failings of international institutions, saying developing countries had to form closer regional links to increase stability.
Speaking at Chatham House, the Royal Institute of International Affairs in London, on Rwanda’s role in an emerging Africa and an uncertain world, Kagame said states in which the West had heavily invested had been allowed to fail, shaking confidence in other countries.
"Rwanda is always in the spotlight because our tragic history became closely intertwined with the question of the international system itself," he said, referring to the 1994 genocide by Hutu extremists and the sluggish global response.
He said there could be an "endless blame game" about the past, but there was also a "positive side to the story" that was bringing Rwanda’s recovery to wider attention.
"We are finding that our country’s story means something positive to people beyond Rwanda. We are no longer just a country of genocide. Perhaps we even have something to offer as a nation to others," he said.
But while Rwanda now has the "trust" of financial markets, "we still have a long way to go compared to the goals we have set for ourselves," he added.
Twenty years on from the genocide, Rwanda ranks 11th out of 52 countries in the 2014 Ibrahim Index of African Governance, coming second in terms of the overall business environment and gender equality.

However, it ranks 45th in terms of participation, and some rights groups say Rwanda is a democracy in name only where all dissent is crushed.
"It is sometimes said that Rwanda’s economic and social achievements are somehow offset by a lack of democracy and the popular voice. The truth is exactly the opposite," Kagame insisted in his speech.
"What is commonly perceived as Rwanda’s biggest weakness is actually its greatest strength. We would have got nowhere without robust mechanisms that enable many changes, based on popular participation."

Chatham House director Robin Niblett, chairing the session, noted how Kagame had deflected critical questions afterwards from the floor, particularly about rights and external criticism.
And when Niblett asked Kagame if he was happy with the Rwandan constitution, which limits presidents to two terms in office, he replied by saying he was content with many things in it but Rwandans were the "most important factor here and the ones I am most satisfied with".
 
Hebu nisaidie kidogo, mjini ndio kule ambapo maneno yanazidivitendo? Basi kama ndivyo palivyo basi hatuji kabisa! bakini na miji yenu iliyojaa ukabila, udini, kipindupindu, kichocho na vinginevyo vinavyoweza kunichukuasiku nzima kuviandika, duh miji mingine jamani inatisha bora mkubali kutemasumu mje tuishi wote huku kijijini kwenye guarantee ya maisha!
Ahahahhahah Mzee wa sumuuuuuu, tema tema hizo sumu ........
 
jMali

Kuna mengi tu ya kuangalia. In my view kwa sasa Rwanda as a whole is under the rule of man and the man here is PK. Kama mtu anataka kusema Rwanda kuna rule of law au western democracy sijui kama atakuwa sahihi, and am not sure whether than Rwanda needs or not. Lakini the question is not whether the country is under rule of law or rule of man, nchi imetulia. Amani na utulivu ni vitu viwili tofauti.

Main issue na ambayo mara nyingi Jmali analeta jukwaani hapa ni kuwa we should be fooled by the media that Hutus were only perpetrators and tutsis were only victims.

If you watch the video and listen to what those who were close to Kagame say, then you clearly see that Genocide has another side of story which need to be told.

I was almost going to congratulate you for being cured of discriminationbut unfortunately you couldn’t make it as a consequence of poisons in yourbrain see above Hutu,Tusti blabla.

I know you’re spoiled enough to give me a lecture on Rwandabut today, I need your help! Which country in the world is ruled by two or morepresidents at once? Finally you should stop ridiculing yourself; you are givingyour followers very hard time to know what you are standing for, apart frompolitics of divisions.
Ninanukuu sumu zako, eti:
Main issue na ambayo mara nyingi Jmali(Joka kuu) analeta jukwaani hapa ni kuwawe should be fooled by the media that Hutus were only perpetrators and tutsiswere only victims. I disagree, next time you should drink milk before youlisten to those media you are quoting, if not take it from me, some Hutus extremists(abahutu babahezanguni) were only perpetrators of the Genocide against Tutsi andmostly Tutsis were victims of Genocide period! Understand Jmali? I hope nexttime other phrases will not confuse you.

If yourfair, like the way you portray yourself in this forum, Hiyo video unayoisemawewe, ulitegemea waseme nini, tangu lini kesi ya mbuzi unampelekea chui? Ittakes people like us to expose your true colors.
 
Mkuu wala ucjali,huyu jmali&co yake,wala hakuna Mbongo hapo,wa tz wanamchora anavojifanyaga anavoongea eti cc watanzania cjui nn,upuuz mtupu!yy awe anaongea Kama nyinyi wanyarwanda mnavojielezea interest zenu na kwa taifa lenu!
Wee nae,unawasemea Wabongo kama nani,haya mimi Mtanganyika tena Sukuma kindakindaki na simpendi PK,kwa umafia anaowafanyia wenzie,na wewe jisemee mwenyewe,eti Watz wanawachora tu,unadhani tunafurahia huyo Kagame alivyoleta madharau kwa President wetu.To hell with Kagame:angry:
 
Mkuu jamaa wana staili za kizamani. Hawajui sisi kwenye ishu ya kitaifa tuna ushirikiano ki noma. Sasa ndo hivyo hata tukianzisha mshike mshike wataumia hivyo hivyo. Wanafikiri wanaweza kutugombanisha. Kwa TZ hilo waandike wameumia. Kanchi kadogo kana kuwa na ukabila balaa.
cc wa kupuliza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom