1. Unazungumzia wakati wa utawala wa wahutu baada ya mapinduzi, je wakati wa UFALME WA KITUTSI wahutu walishirikishwa katika uongozi? Statistically, watu 8 kati ya 10 ni wahutu, watu 2 kati ya kumi ni watutsi, hivi kuna ajabu gani kwa nchi yenye takwimu hizo kukosa watutsi katika uongozi? Ajabu itakuwa pale watutsi wakiwa nusu au zaidi ya uongozi kama ilivyo sasa sio kinyume chake! Kuna polisi wangapi waarabu Tanzania? kuna wanajeshi wangapi wahindi tanzania? Hivi unadhani kuna hila hapo?
2. unadai eti watu waliua watutsi wengi wameachiwa huru, huu ni uongo wa wazi wazi! Hata wahutu ambao hawakuua watu wamewekwa ndani. Na kwa upande wa pili, walioua wahutu hata kesi hawana!
3. Eti unadai waliokuwa wapiganaji FDLR wamesamehewa: wasemehewe kwa kosa lipi? FDLR imeanzishwa mwaka 2000 huko DRC, ili kujilinda na mashambulizi ya Kagame. hii FDLR as an entity imefanya kosa gani Rwanda? Sema hivi, waliokuwa wapiganaji wa FDLR ------------ na kagame. Sio udai mambo ya kitoto kuwa "wamesamehewa". Mwanzilishi wa FDLR bila kupewa cheo na fedha angerudi Rwanda?
FDLR wanadai mazungumzo na Kagame. Kama kweli wamesamehewa shida inakuja wapi mpaka aliyeshauri hilo atishiwe "kupigwa"? If anything FDLR ndio inatakiwa kumsamehe Kagame/RPF!
4. Unadai kuwa majirani wa Rwanda na baadhi ya wazungu wana hila dhidi ya Rwanda. Hebu tuambie why on earth? Rwanda is the most densely populated country nadhani in Africa nzima, hamna ardhi yoyote ya maana mpaka watu wenu wanahamia kiharamu nchi zetu (of course kagame owns a big farm), hamna madini yoyote kuzidi anybody else in the EAC, maybe Burundi ambayo nadhani haimo kwenye maadui zenu (since tutsi-extremists control it too), hamna mafuta, hamna chochote. Hivi why do you think Rwanda is so important mpaka eti Tanzania, DRC, SADC, marekani, ufaransa, Uingereza....WOOTE HAWA WAIONEE WIVU? kwa nini hasa? Hii ni typical tutsi extremists-superiority syndrome, kujiona nyinyi watu wa maana sana...