Hakuna haja ya kuhangaika kujibu chochote:
Andrew wallis ni
MSHAURI WA SERIKALI YA RWANDA/KAGAME. unategemea aseme nini? Huyu mtu ni sehemu ya PR machine ya Rwanda. Hivi sasa huu utumbo wake umeshakuwa re-tweeted hundreds of time na watutsi wote extremists twitter na kuwa shared vya kutosha huko facebook.
Articles za huyu "genocide scholar" huwa zinachapishwa regularly kwenye gazeti la "
MSHAURI WA RWANDA " mwingine Bw. Andrew mwenda na hata ukiingia sasa hivi :
The Independent: You get the truth We Pay the Price utakuta huu utumbo front-page. Ingia kwenye regional news utakuta kuna habari za Rwanda zaidi ya EAC nzima combined ! Hii mbinu ya Kagame ya kununua media imeshashitukiwa siku nyingi sana. Sitashangaa hapa nyumbani kwetu kama gazeti la
CITIZEN linalohaririwa na
RICHARD MGAMBA nalo likachapisha huu utumb o, lets watch!
Hebu angalieni akili ya huyu MSHAURI WA KAGAME, ANDREW WALLIS hapa:
Andrew Wallis, an advisor to the Kagame government, takes all of this in stride, raising and then answering a critically important question:
"The question is whether Rwanda is ready for a Western-style democracy, and the answer at this point probably is no," said Wallis. "He has been called many things, but one is for sure: Kagame is a man of immense vision, and that vision is being impressively implemented. Why must outsiders keep pushing their theories of how to run a country onto Rwanda?"
source:
Ari Kohen's Blog â The Rwandan Election
kwa akili hizi, HUYU NDIO MTU WA KUBISHANA NA BBC?
Andrew Mwenda is on Kagame's payroll and unethical journalist | Ugandans-At-Heart
cc: Gama Bongolander