Mimi sina mengi kama uko mwanaume peleka pua yako rusumo tu na hao materahamwe wako utaona cha mtemakuni thubutu!
Mimi sina mengi kama uko mwanaume peleka pua yako rusumo tu na hao materahamwe wako utaona cha mtemakuni thubutu!
Tanzania hivi hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi?what I know TZ haijawahi kufanyiwa chochote kibaya au kuibiwa anything na Rwanda,seems Kuna some ignorance humu inaendelea na wachangiaji wemgine pausing as Tanzanian kumbe ni exiled hutu,na wengine ni wahutu wa mikoa ya mipakani wanaochukia watutsi tuu,msijidanganye na idiocy fantasy zenu na kama mnafikiri JK atalianzisha on your behalf that will never happen, mtaishia makelele tuu na Kesho mtawaona JK Na PK wakinywa coffee pamoja..kama Hamna Kazi kavueni samaki wapuuzi wote nyie.
Unajua ile pact yao ya ulinzi Rwanda->Uganda->Kenya ndo imempa tena kichwa PK. Mwanzo alifikiri yupo strong baada ya M23 kutolewa nduki akanyong'enyea kweli.
Haya maneno waambie team ya watutsi inayoleta chokochoko kama MUKAMASIMBA. Kwa nyongeza nilishudia 1994 ukatili wa aina yake wakutelekezwa vitoto vichanga vya wiki moja kwa sababu siyo watusi. Mahali Arusha AICC qtrs and Govt qrts. Hiyo siyo genocide kwa watutsi?
Wewe mwenye kazi hapa JF na sisi tuna kazi pia hapa hapa JF. Wewe si mpuuzi unapigania kuishi kumbukumbu ya maovu ya Kitutsi yanayokusumbua kichwani.
Usisahau ukipanda miba usitegemee kuvuna mahindi; na hasa baada ya kusitiriwa kama wakimbizi na kutoroka usiku usiku 1994 kwenda kukamilisha genoside Rwanda

Ushawahi kusikia Kenya na Tanzania wanatishiana.Tulishawahi mpka kubadiliahana wafungwa wa kisiasa lakn hawakuwahi kuropokeana.
Tatizo la Rwanda wanakosa wanadiplomasia waliobebea, wote serikalini nahisi ni watu waliopata mafunzo ya jeshi na ujasusi tu.
Duh naaona Wanyarwanda mmeliteka nyara jukwaa letu la Jamii Forums na kuligeuza kuwa uwanja wa mapambano wa kipropaganda kati yenu.
Ignorant,misinformed, exiled Hutu,wahutu wa bongo in full force today...PK is my hero.
Uoga wanini kaka? tulia rwanda inajitosheleza kuwadhibiti, wametulia hawana wasiwasi,hizi habari nikuwaelewesha kwamba mnachopanga wanakielewa siyo uoga.Ndilo tatizo la hawa wanaoleta propaganda wakiamini kabisa kwamba Kenya inaweza wasaidia. Kenya wapo kibiashara tu hapo wametegeshea, jamaa wana calculate mambo si unaona S.Sudan wamegoma kupeleka majeshi. Tatizo nafikiri la PK, tunavyobishana na wakenya anafikiri ni kama uhasama wa wahutu na watutsi. Kumbe kinachobishaniwa kati ya Kenya na Tanzania ni sawa na simba na yanga, ama Leopard na gor mahia.
Tatizo la Rwanda wanakosa wanadiplomasia waliobebea, wote serikalini nahisi ni watu waliopata mafunzo ya jeshi na ujasusi tu.
Ukiona mtu anatoa povu bila kutoa hoja mbadala imemuingia. Your hero is a murderer and so are you. Innocence is my hero
Ukiona mtu anatoa povu bila kutoa hoja mbadala imemuingia. Your hero is a murderer and so are you. Innocence is my hero
Uko sahihi Rwanda haina wanadiplomasia waliobobea.
Rwanda kuna waimba kwaya wajuao kuimba nyimbo mbili tu.
Wimbo wa kwanza ni wa kumsifu Kagame na wa pili ni kuimba kuhusu Genocide.Wasioimba hizo nyimbo hawawataki wanawalenga mitutu tu ya bunduki.Kungekuwa na wanadiplomasia waliobobea wangeisaidia Rwanda kwenda vizuri mbele ya jumuiya ya kimataifa.Lakini kwa kuwa wengi ni waimbaji basi wanabaki tu majukwaani kote wakiimba nyimbo hizo mbili tu hawasikii cha ushauri wa Kikwete,wa UN wala wa nani wao ni kuimba tu hizo nyimbo mbili.
...wewe hiyo lugha yako ongelea huko kwenu, materahamwe materahamwe,
So it is not wrong for Kagame to host Laurent Nkunda and M23 at his private home!