Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.

Haaa aaaahhh...kelele tuu mbona,waambie walianzishe tuu,anyway acheni kujidanganya na story zenu za kishabiki,war btn TZ and Rwanda will never happen period! Vita sio lelemama mjomba
 

Rwanda inajua vita IPI?? Wacha UJINGA WEWE.
Wahuni mkishapipiga na kubaka raia mnajipa vyeo vya Colonel MUKAMASIMBA ndiyo unakuja hapa kusema mnajua vita??
Acha utani dogo, watutsi mna mdomo kama mwanamke wa kiswahili ukimpa Kofi la Moto anakimbia akiwa analia dunia nzima isikie amepigwa.
Huyo ndiyo Kagame&Co. Ltd.
 
Last edited by a moderator:

...absolutely right......mimi nashangaa eti watu wanasema........."diplomatic fault".......HAKUNA DIPLOMATIC FAULT YEYOTE kama kweli kuna jambo hilo lilitokea........ni lini tulikubaliana na Rwanda kuwa tunaungana na RPF (PK) kutowatambua FDLR?.......
 
Wataathirika vipi?
 
Tanzania iliwahi ku-host Kagame. List ni ndefu sana. Kitu kimoja ambacho Kigali must understand ni kuwa Tanzania haichaguliwi nani wa kuongea naye nani hapana.

Narudia wakati Marekani ipo katika wakati mgumu na Cuba, Fidel Castro alikuwa rafiki wa Tanzania tena akisaidia elimu kama ujenzi wa shule za Ruvu, Ifakara, Kilosa.

Tanzania ilikuwa na ubalozi wa Palestina pale Upanga na bendera ikipepea, si Mmarekani au mwisrael aliyewahi kuichagulia Tanzania nani wa kuongea naye.

Hawa wanyarwanda wanataka kuondoa ulimwengu katika mada ya Kagame na mauaji ya watu wake nje ya nchi.
 
LAST WEEK President Jakaya Kikwete of Tanzania rolled out the red carpet for Faustin Twagiramungu, once Rwanda's Prime Minister. It is unusual for a head of state to give VIP treatment to an ordinary individual with no known achievements, or political status in his country.
Twagiramungu's only claim to distinction is his dismal failure as prime minister, perennial grumbling, plotting against his country and a high level of ingratitude to people who saved his life.
In normal circumstances this would be considered a diplomatic faux pas considering that Tanzania and Rwanda are neighbours and partner states in the East African Community.
Obviously this fact is not strong enough to dissuade some people against abandoning customary civilised conduct. In that sense Twagiramungu's high level reception was not unexpected. In fact, it fits into a pattern that became public early in 2013.
The visit comes after Twagiramungu announced an alliance of his little known party (to do with dreams or something) with the genocidal Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR).
His announcement followed another one by the Bernard Ntaganda faction of PS-Imberakuri that they were also forming an alliance with FDLR.
The Rwanda National Congress of another Faustin – Kayumba Nyamwasa – has been desperately trying to get hitched to the genocidal bandwagon. If they have not gone the whole distance, it is because of mutual mistrust, not for lack of effort.
So immediately the announcements are made, Twagiramungu and co. hops off to Dar es Salaam to meet President Kikwete. Was it on their initiative? No. They were invited. Was this a friendly visit to an old buddy? Yes and no.
Some of you will remember that a year ago, President Kikwete proposed that the Government of Rwanda should negotiate with the FDLR for them to return home and for peace in the Great Lakes Region.
To Rwandans busy rebuilding their country and their Rwandanness, Kikwete's proposal was either the result of great disrespect and insensitivity or part of a wider plan against Rwanda.
As it now turns out, that outrageous suggestion was not the random muttering of someone with nothing useful to say, but part of a well-thought out strategy.
The answer to his preposterous proposal was unequivocal. No – there can never be any negotiations with genocidaires.
President Kikwete and his new-found foreign allies – the same that are responsible for all the mayhem in this region – must have realised that the proposal for talks could not fly. In the eyes of Rwandans and other right-thinking people, FDLR was a criminal, terrorist and genocidal organisation and not a legitimate political party.
And so they had to move to the next stage of the plan – to legitimise it. Hence the rush for a PS Imberakuri faction and Twagiramungu to announce their alliance with the FDLR.
Allying with parties perceived to be free of genocide connections was obviously meant to erase the genocide label from FDLR and turn it into an acceptable and credible political organisation.
Whitewashing FDLR is the first phase in a two-pronged strategy by Kikwete, Rwandan fugitives and foreign powers to pressure the Government of Rwanda into negotiating with it.
Their thinking seems to be that if the genocide label is hidden from view and the base of the organisation broadened, the FDLR would gain credibility and there would be no more reason for Rwanda not to negotiate with it.
If this is not enough to push Rwanda into talks, there is a back-up position – use of force. This second phase of the strategy is already under way.
It is well-known that the FDLR has been an integral part of the forces that fought M23 rebels in the eastern D R Congo. This alliance of forces included MONUSCO, DRC army and special UN Intervention Brigade whose bulk of troops was provided by Tanzania.
It is also common knowledge that in the joint operations against M23 some of the UN arms were given to FDLR. The same weapons are expected to be used by the FDLR and its allies to fight their way into Rwanda.
This part of the strategy explains why the Intervention Brigade whose mandate was to fight all negative forces in DRC has made no move against FDLR. You simply cannot fight an ally, especially if that ally also happens to be a vital element of your strategy.
This is not the first attempt to legitimise FDLR. Its apologists led by Human Rights Watch, MONUSCO and some of the many special envoys to the DRC have argued that it is no longer made up of genocidaires but children born after the genocide.
And these should not be condemned because of the sins of their parents, that there is no issue of original sin here.
The trouble is that FDLR remains a genocidal organisation despite all the attempts to wash it clean. It has not renounced the ideology of genocide. The children born in FDLR territory in DRC in the last twenty years have been brought up on that ideology and know no other.
In that sense they are worse than their parents. But in any case they have always been invited to return home, and thousands have done so.
The political parties now allied to FDLR to give it a cleaner face and broader base have no national character and represent only a few people – mainly their founders.
Their leaders, such as Twagiramungu have lost touch with reality and live in a permanent state of reverie. President Kikwete is gambling on the wrong people.
The option of fighting the Rwanda Defence Force – well, that is a different proposition that only the foolhardy, the utterly stupid or suicidal can contemplate. I would strongly advise against it.
josephrwagatare.wordpress.com
Contact email: jorwagatare[at]yahoo.co.uk
 
Kuna interest gani hapa for JK to host FDLR (number one enemy of Kigali), hii haitafikia kwenye army conflicts bts these two states(they know better) ila ninachoona uhusiano baina ya TZ na Rwanda umefikia mwisho na hakutakuwa na ushirikiano kwa chochote for the long time to come na sitashangaa kuona borders btn them zikifungwa,watakao umia ni wafanyabiashara kama Azam mwenye billions of businesses in Kigali,trucking business,Rwanda will stop using Dar port for good etc,na kwa hili naona sasa COW is the new EA...tofauti za kipuuzi za wanasiasa ambazo hazina maslahi ya nchi zinaishia kuharibu kazi na biashara za wananchi
 
........waacheni Rwandans waendelee na theories zao za kututafutia ugomvi.......eti sisi Watanzania tuna-side na wauaji......aisee hawa jamaa wanachekesha sana..........hakuna haja ya kuendeleza majibizano na watu wenye uchu wa kutaka kupigana.....ila we will take/consider their theories very seriously.......
 
Huyu Kagame apigwe tu maana tumechoka sasa. Afanyiziwe kama alivyomfanyizia Patrick Kalegeya.
 
Hivi ile energy and spirit btn Rwanda and TZ waliyoshirikiana kwenye multi billion projects like Rusumo Hydro power imeenda wapi?najua kulikuwa kuna mradi mkubwa wa reli pia Dar Isaka Kigali (what happened?),nafikiri its time kuangalia positives ambazo zinaweza kusaidia hizi nchi kuendelea mbele kuliko negativity zinazoendelea sasa,its not too late na ukiangalia vizuri sioni any serious conflict/problems btn these 2 countries
 

Katika kitu ulichoongea ni point sana ila akumbuke PK Tz hawajawahi kupangiwa marafiki kama unakumbuka toka enzi za vita baridi,Vita vya msumbiji mpaka makaburu.
 

Nadhani utakuwa kijana mdogo sana naomba uwaulize wazazi wako kuwa Wa Tz ni watu wa aina gani kikifika kipindi kama hiki.
 

Kuna kitu usichojua mipaka ikifungwa Rwanda ndio itakayoumia sana tena sana.Hao wafanyabiashara si tu ni wafanyabiashara wakubwa kuna kitu umesahau hapo ni kuwani walipa kodi wakubwa kwa serikali ya Rwanda na pia ni watoa ajira nyingi kwa wafanyakazi na wafanyabiashara wenye maduka wa kinyarwanda ambao ni wasambazaji wa hizo bidhaa zao.Ukiwagusa unagusa chanzo cha kodi,ajira na unafunga maduka ya wasambazaji!Mapato ya kodi yakiyumba Jeshi linaenda bila mishahara ukiwaambia wapige adui wanageuza bunduki wanakutandika uliyetoa amri kwa kuwa wanakuwa wamechoka maisha magumu.

Pia ufahamu biashara zinasimamiwa na sheria sio na siasa.Huwezi amka asubuhi ukasema toka leo mfanyabiashara wa Tanzania funga duka.Utaburuzwa mahakama za biashara za kimataifa ulipe hadi ufilisike.
 
TANZANIA nyumba ya AMANI woote wanakaribishwa wenye madukuduku karibuni rpf karibuni fdlr karibuni kagame karibu na wote wenye chuki binafsi karibuni TANZANIA tutawapa NASAHA NA USHAURI NA KUWASULUHISHA ADUI YAKO WEWE HUYO NDIO RAFIKI YETU PAMOJA NA WEWE!!!RAIS WETU JK, NI GWIJI LA UFUNDAJI ATAWAFUNDA NYOOTE BILA SHARI
 






PAUL KAGAME....MAMBO? HAYA MANENO HAPA NAJUA NI WEWE UMEYAANDIKA NA KUJIFANYA ETI NI josephrwagatare.wordpress.com.

SASA SIKILIZA NIKWAMBIE MWAFRIKA MWENZANGU, SISI SOTE NI WAAFRIKA. MUNGU ALITUUMBA NA HII NGOZI TUISHI KAMA NDUGU, WATOTO WA BABA YETU MMOJA HAM. UNISAMEHE KAMA NIMEKULETEA HABARI ZA BIBLIA PASIPO KUPENDA KWAKO.

KUJIKWEZAKWEZA SANA WAKATI MWINGINE SI BUSARA UJUE. KOBE ANAWEZA KUISHI MAISHA MAREEEFU SANA KWA SABABU TU HAPENDI KUJIKWEZAKWEZA. SASA SIKILIZA NIKWAMBIE:

JANA NIMESOMA TAARIFA YAKO ULIYOIITA ETI NI YA KIINTELIJENSIA KWA KICHWA CHA HABARI HIKI HAPA

Published On: Sat, Jan 25th, 2014
Tracing President Kikwete's FDLR Links Back To Rwanda

KUHUSU MTU ANAISHI KWENYE MIPAKA YA UFARANSA NA NETHERLANDS. HII HABARI NI YA KUOKOTEZA KUJARIBU KUICHAFUA TANZANIA NA RAIS WETU. MIMI NI MWANANCHI WA KAWAIDA TU LAKINI NINAAMINI WATANZANIA WENZANGU WENGI WANAKUBALIANA NA FIKRA ZANGU HAPA

KWAMBWA TUNAMSAHIHISHA KIKWETE KWA MAKOSA MBALIMBALI ANAYOYAFANYA KISIASA HAPA NDANI. LAKINI SISI NI WAMOJA KULIKO UNAVYOFIKIRIA.

MOJA: MWACHE KIKWETE KAMA ALIVYO KWENYE HILI LA FDLR
PILI: ACHA KUOKOTEZA MAMBO YANAYOHUSU WAKIMBIZI WA KISIASA, ASYLUM SEEKERS, NA KUYAFANYA ETI NI HABARI ZA KIINTELIJENSIA KUMCHAFUA KIKWETE

TATU: PUNGUZA KUJIKWEZAKWEZA NDUGU YETU.

SISI WATANZANIA NI WATU WAPOLE SANA...KAMA HUJATUCHOKOZA. TAFUTA AMANI NA SISI; USITAFUTE UGOMVI KWA SABABU UKIENDELEA KULETA ZA KULETA TUTAKUCHARAZA UJUE.... NA HILO SIYO JAMBO LA KUSHABIKIA. KWA JINA LAKO LA PAUL NAHISI WEWE NI MKRISTO.

BIBLIA INAELEKEZA WAFUASI WA KRISTO KUTAFUTA AMANI NA WATU WOTE. WEWE HAPA UNATAFUTA UGOMVI!
 
Mbaya zaidi ni kwamba anatafuta pa kushikia wakati amefumba macho...kinachofuata hapo ni kugusa nyaya za umeme ambazo hazipo insulated huku zikiwa ni high voltage...


Nimepitia michango yako yote kuhusu kagame well said.
 

Not sure na ulichoandika lakini Tanzania is not a biggest trading partner of Rwanda,na hata matumizi ya Dar port yamepungua sana na sasa almost 100% of Rwandans cargo zinapitia Mombasa,for now Uganda, Kenya and Eastern Congo ndio partner wao wakubwa kibiashara,Nafikiri businesses btn them is a lost opportunity baada ya deal LA kujenga reli kufa na hizi politics za sasa naona ndio zinaongezea,TZ alitakiwa aigeuze Rwanda customer wake 100% lakini naona Kenyatta kashinda for now...my wish and hope ni amani na uhusiano mzuri btn them, hizo politics zitapita tuu
 
Hivi Kagame si aliingia madarakani toka nchi ya kigeni au alitokea mbinguni? Huyu mtu anasumbuliwa na paranoia for he knows kifo chake kiko karibuni. Ashukuru ameweza kuishi miaka 20 toka aingie Rwanda ila sasa his time is done, people will kill him and his entire family. Time will tell. I support anybody who kills terrorist and war lords like Kagame.
 
I would have loved to see that Rwanda Become one of Tanzania Region,Hope that it is about three days we will reach capital city Kigali,if not with in few hours Kigali will turn into ashes,there is no need to go there,but to attack them from capital city Dsm.
Once we reach capital city we will overthrow kagame's regime and plant our puppet leader who will receive orders from Dsm,after that we will regrant again their Independence.I talk this due to the fact that Tanzania has great military capabilty.
So Kagame proceed and then will see the end of regime before respected time.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…