Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.

Nashukuru kwa hoja zako fasaha

1. Rudia tena kwenye tafiti zako jiridhishe kuwa PK na watutsi hawajawauwa watu kwa sababu si watutsi.

2. 6000000 inocent congolese waliouawa na Kagame pamoja na askari wa Uganda waliosingiziwa ni Intarahamwe na kuwa paraded na askari wa PK hiyo si genocide.

3. Wapinzani wa Kagame wengine wakiwa watutsi wenzie na pk hao ni mbwa si binadamu? Na inafanyika hivyo kwa kujihami na uhalifu tu.

4. Kwa nini maadhimisho yawe kwa ajili ya watutsi tu wahutu hawajauawa? Jibu ni rahisi kulingana na watutsi, wao wanaua na kulia wanauawa na kuhadaa dunia.

5. Mimi Mtanganyika toka central Tanganyika nachukia dhulma ya maisha atayofanyiwa mtu ye yote pahali po pote na mtu ye yote kwa sababu yo yote. Naamini kuna njia bora zamaelewano kuliko kutoa maisha. Hii imani yangu ni tofauti sana na viongozi akiwemo pk na jk. Nasisitiza dhukma ya maisha hata ya mtu mmoja kwangu inanisababishia maumivu kwa sababu naamini kuna mbadala wa kupata haki kutoka kwa mhalifu.

6. Narudia chokochoko za Rwanda dhidi ya Tanzania si za wanyarwanda wote bali ni za pk na genge lake la watutsi kumtishia rais wa tz hata kama ana madhaifu yake. Hilo halitavumiliwa litasemwa hadharani na ikibidi kuzipiga poa tu lakini tz iheshimiwe.

7. Umeelza vizuri kuwa hakuna tamko la serikali ya rwanda lakini aliyetishi kufanyia jk akiingia kwenye anga zake ni pk. Na alisema hadharani akaenda mbali kusema atakaesaliti rwanda atakiona(atauwawa) na niwakati alipouwawa mtutsi mwenzie SA. Ungetaka serikali itoe tamko lipi?

Mission ya MUKAMASIMBA iliyoleta malumbano haya kila upande ilikuwa na lengo. Lengo hili ni kujihami kwa uhalifu wa watutsi ambao ni zaidi ya genocide. Lakini mashambulizi kwa jk ambaye kwa sasa ni alama ya tz yalikusudia tumdharau rais wa nchi yetu HICHO HAKIWEZEKANI pamoja na tofauti zetu.

Mwisho watutsi waendelee tu na maadhisho ya genocide walioshiriki na kuhadaa dunia. OGOPA SANA WATU WANAVYOKUONA KIMATENDO NDIVYO SIVYO NA UNAYOYASEMA.

USHAURI

Kuanzisha hoja za chuki kama hii ya mukamasimba itajibiwa kwa chuki na nguvu ile ile tu hasa kutokana na kujaribu kumchafua mtu kama jk rais wetu. Halafu pamoja na credible research nazungumza kutoka na uzoefu na ushuhuda wa kujionea
 

Bongolander, nashukuru kwa majibu yako ijapokuwa sijaridhika na baadhi. Mimi sio msemaji wa Serikali ya rwanda ila ni raia ambae kwa namna moja au nyingine ni muathirika wa mauaji ya kimbari ya 1959,1972,1994. Suala ambalo sisi hatuwezi kulifumbia macho kamwe ni uchochezi wa aina yoyote dhidi ya kabila lolote ndani ya nchi yetu. Mtazamo wangu na wengi humu ni kwamba tukiwaachia watu wachache humu wakasambaza sumu ya chuki dhidi ya wanyarwanda mwishowe hata watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya kisiasa wataanza kuamini kuwa wayasemayo ni ya kweli. Sisi tuna mfano hai hapa wa ile redio RTLM ambayo ilichochea mauaji ya kimbari.

Mimi naamini sana kuwa katika forum hii kuna watu wengi ambao hawajui historia ya rwanda ila kwa kupitia magazeti na mitandao. Wengi hapa aidha walikuwa wadogo wakati wa mauji ya 1994 au hawajui chimbuko na nia ya wanyarwanda kutaka kurudi kwao.

Mimi ningewasihi wana JF kuwa katika threads zinazohusu Rwanda na siasa zetu, wajaribu kufanya utafiti kidogo na wasiamini sana hawa "war mongers" kama akina jMali,Rushasha,Mokala1989,Majeshi 1981 and Co. lakini wachambue kwa kina huu uchochezi wao.

Vile vile I believe kwamba raisi wenu ana lake jambo! Ni dhahiri kabisa kuwa hawa akina Twagiramungu na huyo kanali wa FDLR, walialikwa kuja hapa kama vile yule kamanda wa FDLR Nzeyimana alivyo alikwa hapo Tanzania. Huu ni mtiririko wa matukio mengi ya kujaribu kuwakumbatia maadui wetu na yote haya yamefanyika kwenye awamu ya raisi wenu Kikwete. Hili linatupa wasi wasi sana na wahenga wana msemo "where there is smoke, there is fire". Tahadhari kubwa ichukuliwe na viongozi wenu wenye uelewa mkubwa nchi zetu zisije zikajikuta ziko kwenye vita ambayo inasababishwa na watu wachache ambao nina uhakika moto ukianza kuwaka, ndio watakuwa wa kwanza kukimbilia uswisi walikoficha hizo hela zao za wizi.
 

Hapa ndipo mnapofanya makosa. Tanzania haiwezi kuwa dictated na matakwa yenu never ever. Mbona kuna waliopewa hifadhi Uganda SA na rwanda ikafanikiwa kuwaua. Mbona baadhi yenu wengi sana mlikuwa wakimbizi tz na mlipanga vita yenu tz? Huo uwezo wenu wa kuwaua maadui zenu ndiyo inafanya maadui zenu wajiimarishe kuwaua.

Unapo "personalise" rais wa awamu hii jk ndiye anakutana na madui zenu unapotoka sana. Hamuwezi kumuamulia rais wetu akutane au asikutane na nini. Kuna kitu kinaitwa BUSARA kingine kinaitwa HEKIMA. Rwanda kwa uzoefu wangu hamna hata kimoja kati ya hivyo na ndivyo mlivyo binafsi na hususan watutsi.

EBU JIFUNZENI KUHESHIMU WENGINE
 

Blah blah blah blah blah... peleka huu ujinga kwa mabwege wenzako wenye akili za darasa la pili kama wewe ndio watakuamini sio hapa.
 
Ndugu yangu MimiBaba...Usijali hata kidogo wewe sijakuweka kwenye kundi la wanaozungumza bila research...kama ulivojisemea mwenyewe nilikisia sahihi kwamba wewe unazungumza kwa kujionea/kushiriki hiyo genocide whatever the case is. Hapo nilikuwa nawazungumzia wadau ambao wanajikuta katika ushabiki wasioujua. Wala nia yangu si kukunyooshea kidole kwa kuwa haisaidii kitu hapa. Kwa mtazamo wangu nakuweka katika kundi la wanaotaka sympathy ya waTZ wasioijua historia ili kupata back up ya kufuta ukweli wa genocide. Ndio maana kila comment yako una highlight wamuache JK blablabla...JK hahitaji utetezi wako for ur information. Mambo yake na majirani zake yana intelligency na diplomasia ya kushughjulikia hategemei utetezi wako. Ila kwa kauzoefu kako hako ambako umekiri kushuhudia ebu tupe kwa kifupi genocide ya 1994 ilikuwaje? Je ni sahihi kusema ilifanywa na kagame au ilisababishwa na watusi? Mbona hujanijibu? Ninachojua ilifanywa na wahutu dhidi ya watusi au sio? Hilo kwa upeo na ufahamu wangu halina compromise. Isipokuwa wahutu wana justify kuwa walifanya hivo kwa kuwa watusi walimuua Rais Habyarimana. What amazes me ni kwamba ilikuwaje just the same day Habyarimana alikufa kila mhutu akawa tayari ana panga na shoka awe wa mjini awe wa kijijini na mauaji yakafanyika systematically kila pembe ya nchi...hapo bado sijaelewa. Tunazungumzia genocide hapa...kama kuna ushahidi wa kwamba Wahutu walifanyiwa genocide naona kidogo umepwaya maana 20 years after bado haijakubalika na kutambulika hivyo! Kwa hiyo kwa mtazamo wangu you can't change history bahati mbaya...you can only work on it to establish a better future...you can always learn from your mistakes for a better tomorrow. Mlifanya genocide...yes RPF iliisimamisha na unapopigana na muuaji obviously sio amicable embrace...muuaji huyo asipojihami na kukimbia unaweza ukamjeruhi au hata akafa na kuwafanya wauaji wengine wakimbie kwa kuogopa mkombozi. Kuhusu mauaji yanayosadikika kufanywa na serikali ya Rwanda...Mimi na wewe si wasemaji wa Rwanda na wala hatuna huo ushahidi...Hayo ya Kongo unless ukiniletea statistics verified kuwa wakongo wangapi waliuliwa na KAGAME na watusi wangapi waliuliwa na nani sijui still nitakuweka katika kapu la propaganda. Kama ambavyo hatuwezi kuthibitisha JK kum host Twagiranini sijui....hata kama kafika aendako akathibitisha still tunaipa serikali yetu benefit of doubt si ndio? Haya tuwaachie Baba na Mama watajuana wenyewe...:A S 103:
 
Huu ugomvi lini utafika mwisho??? Wote ni Raia wa Rwanda kaeni kitako mzungumze. Hilo ndilo suluhisho litakalo kuwa na faida kwa watoto wenu baadae. Matusi na kashfa mnazozuliana si msaada kwenu. Msamaha utawavusha pande zote.

Ugomvi upi? Sisi hatuna ugomvi na mtu. Tunachosema, hawa FDLR waweke silaha chini warudi rwanda.
 
Jmali hivi hlo gazeti New Times nani analimiliki,maana nijue ili nione nafaa au sifai kushiriki kwenye mjadala huu.

Linamilikiwa na chama tawala cha RPF kupitia kampuni yake ya crystal ventures (which is also the biggest company in Rwanda, lakini hawaishi kutuambia Rwanda inaongoza kwa uwekezaji, wakati makampuni yote manene ni ya chama tawala).
If you go to the 'about us' page right now through here(new times-about) utakuta eti 'page being updated', wakati website yao imeanza toka mwaka 2003! yani miaka yoote hiyo kumi na moja bado wana-update only this specific page!
 

[h=1]Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria[/h]
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo.


 

Gazeti la Uhuru linamilikiwa na nani? you dimwit
 
Blah blah blah blah blah... peleka huu ujinga kwa mabwege wenzako wenye akili za darasa la pili kama wewe ndio watakuamini sio hapa.

Although I don't agree with what you are saying but I will defend to death your right of saying it - this is human right, the right of freedom of speech . This is what you lack my friends Rwandese . Ndo maana unajibu kwa emotions , hutaki hoja za watu wengine yaani wewe bozoo kweli!!!! Haya ya kutokutaka mawazo kinzani peleka huko huko Rwanda. This is JF hosted in the cyberspace. Free space where any one is free to write and publish anything. It is a gate without gate keeper.
 

Kama kawaida kwa unafiki tu hamjambo! Wewe hiyo unayosema ni nyingine kabisa. Unayoongelea wewe ni speech aliyotoa katika graduation ya chuo cha jeshi Nyakimana.
Maneno ya 'i will hit you' yako kwenye speech aliyotoa tarehe 30 juni, 2013 katika youth konnect summit iliyoandaliwa na mkewe. Na alikuwa anaongea na vijana. Kitu cha wazi kinachoonekana ni kuwa uko kazini. You can't seriouly say hii issue wewe kwako ni mpya au ni propaganda. Hii ni common tactic kwenu mapropagandist. Mnaposhindwa mjadala mnaaza diversionary tactics kwa kuanza kuuliza vitu ambavyo ni facts na vingine common-sense. Anyway ili nisije nikajishusha kufikia hadhi yako kwa vile wewe 'muungwana' fanya mojawapo kati ya haya vinginevyo sepa tu, tumeshakushtukia, urudi na ID nyingine!:

1. Kataa au kubali kuwa kulikuwa na hiyo event ya youth konnect iliyoandaliwa na Mrs kagame tarehe 30, juni 2013.
2. Pili, kama unakataa hakusema maneno nitayakoandika hapa chini, basi lete wewe ya kwako, vinginevyo tukubaliane kuwa kasema.

NANUKUU:

Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”


kazi ni kwako....

cc: JokaKuu, NasDaz, Mimibaba
 
Last edited by a moderator:
Aise umeoa mkuu kama hujaoa nina dada yangu mzuri sana ili mzae nipate wajomba wenye akili kama wewe teh teh ha ha !!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hao unaowaita "maadui zetu", walikuwa ndiyo serikali ya Rwanda 1994. na wenyewe pia walikasirika tulipo "wakumbatia" maadui zao kina kagame vile vile, na kushauri mazungumzo wakati kagame kishafanya mauaji kwa miaka 4! (seuze siku 100).

Hivyo elewa kwamba we will be the last people kuwatenga FDLR ambao by the way wanaongelea amani. Hivi do you think kwamba Tanzania inahitaji FDLR ili kuwapiga nyinyi? Do you think kama kuna any ill motivekwa upande wetu, Twagiramungu angesema hadharani kuwa kaja Tanzania, au hata wewe (na mimi) tungejua kuwa wamekuja? Sababu ya public kujua juu ya ujio huu ni kwa sababu hakuna lengo baya lolote ndio maana hakuna mtu anajificha. Lakini you people act as if hii habari imejulikana kiitelijensia hivi or something.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…