Jasusi, consider the following highlights!What has Laurent Nkunda got to do with Tanzania? We have so many internal problem why do we want to make Rwanda our problem too?
Just be honest ogah...hivi Kuna tatizo gani serious btn these 2 countries au ni ushabiki tuu na agenda za siri za baadhi ya wachangiaji humu?
Ni kweli naona MAGAMBA wanafanikiwa sana katika haka kamchezo,uchaguzi unakaribia.
kwani hizi fitna kaanza nani, si nyinyi ndio mmeanza kutuchagulia marafiki? magamba wameingiaje hapa? Tanzania ni moja, sio kama Rwanda. Ukituchokoza utashangaa magamba yanaungana na chadema zote za vyumbani mpaka sebuleni, CUF, NCCR, mpaka saccos na vikoba kudadadeki! Tunawachapa halafu tunaendela na fitna zetu za ndani kama kawa.
Sasa utakachoshangaa ni sapoti tutakayopata huko kwenu toka kwa majority!
Kagame hamalizi kutawala rwanda utawala wake utaangushwa,ni vempire anatawala kwa mkono wa chuma,katka mauaji ya kimbali alitakiwa awe mshitakiwa no moja,ndio maana alionekana kuchukia na kutengeneza mtandao wa kumuua mwanasheria Juan Mwakyusa,ambaye alitaka kagame ashitakiwe kama mshitakiwa no moja!
Ndugu! achanikueleze ushauri sio mbaya hata sikumoja,lakini ushauri wa kikwete ulikua wakinafiki,kwani ilikua inajulikana kikwete anashirikiana na FDLR kwa hali na mali hata kabla ya kumpa ushauri,sasa baada ya kugundua kwamba kigali ilikua ikifahamu nyenendo zake na FDLR ndio ikabidi alianzishe ili ionekane kwamba kigali ndio wabaya,kwani alijua kigali haiwezi ongea na wauaji.
Kitu kingine kinacho endelea humu jf ni kama kwamba tanzania ina haki ya kuingilia politics za rwanda,siyo haki hata kidogo kwakweli mambo anayofanya kikwete watanzania inabidi kumuliza kwani yataleta matatizo kwa watanzania na wanyarwanda,kwa mfano pk akimshauri jk(ccm) kuongea na CHADEMA na ikibidi wagawane madaraka na inajulikana CCM kukaa madarakani ni mabavu tu na wizi mtupu,wewe unafikiri jk atamjibu vipi pk? mimi jibu ninalo atamjibu mind your business,na mimi na conclude jk mind your business,kwani wahenga walisema mkuki kwa nguruwe..kwa binadamu uchungu.
Mbona hamuongei CCM? tokea uhuru iko madarakani na mpaka leo mmeshindwa kuitoa madaerakani,je mnafikiri pk akiondoka RPF itaondoka? na kama mnataka kuondoa chama basi anzeni na CCM.
mimi na conclude jk mind your business,
AHAHAAHAH kuna msemo unao sema adui wa adui yako ni rafiki yako,sasa hapakua na haja tanzania kua adui ya rwanda kwa kuweka urafiki na adui wa rwanda,huo ni ukweli na utabaki kua ukweli,sasa mimi sielewi sababu gani watu wanaendelea ku judge hasira za rwanda dhid ya tabia ya jk,kwani ameamua kua adui wa serikali ya kigali kwa kushirikiana na wapinzani wa kigali.
Tuna haki ya kutofautiana na bado kuendelea kuwa marafiki. Kwa muda mrefu siasa za TZ na kenya zilikuwa zinapingana. Man eats man vs Man eats Nothing. Ulisikia tumepigana? Wapo political exiles kama Kambona etc, waliokimbilia uhamishoni Uingereza na kwingineko ulisikia Nyerere anatishia ku-hit nchi zilizowahifadhi? tulivunja uhusiano?
Misaada yenu mingi inatoka US na western countries, mbona hamuwatishii kwa kuwa wanahifadhi kina Rudasingwa huko? Mbona hamsemi america ni adui wa Rwanda. Mnatutishia sisi ambao tunawasikiliza tu watu wanaokuja na kuondoka zao kama Twagiramungu?
Pili, tambua kuwa Kikwete katika hili ana-enjoy support ya watanzania wote, hautampata mtanzania halisi yoyote anayesapoti msimamo wa kagame/Rwanda wa vita na FDLR vs mazungumzo. Nchi hii sio dictatorship kama Rwanda, Kikwete ana-represent msimamo wa Taifa zima, hivyo acha kufanya swala hili kama ni la kikwete personally.
Ku-mind business ni pamoja na kagame kuacha kutoroka rwanda usiku na kwenda kuchungulia usiku vyumba vya watanzania kikiwemo chumba cha Kikwete kuchungulia dirishani kuwa huko chumbani Kikwete yuko na Twagiramungu au nani na wanafanya nini na kuongea nini akome kama kweli anajua maana ya mind your own business kama usemavyo.
Ingawa nafahamu fika kua wewe ni mnyarwada acha ni kujibu kama mtanzania,cha kwanza hujajibu hoja yangu unaleta story za kambona sijui USA! ninacho kueleza ni kwamba huwezi chaguliwa rafiki nakubali lakini nawewe inabidi kuangalia ni rafiki gani nachagua,basi kwanini tanzania haina urafiki na ALQUAIDA au alshababu? ni kwasababu wanajua effect yake kutoka USA,sasa kwasababu rwanda ni nchi ndogo basi mnaidharau,wanasema mudharau mwiba.....
Na ndio maana nikaamua kukuambia ni kwanini alikwepa kuwa president from the beginning ili apate kukaa madarakani kwa muda mrefu...23 years huku akitaka supporters wake waamini kwamba amekuwa president kuanzia 2003 (kwa kuchaguliwa kama unavyosema wewe) wakati he's de facto ruler since 1994!! And take it from me, anywhere around 2016 towards 2017, Kagame atatengeneza military situation in Rwanda ili asiondoke 2017! Atatengeneza military situation kama vile kuanza vita against opponents kv FDLR ili apate uhalali wa kuendelea kuwapo into power kwa kigezo kwamba the country is under unstable condition so we can't have general election until peace is restored!Mbona story nyingi? mimi nakwambia pk alichaguliwa na wananchi wake marambili na observers wote walikuwepo na walikubaliana na matokeo hayo,sasa wewe mzunguko wa nini bwana.
Murutongore i may agree with you in certain cases and may not agree with you in others. True colors of a Tanzanian, like me, is that of welcoming people regardless of who they are. And not fueling hate to those who have different looks from us.
Koba anataka kuleta ujinga wa kuwafanya watu waanze kuwa na akili za Bagosora, i am telling you that will never happen in Tanzania, those kind of ideas will not be welcomed. Hapa Tanzania akija mhutu, mtusi, m-ha, m-hima aje tu. Lakini mhutu akija kwa lengo la kutaka kumuua mtanzania eti kwa kuwa anafanana na mtusi, am telling you he will not last. Hata mtu kama Koba akijaribu kuleta mentality ya Bagosora, it is not going to be welcomed. We value humans who respect human dignity, sio kama KOba mwenye akili za Bagosora.
Join date 23rd january 2014. Post=1....Mtafungua ID kontena zima mwaka huu!!
Rwanda maskini sana, harafu Tanzania tajiri sana, ok!!mkuu hivi kwanini kila anayetoa point ya kutaka kumaliza Hutu-Tutsi conflict unamjibu kwa kufoka, unafaida gani kwenye mgogoro huu,uliouanzisha wewe kwenye thread yako:Join date 28th january 2014, post=1,. Mnajihangaisha tu kufungua ID mbilimbili, hata mkononi hamjai. Tumeshawashtukia. Btw, hiyo misifa yote ni ya kununua toka Racepoint PR company, Ukweli ni kuwa Rwanda ni maskini sana ndio maana kila siku tunatimua wakimbizi haramu maporini kwetu! Pia Rwanda ina wakimbizi zaidi ya 100,000 malawi, zambia, DRC, ulaya, marekani, SA...ukiacha DRC, waliobaki majority ni watutsi!
Rwanda maskini sana, harafu Tanzania tajiri sana, ok!!mkuu hivi kwanini kila anayetoa point ya kutaka kumaliza Hutu-Tutsi conflict unamjibu kwa kufoka, unafaida gani kwenye mgogoro huu,uliouanzisha wewe kwenye thread yako:
Jmali wewe ni nani haswa?nimejaribu kupitia post zako zote hakika wewe sio mTanzania, i swear!
Statement ya I will hit Kagame kaisema wapi, ebu tupatie hiyo link ya youtube nasisi tusikie,tatizo watu wanadandia tu, nakupandisha jazba zisizo nasababu:
Watu kama Jmali wako kazini wanalipwa, na haohao ndio wameongeza hiyo statement ya i will hit him: