Rwanda: President Kagame fires Military Intelligence Chief

Mkuu umeua ile mbaya!! Koba aka Mchambawima aka Murutongore unaitwa huku data zinazungumza zenyewe
 
Kumbe akina Kamanzi ni Wanyarwanda! Sikujua
 
Kila serikali ina mambo yake inayofanya hususani kwenye mambo ya Usalama iwe wazi au kwa siri, hakuna Taifa linalovumilia Usalama wake kuwekwa rehani, kuongoza nchi kama Rwanda yenye maadui ndani na nje ya nchi hata hivyo wanajitahidi sana, ushabiki unafanyika kwenye hii post kama sio watu kufanya makusudi basi wengi uelewa wa masuala ya Usalama ni mdogo.
 
huyo tunamkaribisha Tanzania..


Sawa ila utambue kitu hapa. Atakuja Tanzania then Kagame atatumia diplomats wake waliopo hapa kum-assassinate huyu jamaa. Kagame is a cold blooded killer, he rules Rwanda like his backyard na yuko very paranoid bcs once you kill humans for fun, you will never live happily kila muda unahisi unataka kuuliwa na wewe maana damu zao zinakusuta/kukutafuta.
 
Kwa nini Rwanda ina maadui ndani na nje?
 

Huo mwaka 1954 ni mwaka wako wa kuzaliwa au?
Ni wapi nimebisha? NIMEULIZA SWALI, aulizaye si mjinga.
Waangalie wenzio wenye busara walivyonijibu.
 
Bado yuko hai?
This is most unlikely in Rwanda.
Mimi namuonea sana huruma mchambawima1 mwisho wake utakuwaje siku Kagame akimchoka.
Yaani namuonea huruma Mchambawima, tatizo amejisahau sana. Kaishi Bongo mpaka akasahau majukumu yake. Amebaki kila thread kumtaja Jmal.

Ha ha ha..Mchambawima mwenzako akinyolewa.....
 
Kumbe yupo ndani ya Tanzania.
 
yule wa korea kaskazini kanyonga kabisa bosi wa jeshini, nadhani hii ndo njia sawia ya utumbuaji wa majipu, kagame angenyongq kabisa huyo mtu, kwa karume na nyerere walikuwa wanapotezwa tu.
 


hii hatari kwa maisha yake
 
Hutu mshenzi kagame alihisi kuhujumu BURUNDI ATOSHTUKIWA LOH
 
Bado yuko hai?
This is most unlikely in Rwanda.
Mimi namuonea sana huruma mchambawima1 mwisho wake utakuwaje siku Kagame akimchoka.
mbona hata hanijuwi! tofauti na jMali ninachompendea Kagame ni upendo na nizamu kwa nchi yake! yani mtu kubadilishwa kazi ndio mikelele yote hiyo? wangapi wamebadilishwa kazi na tupo nao mtaani, wanaendelea maisha yao kama kawaida... kwa nini Rwanda inawanyima raha hivyo wakati tunawazidi mikakati bora? au ndio kinachowauma? kama ulikuwa haufahamu, hiyo idara siyo mara ya kwanza kuiongoza... ni mara ya tatu! sasa mbona hakuuliwa hizo mara nyingine zote? yeyote yule atayetuletea uhanithi tutamshughulisha mpende msipende! unataka tuwe kama nyinyi kuchekeana tu? story za wazee walio staafu zitakuharibu we mlevi! Maziku Masunga Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…