Rwanda: President Kagame fires Military Intelligence Chief

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,401
4,968
President Paul Kagame has fired Rwanda’s head of military intelligence, Major General Richard Rutatina in unclear circumstances.

In a statement posted Monday on the Ministry of Defence website, the president and commander-in-chief of the Rwanda Defence Forces dismissed Maj Gen Rutatina from his position commonly known as “J2”, while promoting two other senior military officers.

Though reasons for his sacking were not provided, Maj Gen Rutatina leaves office with “immediate effect”.

Before his appointment as head of military intelligence in 2013, Maj Gen Rutatina previously served as President Kagame’s adviser on defence and security. He had replaced DCG Dan Munyuza, who is now the deputy Inspector General of Police in charge of operations.

His replacement has not been provided.

Among the two high-ranking officers in the reshuffle was Maj Gen Jacques Musemakweli who will now be the army chief of staff – replacing Lt Gen Frank Mushyo Kamanzi, and Maj Gen Alex Kagame, who replaces Musemakweli as the commander of Republican Guard.
Maj Gen Kagame has been serving as the Division Commander for Southern Province.

Rwanda President Kagame fires military intelligence chief

cc: Ngongo

Namuonea huruma sana huyu General mwisho wake utakuwa mbaya tu. Atatungiwa kesi za kipuuzipuuzi wakati kosa lake dunia nzima inajua, nalo ni KUVUJA SIRI YA RWANDA KUHUSIKA BURUNDI! Anyway, wacha watumbuane tu.
 
Ayaaah maskini jamani....

Huyu Kamanda Familia yake ijitahidi aondoke hapo Rwanda mapema sana angalau atasukuma miaka kwa muda fulani. Vinginevyo akibaki hapo Rwanda, mwaka ni mrefu sana "Mkondefu" atafanya yake..!!

Pole sana kwa Familia.. Watawindwa wote na Mkondefu

BACK TANGANYIKA
 
Huyu Jamaa hana maisha marefu kama hakamatwi, basi amezuiliwa mahali.
 
Hivi huyu Alex Kagame ni mtoto wa PAKA au ni blood brother, kama ni kweli monarch inarudi
 
President Paul Kagame has fired Rwanda’s head of military intelligence, Major General Richard Rutatina in unclear circumstances.

In a statement posted Monday on the Ministry of Defence website, the president and commander-in-chief of the Rwanda Defence Forces dismissed Maj Gen Rutatina from his position commonly known as “J2”, while promoting two other senior military officers.

Though reasons for his sacking were not provided, Maj Gen Rutatina leaves office with “immediate effect”.

Before his appointment as head of military intelligence in 2013, Maj Gen Rutatina previously served as President Kagame’s adviser on defence and security. He had replaced DCG Dan Munyuza, who is now the deputy Inspector General of Police in charge of operations.

His replacement has not been provided.

Among the two high-ranking officers in the reshuffle was Maj Gen Jacques Musemakweli who will now be the army chief of staff – replacing Lt Gen Frank Mushyo Kamanzi, and Maj Gen Alex Kagame, who replaces Musemakweli as the commander of Republican Guard.
Maj Gen Kagame has been serving as the Division Commander for Southern Province.

source: Rwanda President Kagame fires military intelligence chief

cc: Ngongo

Namuonea huruma sana huyu General mwisho wake utakuwa mbaya tu. Atatungiwa kesi za kipuuzipuuzi wakati kosa lake dunia nzima inajua, nalo ni KUVUJA SIRI YA RWANDA KUHUSIKA BURUNDI! Anyway, wacha watumbuane tu.

jMali, huyu kawajibishwa kama ambavyo hapa Tz wanawajibishwa. Ila unaonekana kuwa na negative altitude na mwisho wake!!! Je, ni kila anaesimamishwa au kufukuzwa kazi ktk serikali ya Kagame anaishia kupewa kesi za ajabu?! Huwezi kuiba kuku ukaapewa kesi ya kubaka....tuamini atashtakiwa kwa makosa yanayoendana na kile alishofanya.
 
Kwani huyo afisa wa jeshi amefanya kosa gani.?? Ni afisa gani aliyewajibishwa na akabaki salama katika nchi ya Rwanda.??

Sababu za kufukuzwa hazijawekwa wazi. Ila hiyo kwamba wakifukuzwa huwa hawabaki salama ni perception tulioijenga tu. Hata kama ilishawahi tokea kwa baadhi either kwa kukusudia au bahati mbaya, haimaanishi ndio utaratibu. Anyway, let us wait and see
 
Bado Mchambawima, hajaonesha umahiri kwenye kufanya propaganda nzuri katika social media. Badala ya kusaidia ku-polish image ya Rwanda badala yake ndiyo inaivua nguo kabisa.

Ila Mchambawima baki hapohapo Mbezi, hata wakikwambia wanakurudisha Rwanda kwa misheni nyingine usikubali!! teh tehe
 
jMali, huyu kawajibishwa kama ambavyo hapa Tz wanawajibishwa. Ila unaonekana kuwa na negative altitude na mwisho wake!!! Je, ni kila anaesimamishwa au kufukuzwa kazi ktk serikali ya Kagame anaishia kupewa kesi za ajabu?! Huwezi kuiba kuku ukaapewa kesi ya kubaka....tuamini atashtakiwa kwa makosa yanayoendana na kile alishofanya.

1. Kama kawajibishwa je kawajibishwa kwa lipi kama sio kushindwa kudhibiti taarifa za kiintelijensia kuwa Rwanda ndio inatekeleza uasi Burundi?
2. Historia ya watu wanaofukuzwa Rwanda inajulikana. Naomba nirudie mojawapo ya post zangu za zamani kuhusu hili suala.
Najinukuu....

Kwenye mambo ya reshuflle za Rwanda huwezi kusema hizi comments zetu ni paranoia hata siku moja. Kutoka uwaziri mkuu hadi ubalozi ni DEMOTION. Ni sawa na zile habari za kuachishwa cheo fulani chenye hadhi na kinachojulikana halafu "ukarudishwa wizarani kupangiwa majukumu mengine", ni lugha polite ya kusema UMESHUSHWA CHEO. Kushushwa cheo sio necessarily jambo baya kwa nchi kama Tanzania, ila kwa historia ya Kagame anaposhusha watu vyeo, tena kwa level za aibu za kama hii ya kutoka waziri mkuu kwenda ubalozi, inajulikana. Hivyo si ajabu kwa watu kubashiri kitakachotokea na wala sio paranoia. Tuangalie kesi chache tu:

  1. Kayumba Nyamwasa alivuliwa UKUU WA MAJESHI Rwanda, akapewa UBALOZI India. Baada ya hapo mwenyewe akakimbilia uhamishoni SA. Ilibainika mahakamani SA kwenye kesi ambayo ilifunguliwa kupinga uhalali wa yeye kupewa ukimbizi kuwa, kumbe aliomba hifadhi punde tu baada ya kupewa cheo cha ubalozi, inaelekea alikuwa anajua kabisa kuwa kushushwa cheo Rwanda maana yake nini. Nadhani unajua kilichompata huko SA.
  2. Patrick karegeya alikuwa MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA, akashushwa cheo kwenda kuwa MSEMAJI WA JESHI, baadae AKAPOTEA kusikojulikana, kumbe alifungiwa kwenye nyumba za usalama wa taifa, akavuliwa vyeo vyote vya kijeshi, akafanikiwa kutorokea South africa, kilichofuatia nadhani unajua.
  3. David Himbara alikuwa katibu mkuu kiongozi, akafukuzwa baada ya kutofautiana na interests za first lady. Baada ya hapo ndugu zake wote walioajiriwa serikalini kuanzia mkewe aliyekuwa mamlaka ya mapato, wajomba, shemeji…anybody related to him, wote wakafukuzwa at the same time! What a coincidence! Akakimbilia Nairobi, huko alinusurika kutekwa na kurudishwa Rwanda (hii mambo ya Rwanda kuteka wanyarwanda nchi za watu ni kawaida sana, google kesi ya mlinzi wa kagame joel mutabazi), kilichomuokoa ni kuwa alikuwa na passport ya Canada sio ya Rwanda (haishangazi, a lot of tutsis waliokuja na kagame wana uraia wa kigeni, hata hapa JF si unawaona? wana passport za TZ wote hawa, lakini mioyo yao iko rwanda!), kwa hiyo kwa kuogopa "wazungu" watekaji wakapotezea. Sasa anaishi uhamishoni South Africa, ambapo analindwa na polisi masaa 24 asiuawe kama karegeya.
  4. Celestin Rwigema alikuwa WAZIRI MKUU, alijiuzulu kutokana na kutokuelewana na bwana mkubwa, baada ya hapo akakimbilia US. Ile kufika tu, huku nyuma akafunguliwa mashtaka ya GENOCIDE. Bahati nzuri marekani haikukubaliana na Rwanda hivyo ikampa ukimbizi, karudi Rwanda baada ya miaka 11 kutokana na kesi ya rwanda kufa.
  5. Theogene rudasingwa aliwahi kuwa balozi wa Rwanda marekani, katibu mkuu wa chama tawala na chief of staff to president kagame, mwaka 2005 aliomba hifadhi mwenyewe US baada ya kufukuzwa na kagame ikulu 2004. Huku nyuma kama kawaida zikaibuka kesi kedekede za kila aina.
  6. Gerald Gahima alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali, baada ya kutokubaliana na kagame "kubaka" sheria na mahakama kwa ujumla kwa kesi zake za genocide zisizo na kichwa wala miguu, akajiuzulu na kwenda uhamishoni, ile anafika tu, huku nyuma akafunguliwa kesi kubwa tu kibao endapo atarudi rwanda kuanzia utapeli, ubakaji n.k. Kwenye hii ya ubakaji believe it or not, anatuhumiwa kumbaka mwanamke mmoja ambaye ilikuja kugundulika mwanamke huyo huyo pia anamshitaki Theogene rudasingwa kwa ubakaji vile vile! It seems mwanamke huyu yuko standby, yoyote atakayepishana na kagame, atapewa kesi ya kumbaka huku mama. Usishangae endapo kesho huyu waziri mkuu "mstaafu" anashitakiwa kwa ubakaji wa mwanamke huyu huyu...Hiyo ndio Rwanda bwana.
  7. Tharcisse Karugarama alikuwa waziri wa sheria, alifanya mahojiano na gazeti la UK, "bahati mbaya" akasahau kuwa Rwanda ni mali ya kagame, eti akadai kuwa Kagame hatagombea tena kama ilivyo kwenye katiba, kilichofuata ni maneno yafuatayo toka kwa kagame:
"Kagame has been equivocal in the past, but greets the news of his justice minister's views with belligerence. "Why don't you tell him to step down himself? All those years he's been there, he's not the only one who can be the justice minister," he says. source: Is Kagame Africa's Lincoln or a tyrant exploiting Rwanda's tragic history? | World news | The Observer. Baada ya hapo kagame aka-reshuffle cabinet fasta, jamaa akapigwa chini.
source:
Rwanda: Anastase Murekezi appointed new Prime Minister replacing Dr. Pierre Damien Habumuremyi
 
Back
Top Bottom