Wana Jamvi vita dhidi ya UFISADI hata madawa ya kulevya haviko Tanzania peke yake.
Rais Kagame wa Rwanda amewafukuza kazi maafisa wake 200 wa ngazi mbalimbali toka katika jeshi la Polisi.
Hatua hiyo ilifikiwa baada ya kikao cha baraza la Mawaziri kilichoongozwa na mwenyekiti wake rais Paul Kagame.
Habari zaidi zinasema, Polisi hao WANATUHUMIWA kwa makosa ya UFISADI na KUKOSA MAADILI kulingana na KIAPO chao cha kazi.
Msemaji mkuu wa Jeshi hilo amenukuliwa akisema
"Jeshi la Polisi la Rwanda HALITAMVUMILIA askari yeyote ATAKAYEJIHUSISHA katika mambo yanayoweza KUIHARIBIA nchi sifa".
Rwanda ni nchi iliyo na uvumilivu ZERO wa ufisadi/ ZERO TOLERANCE on corruption.
Ikizingatiwa kuwa mwaka jana watu zaidi ya 200 pia WALIKAMATWA kwa KUJARIBU kuwahonga askari Polisi.
Wana JF naamini hata sisi Tanzania tunaweza KUKATAA Ufisadi, MADAWA ya KULEVYA na KUWAWAJIBISHA wahusika BILA KUJALI VYEO VYAO!
Chanzo AP/Associate Press