Rwanda na Utamaduni; Mfano Mwingine wa Kuigwa!

Entareyehirungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2006
Posts
488
Reaction score
471
Tufanye nini ili nasi (Tanzania) turejeshe Identities zetu na kama hatuna basi ziasisiswe? Hii picha inavutia sana kuona vazi linavyomtambulisha Mama wa Kinyarwanda.
1385716_10151625193972282_765600055_n.jpg
President Kagame at the Swearing-in ceremony of RDB’s Chief Executive Officer and Cabinet Member; Ambassador Valentine Rugwabiza Sendanyoye.
​
 
Daaah.... Ndo tushachelewa hivyo! Binafsi napenda utamaduni wa Wanyarwanda ukifuatiwa na Wa-South Africa... Yaan wanadumisha mila zao aiseee!!!
 
Nakuona hata hapa umempa chavu Yvonne Chakachaka....huwezi kuendelea kwa kuiga utamaduni wa mwenzio. Unaweza kuiga mambo mengine maishani lakini si utamaduni wa mwenzio. huo ni utumwa na maana ya utumwa ni kukubali kuwa chini ya Mtwana daima....hatujachelewa sana. Tunaweza kupiga U-turn na kurejea kwenye mstari. Na hili halisubiri serikali wala kuhitaji wanasiasa. Ni jambo linalofanyika kwenye ngazi ya familia. Ukiwa kama mzazi timiza wajibu-basi
 
Utamaduni gani hapo? Suit and tie? Au ao akina mama pekee? Nadhani namuelewa zaidi king mswat
 
Daaah.... Ndo tushachelewa hivyo! Binafsi napenda utamaduni wa Wanyarwanda ukifuatiwa na Wa-South Africa... Yaan wanadumisha mila zao aiseee!!!

kwani Nchimbi na kamati yake ya VAZI LA TAIFA ILIISHIA WAPI!?

Eti vazi la taifa liliwekewa tume!
 
Hilo si la akina kuchi kuchi Hotae...!!!?
 
na wana unyaooooo....lakn huwezi kuuona hata chembe
 
kuna tofauti kubwa sana ya Tanzania na Rwanda katika suala la utamaduni, sometimes inawezekana sisi tuko juu yao kwenye utamaduni
 
Nakuona hata hapa umempa chavu Yvonne Chakachaka....huwezi kuendelea kwa kuiga utamaduni wa mwenzio. Unaweza kuiga mambo mengine maishani lakini si utamaduni wa mwenzio. huo ni utumwa na maana ya utumwa ni kukubali kuwa chini ya Mtwana daima....hatujachelewa sana. Tunaweza kupiga U-turn na kurejea kwenye mstari. Na hili halisubiri serikali wala kuhitaji wanasiasa. Ni jambo linalofanyika kwenye ngazi ya familia. Ukiwa kama mzazi timiza wajibu-basi

Mkuu acha kabisa... Yaan huyu mmama namkubali sana....

Ndio hivyo nji hii tumeikuta haina hata vazi la taifa, tutawezaje ku-Uturn??? Ngoja nikupm
 
kuna tofauti kubwa sana ya Tanzania na Rwanda katika suala la utamaduni, sometimes inawezekana sisi tuko juu yao kwenye utamaduni
Rwanda huo utamaduni wa vazi waliteremka nalo kabila moja tu la Tutsu kutoka Ethiopia...ndiyo wakaeneza kwa urahisi!! Lakini kwa Tanzania kuna makabila mengi na wenye mchanganyiko wa mila tofauti ni vigumu kutoa DRESS code.
mfano (( mikoa ya mwambao/pwani mikoa ya kati/mikoa kanda la ziwa nk )) sembuse mavazi ya kisiwani na ukijumlisha na
Utamaduni wa maBabu zangu mie !! mmmh hapa TZ hapatatosha kuiga kitu ni mparaganyo !! Sijui umwambie JK avae lubega!! khaa... eee
 
Lilikuja kwa kasi..VAZI LA TAIFA VAZI LA TAIFA....

sa hivi watu kimya..hii nchi hii

Kwani wakati wa Rais wa kwanza wa Rwanda Habyarimana, walikuwa na Vazi la Taifa ? huo utamaduni wa vazi ni kabila maalum. Lakini kwa Tanzania kuna makabila mengi na wenye mchanganyiko wa mila tofauti ni vigumu kutoa DRESS code.
mfano (( mikoa ya mwambao/pwani mikoa ya kati/mikoa kanda la ziwa, nk )) sembuse mavazi ya kisiwani na ukijumlisha na Utamaduni wa maBabu zangu mie !! mmmh hapa TZ hapatatosha kuiga kitu ni mparaganyo !! Sijui umwambie Mrs FirstLady avae lubega!! khaa... eeee
 
Mkuu you have narrated well what I meant. Watanzania tusiwe watu wa kujilaumu sana na kuona wengine wametuzidi kila kitu, hii inatuondolea kujiamini mbele ya mataifa mengine.
Rwanda huo utamaduni wa vazi waliteremka nalo kabila moja tu la Tutsu kutoka Ethiopia...ndiyo wakaeneza kwa urahisi!! Lakini kwa Tanzania kuna makabila mengi na wenye mchanganyiko wa mila tofauti ni vigumu kutoa DRESS code.
mfano (( mikoa ya mwambao/pwani mikoa ya kati/mikoa kanda la ziwa nk )) sembuse mavazi ya kisiwani na ukijumlisha na
Utamaduni wa maBabu zangu mie !! mmmh hapa TZ hapatatosha kuiga kitu ni mparaganyo !! Sijui umwambie JK avae lubega!! khaa... eee
 
Tufanye nini ili nasi (Tanzania) turejeshe Identities zetu na kama hatuna basi ziasisiswe? Hii picha inavutia sana kuona vazi linavyomtambulisha Mama wa Kinyarwanda.
1385716_10151625193972282_765600055_n.jpg
President Kagame at the Swearing-in ceremony of RDB's Chief Executive Officer and Cabinet Member; Ambassador Valentine Rugwabiza Sendanyoye.
​
Mkuu you have narrated well what I meant. Watanzania tusiwe watu wa kujilaumu sana na kuona wengine wametuzidi kila kitu, hii inatuondolea kujiamini mbele ya mataifa mengine.
quote_icon.png
By Afro-Arabica
Rwanda huo utamaduni wa vazi waliteremka nalo kabila moja tu la Tutsi kutoka (horn of Africa) Ethiopia hadi sasa huuvaga hivyo ...ndiyo wakaeneza kwa urahisi!! Lakini kwa Tanzania kuna makabila mengi na wenye mchanganyiko wa mila tofauti ni vigumu kutoa DRESS code.
mfano (( mikoa ya mwambao/pwani mikoa ya kati/mikoa kanda la ziwa nk )) sembuse mavazi ya kisiwani na ukijumlisha na
Utamaduni wa maBabu zangu mie !! mmmh hapa TZ hapatatosha kuiga kitu ni mparaganyo !! Sijui umwambie Mrs.Firstlady avae lubega!! khaa... eee kazi!!

<!-- google_ad_section_end -->
 
Back
Top Bottom