Rwanda na Utamaduni; Mfano Mwingine wa Kuigwa!

Rwanda na Utamaduni; Mfano Mwingine wa Kuigwa!

inferiority complex! tuna makabila zaidi ya 120 tutakuwaje na vazi la taifa kama hawa wenye makabila mawili yaliyoshabihiana lugha, tamaduni n.k?
 
hivi vazi letu la taifa ndo rubega ya wamasai??maana sijui
 
kuna tofauti kubwa sana ya Tanzania na Rwanda katika suala la utamaduni, sometimes inawezekana sisi tuko juu yao kwenye utamaduni

Fafanua zaidi tuko juu kivipi? Mi naona watanzania hatujitambui, tumekwisha changanyikiwa mpaka utamaduni una uundiwa tume. Hatuelewi tunaelekea wapi na Taifa linatakiwa liweje miaka mia ijayo, tunafuata upepo bila kuelewa thamani ya kuthamini vya kwetu. Wanyarwanda wanajua vision ya Taifa lao hivyo wanalinda tamaduni zao.
 
Sikiliza ndugu, unajua Tz ina makabila kati ya 100 mpaka 120 tofauti na Rwanda yenye hardly makabila 3 mpaka 5, ukumbuke Tz katika hayo makabila 100 na ushee kuna makabila makubwa na yanayotambulika kwa mila zao na idadi kubwa ya watu, tofauti na Rwanda ambayo ina makabila makubwa mawili tu na yanayofanana almost kila kitu ukiachilia mbali maumbile yao. Sasa katika mazingira kama haya ni rahisi sana kwa Rwanda kuwa na vazi au utamaduni unaotumika na kuheshimika nchi nzima tofauti na Tanzania. I hope you got me now
 
Back
Top Bottom