superkabisa
Member
- Oct 13, 2019
- 67
- 49
Habari wanaJF huu ujumbe chini nimeucopy instagram lakini hapa nataka tujenge hoja n kweli visit in Rwanda gharama yake imesharudi?....
#ujumbe wenyewe
Mimi ni mpenzi sana wa kufuatilia mahojiano haswa ya viongozi wa Afrika wanapokutana na wanahabari wa nje (mahojiano huwa moto kwa kawaida)
Rais wa Rwanda Paul Kagame mwaka huu alifanyiwa mahojiano France 24English kupitia kipindi cha Talking Europe akihojiwa na mwanamama Catherine Nicholson aliulizwa swali ambalo lilikuwa linatembea kwenye kichwa changu matokeo chanya ya udhamini wa "visit in Rwanda"
Ijapokuwa Catherine Nicholson tangu mwanzo wa mahojiano alidhihirisha alitaka sana kumkaanga Kagame bila mafuta kwenye mahojiano hayo.
Yeye swali lake lilikuwa katika muktadha kuwa nchi nyingi za Afrika zinapewa misaada(fedha..nk) na kukopa pesa nyingi lakini hawazielekezi panapostahili yaani hawangalia mahitaji muhimu ya wananchi...mfano akamuliza Kagame juu ya Ufadhili wa Rwanda paun m 30 kwa Klabu ya Arsenal wakiwa na maandishi ya "visit in Rwanda'.
Japo Kagame hakumjibu kwa Urafiki kwa sababu tangu mwanzo wa mahojiano walishapishana .Alimwambia watu wengi hawajaribu kulinganisha walichonacho sasa na kabla akimanisha kabla ya kutangaza utalii na Arsenal watalii kwa mwaka wastani ulikuwa n watalii 400 na sasa wanafika milion 1.3 ni mara tatu zaidi.Na pesa zisharudi katika njia mbalimbali .
#hiyo Picha imenikumbusha mahojiano ya Talking Europe.Arsenal wanaratiba pia ya kutoa kozi kwa makocha.Hatujui ujio wa Luiz mashabiki mamilion wa Arsenal wataenda Rwanda