Rwanda na udhamini wa timu ya mpira Arsenal

superkabisa

Member
Oct 13, 2019
67
49
Habari wanaJF huu ujumbe chini nimeucopy instagram lakini hapa nataka tujenge hoja n kweli visit in Rwanda gharama yake imesharudi?....

#ujumbe wenyewe
Mimi ni mpenzi sana wa kufuatilia mahojiano haswa ya viongozi wa Afrika wanapokutana na wanahabari wa nje (mahojiano huwa moto kwa kawaida)

Rais wa Rwanda Paul Kagame mwaka huu alifanyiwa mahojiano France 24English kupitia kipindi cha Talking Europe akihojiwa na mwanamama Catherine Nicholson aliulizwa swali ambalo lilikuwa linatembea kwenye kichwa changu matokeo chanya ya udhamini wa "visit in Rwanda"

Ijapokuwa Catherine Nicholson tangu mwanzo wa mahojiano alidhihirisha alitaka sana kumkaanga Kagame bila mafuta kwenye mahojiano hayo.

Yeye swali lake lilikuwa katika muktadha kuwa nchi nyingi za Afrika zinapewa misaada(fedha..nk) na kukopa pesa nyingi lakini hawazielekezi panapostahili yaani hawangalia mahitaji muhimu ya wananchi...mfano akamuliza Kagame juu ya Ufadhili wa Rwanda paun m 30 kwa Klabu ya Arsenal wakiwa na maandishi ya "visit in Rwanda'.

Japo Kagame hakumjibu kwa Urafiki kwa sababu tangu mwanzo wa mahojiano walishapishana .Alimwambia watu wengi hawajaribu kulinganisha walichonacho sasa na kabla akimanisha kabla ya kutangaza utalii na Arsenal watalii kwa mwaka wastani ulikuwa n watalii 400 na sasa wanafika milion 1.3 ni mara tatu zaidi.Na pesa zisharudi katika njia mbalimbali .

#hiyo Picha imenikumbusha mahojiano ya Talking Europe.Arsenal wanaratiba pia ya kutoa kozi kwa makocha.Hatujui ujio wa Luiz mashabiki mamilion wa Arsenal wataenda Rwanda
 
Mkuu hiyo hela ilisharudi mbona rekodi zinasema hivo
IMG_20191013_210746.jpeg
IMG_20191013_210739.jpeg
IMG_20191013_210732.jpeg
IMG_20191013_210735.jpeg
 
Utalii wa Waingereza kwenda Rwanda umeongezeka kwa asilimia 5, ikiwa ni matokeo ya kujitangaza kupitia jezi za Arsenal, ambapo nembo ya 'VISIT RWANDA' imeandikwa begani katika jezi za Arsenal. Kupitia hilo Rwanda imeingiza £36m zaidi ya Tsh Bil 100 kwa mwaka.

Serikali ya Rwanda hutoa £10m kwa mwaka katika klabu ya Arsenal . ,hii inafanya Rwanda kuvuna faida ya £26m kwa mwaka.

Arsenal did not disclose how much the deal is worth, but sources close to the deal say the sponsorship cost £10 million ($13.3m) a year, or $40 million in the three years.

WEKA PESA UPATE PESA

TANZANIA TUNASUBIRI NINI?
 
Sijui TZ tunafeli wapi pamoja na vivutio vingi ambavyo tunavyo nchini mwetu

Hongera sana KAGAME Kwa hili
Tanzania ilishafanya hivyo mwaka 2008. Ilidhamini ligi kuu yani EPL.. Kila kiwanja lazima ungeliona Visit Tanzania...

Kila timu iliokuwa inashiriki ligi mwaka huo, ilikuwa inavaa jezi yenye neno; Visit Tanzania, wakati wote wawapo mazoezini ndio zilikuwa jezi zao za mazoezi zenye huo ujumbe.

Kikubwa tulipaswa kufahamishwa matokeo tuliopata kwa uwekezaji ule....

Wao wamedhamini timu, sisi tulidhamini Ligi nzima.
 
Mmmh!kama sio chai hii?weka ushahidi hata wa picha

Kama kuweka Maneno Visit Rwanda kwenye sehemu ndogo ya jezi ya Arsenal kunagharimu £10m kwa mwaka kudhamini ligi kutakuwa kiasi gani?...

Tanzania haijawahi kudhamini EPL.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia haikuwa ligi nzima but ilikua kwa Sunderland tu. Ilikua kwenye mabango ya uwanja na kuna siku walivaa T-shirt za Visit Tanzania kwenye warm up kabla ya mechi.
 
Hiyo ni thamani ya pesa ya sasa na si 2008.

Google uje tusaidiane kuweka kumbukumbu sawa. Mana nakumbuka hilo jambo lilifanyika kabisa
 
Mmmh!kama sio chai hii?weka ushahidi hata wa picha
Sina hakika na utashi wa kichwa chako, ningekujibu kulingana na utashi wako, ila kwa kuwa sijui, basi naishi kusema huna akili.

Mwenye akili hutumia akili zake kujua ukweli na kuweka kumbukumbu sawa, na si kusubiri awekewe vipicha ili aamini.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia haikuwa ligi nzima but ilikua kwa Sunderland tu. Ilikua kwenye mabango ya uwanja na kuna siku walivaa T-shirt za Visit Tanzania kwenye warm up kabla ya mechi.
Inaweza kuwa hivyo, lakini nami kumbukubu zangu zinaonesha ilikuwa ni ligi yote, na si msimu mzima,nadhani nusu msimu... Kisha ikabaki sunderland ikivaa hizo jezi wakati wa mazoez
 
ilikua baadhi ya viwanja,nadhani sunderland sijui na hull city,visit tanzania the land of kilimanjaro,serengeti and zanzibar...ongezeko la watalii lilikua kubwa,hadi abramovic akaja
 
Utashi wangu ni 50x wa kwako so decide yourself !
Sina hakika na utashi wa kichwa chako, ningekujibu kulingana na utashi wako, ila kwa kuwa sijui, basi naishi kusema huna akili.

Mwenye akili hutumia akili zake kujua ukweli na kuweka kumbukumbu sawa, na si kusubiri awekewe vipicha ili aamini.
 
Utalii wa Waingereza kwenda Rwanda umeongezeka kwa asilimia 5, ikiwa ni matokeo ya kujitangaza kupitia jezi za Arsenal, ambapo nembo ya 'VISIT RWANDA' imeandikwa begani katika jezi za Arsenal. Kupitia hilo Rwanda imeingiza £36m zaidi ya Tsh Bil 100 kwa mwaka.

Serikali ya Rwanda hutoa £10m kwa mwaka katika klabu ya Arsenal . ,hii inafanya Rwanda kuvuna faida ya £26m kwa mwaka.

Arsenal did not disclose how much the deal is worth, but sources close to the deal say the sponsorship cost £10 million ($13.3m) a year, or $40 million in the three years.

WEKA PESA UPATE PESA

TANZANIA TUNASUBIRI NINI?
Mapato sio faida, unaweza ukapata mapato 36M ila yakawa na hasara ama faida ikawa 3m etc kama mapato ni 36m then utoe 10m sidhani kama kuna faida hapo.
 
"E="Kudo, post: 33135290, member: 462190"]
Tanzania ilishafanya hivyo mwaka 2008. Ilidhamini ligi kuu yani EPL.. Kila kiwanja lazima ungeliona Visit Tanzania...
Kila timu iliokuwa inashiriki ligi mwaka huo, ilikuwa inavaa jezi yenye neno; Visit Tanzania, wakati wote wawapo mazoezini ndio zilikuwa jezi zao za mazoezi zenye huo ujumbe.
Kikubwa tulipaswa kufahamishwa matokeo tuliopata kwa uwekezaji ule....
Wao wamedhamini timu, sisi tulidhamini Ligi nzima.
[/QUOTE]"
Mkuu tumekukosea nini?
 
"
Mkuu tumekukosea nini?
[/QUOTE]
Kivipi mkuu!!

Unahisi ni chai au!! Soma komenti za wengine pia
 
Kama kuweka Maneno Visit Rwanda kwenye sehemu ndogo ya jezi ya Arsenal kunagharimu £10m kwa mwaka kudhamini ligi kutakuwa kiasi gani?...

Tanzania haijawahi kudhamini EPL.
Ilikuwa kwenye uwanja wa Sunderland miaka hyo
 
Back
Top Bottom