KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Na hayo ndiyo maendeleo...Ni lazima tukuze vipato vya wananchi wetu ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii hapa nchini, na nje ya nchi.
Na hayo ndiyo maendeleo...Ni lazima tukuze vipato vya wananchi wetu ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii hapa nchini, na nje ya nchi.
Hata somalia wakuacha vita wataizid Tanganyika kwa maendeleoNaangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Watz hawana akili ya wanyarwanda !! Amini usiaminiSema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.
Je, tuko tayari kuingia gharama za kuwekeza kwenyd marketing kama wanavyofanya Rwanda ??
Ila jamani wabongo tunachonga. Likifanyika A tunachonga, likifanyika B tunachonga lisipofanyika tunachonga.
Akikujibu utanistuaLini Sisi tumetumia mamilion ya dola kutangaza?Na lini tumelalamika? ..
Nani aliesema tusitumie pesa kutangaza?
Zanzibar walizuiwa na nani kutangaza?
Nchi za uarabuni wametumia mabilion ya dola kujenga na kutangaza utalii.
Na si ajabu wanapata idadi kubwa ya watalii kushinda hata nchi zenye utalii wa asili. So si ajabu Rwanda kuishinda znz maana wao wanawekeza sana
Tutangaze badala ya kulaumiana.Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Kwa mfumo upi mkuu?..Kuna umuhimu pia wa kuangalia watalii wa ndani.
..Huko tunakowatangazia vivutio vyetu, wananchi wao wana UTAMADUNI wa kudunduliza, na kuweka akiba, ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali,ndani, au nje, ya nchi zao.
..Nitafurahi zaidi kama Watanzani watakuwa na uwezo na utamaduni wa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyoko nchini kwetu.
Takwimu ziko wapi unazoangalia?Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
MozambiqueMozaini ndo wapi?
Waache kula hizo hela wawekeze kwenye utalii? hivi unawajua ccm wewe? wataishia kuwaita akina Steve Nyerere ndio wautangazeSema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.
Je, tuko tayari kuingia gharama za kuwekeza kwenyd marketing kama wanavyofanya Rwanda ??
Ila jamani wabongo tunachonga. Likifanyika A tunachonga, likifanyika B tunachonga lisipofanyika tunachonga.
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Sasa tuambie ninyi chadema mnasemaje?Yatakuja majitu ya CCM yatakwambia unakapa promo kamkoa kenu hako
Hizo takwimu umezitoa wapi?Tuchukulie mwaka 2019 kama benchmark sababu ni kabla ya Covid:
Rwanda walipata watalii 1.63mil wakaingizia nchi $498mi
Zanzibar walipata watalii 538,264 kiasi walichoingiza hakisemwi.
Niliona umeandika wanakaribiana nikataka kukwambia Zanzibar inazidiwa idadi ya utalii Mara 3.Tayari Una confirm my point
Rwanda ishaizidi Zanzibar kwa idadi ya watalii
Mkuu figure za serekali ya CCM kuhusu watalii ni zakupika, huwa wanazidisha nambers waonekanwe wanaingiza watalii wengi, yawezekana kabisa kuwa Rwanda washatuacha mbali
Rwanda wanacheza na western media na pia wao wanacheza na figures. Vitu vichache sana na vya kawaida mno mtalii atafanya Rwanda. Kama kutembelea maziwa madogo kama Burera na kwenda kuangalia wale Gorilla. Sema Zanzibar waongeze matangazo kama kwenye premier league ili kupaisha jina ambalo lenyewe tu kwa sasa ni utambulisho mkubwa.Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??