jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Unajua umezungumza jambo zuri sana ila upofu ukio nao huwezi kuona kina cha ulichokiandika ,unaitetea serikali ya CCM kumbe unazidi kuiuwa, MiCCM imeua kila kitu na inaendelea kuuwa mambo au miradi yote ya kiserikali ili waingize na kuchomekea miradi yao,kama wamejenga viwanja vya ndege basi ujue si kwa ajili ya miradi ya serikali,wametumia mgongo wa serikali kujiwekea mazingira mazuri ,upo !
Wameua AirTz wamefungua ya kwao,wameua na wanaendelea kuuwa mahospitali ya serikali wanafungua ya kwao au wanakuwa wabia(Share) ,kwa mashule ndio usiseme ,mnavunja kila kitu,kulikuwa na viwanda hapa vya serikali vimeajiri watz kibao mmeviua vyote,hebu jiulize inakuwaje tajiri mmoja anaweza kuendesha kiwanda serikali haina uwezo ,inaingia akilini,mtasma harama za uendeshaji nyingi ,wakati sio kweli ,katika serikali kumejaa mafisadi ,hakuna hata kimoja mnachoweza kukiendeleza kwa moyo wa kizalendo zaidi ya kuwadanganya masikini kwa ahadi hewa ,haya mahindi yanaoza ,mliwapiga kampeni wakulima walime kwa bidii mtanunua mazao yao ,leo wakulima wanapiga makelele mazao yao yanawaozea ,wakisafirisha mnawakamata. Wakiyapeleka FAO kuuza hawayanunui,ila kigogo wa ccm anawaendea na kuyanunua kwa bei ya chini kisha anayapeleka kulekule FAO kwenda kuyauza tena anapewa bei nzuiri ,mara mbili ya bei aliyonunulia,kama si ukiritimba ni kitu gani ,hii serikali ndugu zangu imewashinda na itaendelea kuwashinda ,hata mkiiba uraisi ujao mambo yatazidi kuwa worse kuliko ilivyo sasa ,kwani ndani ya ccm system hakuna ,ni uwoza mtupu.
Wewe ndio kipofu. Ukisoma vizuri utagundua kuwa siitetei CCM, bali ninachotetea ni Tanzania. Wewe ulipobugi ni kuleta mada ya kuiponda CCM kwa kutumia Rwanda, hilo ndio tatizo. Tanzania versus Rwanda ni kama mbingu na nchi my friend. Lete mada ya kuiponda CCM bila kuingiza Rwanda hapo tutakubaliana. Sio kufananisha Tanzania nzima na kigali.