Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,322
- 7,899
Angalia sana ndugu yangu, usijefanya rais wa 'WAJIVUNI' akafa kwa stroke!
Kigali yote ni kama Ilala tu.
Jifunze kuchambua mambo. Tanzania tuna airlines ngapi na rwanda ziko ngapi? Tanzania tuna viwanja vya ndege 101 kudadeki, Rwanda hata 10 hawana. So what if we don't have a national carrier? kwanza ni asilimia ngapi ya wanyarwanda ambao wanapanda hiyo rwandair au asilimia ngapi ya watanzania ambao wangepanda Air tanzania mpaka national carriers ziwe na umuhimu kihivyo katika kulinganisha maendeleo kati ya nchi na nchi?
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia kubwa hili: wanyarwanda ndio huja Tanzania kama wahamiaji haramu na kila siku unasikia madada wa kitutsi wanakamatwa wakifanya uchangudoa Tanzania. Je unaweza kusema hivyo kwa watanzania huko Kigali? Maisha ya mtanzania ni mazuri kuliko maisha ya mnyarwanda hilo liko wazi.
Hata sisi tumeshaanza.Angalia miaka ya mbele kigamboni Tanzania itakavyokuwa
https://www.youtube.com/watch?v=Oy1Usi8DrC8
Rwanda kaiba rasilimali za kongo, Rwanda kaua wapinzani wake kwa risasi. Unashauri na Tanzania yafanyike hayo?
Kigali sio Rwanda.Jiji la kigali linakula sehemu kubwa mno ya bajeti ya Serikali kuliko miji mingine ya Rwanda.Miji mingine iko hoi.Kila siku serikali inaongelea kupaka poda na hina jiji la kigali. Masterplan za miji mingine ya Rwanda ziko wapi?
Kigali inajifanya ndio Rwanda Washamba wengi hasa kutoka Tanzania wakitembelea Kigali wakirudi Utasikia Rwanda kuzuri hivi ajabu Tanzania bure kabisa! Niwaulize swali Kigali ndio Rwanda? Unaijua miji mingine ilivyo hovyo Rwanda?
Rwanda nchi yote ni ndogo kupita mkoa wa Iringa. Kuifananisha Tanzania na Rwanda ni sawa na kufananisha kichuguu na mlima Kilimanjaro. Bahresa pekee anao uwezo wa kuilisha nchi ya Rwanda mwaka mzima
bora umewatupua video maana watutsi kwa makidai na dharau ni balaa. hawatushindi lolote hawaHata sisi tumeshaanza.Angalia miaka ya mbele kigamboni Tanzania itakavyokuwa
https://www.youtube.com/watch?v=Oy1Usi8DrC8
Hata sisi tumeshaanza.Angalia miaka ya mbele kigamboni Tanzania itakavyokuwa
https://www.youtube.com/watch?v=Oy1Usi8DrC8
Dada yangu faizafox nashukuru nimetembea tanzania nzima kwa njia ya barabara,, sehemu nyingi nikipita nakuta watu wakichimba hizo barabara na kuziba viraka na nyingi ya hizo barabara hazina hata miaka kumi,,, nyingine mkandarasi hajafika mwisho tayari alikoanzia barabara imeshaanza kutitia,,, umeona ile barabara iliyorudiwa na kajima pale mbagala ilivyoanza dalili mbaya??? Kule mtwara umeona ile barabara inamiaka mingapi inajengwa??? Pale sekenke kuelekea mwanza umepaona palivyo,, shinyanga to mwanza mitaa fulani umepaona palivyo,, moshi to arusha kuna jamaa wameshaanza kuchimba na sululu kuweka viraka!!!! Umeona quality ya barabara kutokea dom to iringa kupitia mtera ilivyo??? Kama tunajali miundombinu vipi pale daraja la wami hatulioni??? Usiku ukitembea barabara zetu zote sio safe hazina taa kiasi kwamba inahitaji uzoefu..
dada makambako to songea ile lami ni ya mkoloni lakini mpaka leo ipo poa tunaitembelea vipi kuhusu life span ya hizi lami za mchina maana inaonyesha raisi ajaye atarudia kazi ya kujenga tena barabara,, umeona maisha ya ile barabara ya tandale uzuri to sinza??? ..
halafu dada kujenga maghorofa sio ndio nchi imeendelea maana tusingekuwa na deni la taifa lililopitiliza na wala dola isingekuwa sh 1700,, unaweza ukanifafanulia impact ya daraja la kigamboni kwa uchumi wa nchi,,, unaweza ukaniwekea sawa impact ya uwanja wa ndege wa songwe mbeya kwa uchumi wa nchi???? Unajua kuwa kuna barabara nyingine tunazojisifia nazo ni kwa msaada wa watu wa marekani na mabango makubwa yamewekwa,,, je kodi zetu zinafanya nini kama hata barabara za dar taa haziwaki???
Rwanda nchi yote ni ndogo kupita mkoa wa Iringa. Kuifananisha Tanzania na Rwanda ni sawa na kufananisha kichuguu na mlima Kilimanjaro. Bahresa pekee anao uwezo wa kuilisha nchi ya Rwanda mwaka mzima
ha ha ha ha! unajivunia rais kikwete kwenda kutibiwa BUSHA marekani?Anatuletea habari za kufikirika mwaka 2014!
Jivunie ulichonacho sasa hivi, usijivunie ndoto za mwenzako.
Amma kweli kuna misukule si mchezo.
hebu tazama vizuri picha iliyowekwaa halafu unieleze viko wapi? Hizo ni ndoto za alinacha. Tunajivunia tulichonacho sasa hivi ndiyo majaaliwa yetu tuliyojaaliwa na mwenyeezi mungu.
Sikutaka kukuonesha majumba na mabarabara tuliyonayo sasa hivi, ambayo pia ni kwa neema za mwenyeezi mungu, na mengine tuliyonayo hakuna katika afrika ya mashariki na kati. Nakumbuka kauli ya magufuli, barabara za mali zilizopo sasa hivi tanzania zikihamishiwa rwanda, basi rwanda yote itakuwa hakuna pa kujenga wala kulima, tutaifunika, unayajuwa hayo?
Ikiwa projections za miji tu, jee, hujapitia vizuri hii nyuzi na kuziona projection zetu?
Tujivunie tulivyonavyo sasa hivi, iwe majumba, mabarabara, watu, fukwe, mbuga za wanyama na mengineyo yawayo, yote ni shani yake mwenyeezi mungu.
Tusianze kuota ndoto za alinacha kushindana na picha za kubuni za vitu visvyokuwepo. Tutakuwa majuha na mapunguani kama mleta mada.
Mkuu hivyo viwanja 101 vina impact gani kwenye uchumi wa nchi ukilinganisha na gharama za kuvijenga???
Hata tanzania kuna makahaba kutoka dunia nzima wapo mpaka wachina na wazungu,,, Uganda hakuna soko la ukahaba kwa kifupi hakulipi kwani hakuna wateja wa hiyo biashara,,, wahamiaji haramu rwanda hakuna kwani system sio za ovyo kwa watu kupenya kiholela,,, na kama unataka kajaribu kuingia kiholela!!!!
Anachojaribu kusema mtoa maada ni kwamba tanzania imepata uhuru 1961 na RWANDA wamepata uhuru juzi na walikuwa kwenye vita muda mrefu ila toka wamekuwa stable inaonekana tunakimbizana nao kiuchumi,,, wakati tulitegemea tungewaacha mbali sana na wangejifunza kupitia sisi, ila hawana chakujifunza sasa......
Tujivunie umaskini kama huu? Kweli???? We ndiye msukule namba moja![]()
![]()
Tujivunie umaskini kama huu? Kweli???? We ndiye msukule namba moja![]()
![]()
CC: Lizaboni, FaizaFoxy, laki si pesa, Simiyu Yetu, Ritz.... Siku Zote Huwa Nasema, Kagame Ni Rais Mchapakazi, Siyo Kama Wa Kwetu, Anaumwa Kichwa na BUSHA Tu Huyooo Marekani
Hivi viongozi hawa wa kiCCM wanajua wanachokifanya au ni wao na kukumbatia ufisadi na kuikausha nchi kwa kujazana ikulu wakijaza matumbo yao ,hebu angalia hawa waKigali na matumaini yao ambayo utayapenda na kuwaonea wivu pengine ikazidi kukufanya uichukie miccm na ccm yao. Miccm ni kujisifu tu tuna mbuga,tuna bahari,tuna maziwa,tuna gesi ,tuna mafuta kama haitoshi tuna Uranium ,yule waziri aliesema Uranium itakuwa tayari 2011 yupo wapi leo tunaelekea 2015 ,Warwanda hao wanaitangazia dunia kule wanakoelekea, Miccm mnatuchelewesha ,ondokeni tushawachoka.