Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Hivi viongozi hawa wa kiCCM wanajua wanachokifanya au ni wao na kukumbatia ufisadi na kuikausha nchi kwa kujazana ikulu wakijaza matumbo yao ,hebu angalia hawa waKigali na matumaini yao ambayo utayapenda na kuwaonea wivu pengine ikazidi kukufanya uichukie miccm na ccm yao.
Miccm ni kujisifu tu tuna mbuga,tuna bahari,tuna maziwa,tuna gesi ,tuna mafuta kama haitoshi tuna Uranium ,yule waziri aliesema Uranium itakuwa tayari 2011 yupo wapi leo tunaelekea 2015 ,Warwanda hao wanaitangazia dunia kule wanakoelekea, Miccm mnatuchelewesha ,ondokeni tushawachoka.

Attachments
Last edited by a moderator: