Rwanda inatuwashia double indicator & full Light, CCM ondokeni hatuwataki

Mwenyezi Mungu aanawalani MiCCM kila kukicha ,taratibu wala hana haraka ,Mheshimiwa KIkwete sijui amebadilisha Mawaziri mara ngapi ,leo hii jua linakuchwa IPTL imekuwa jipu lililoiva ,anytime from now litaburst kwani kumeshaanza kunuka hata halijatumbuliwa. Ni laana inawatafuta na kuwatafuna ,na kila anaeunga mkono basi huyo yumo,na ataonja adhabu wanayoipata wengine..
Nchi tulizozikomboa zote zimetutupa na zinatuogopa tusije tukawaambukiza ufisadi ,EAC hao hapo kila siku wanatusukuma pembeni ,ila bado tunajibanisha hapo hapo ,wameshaona Tz hakuna viongozi wazalendo zaidi ya wachumia tumbo ,mambo ambayo hawakuyatarajia katika system zao ,ila baada ya kuujua ukweli ,wanatuepuka kama ukoma.

Kuhusiana na suala la wakimbizi kutoka Rwanda au kwengineko hili halina uhusiano na maendeleo ya nchi haswa nchi changa ,na wanaokimbia huko hawana zaidi ya kukimbia mapigano ambayo hayapo mbali na wao na uwezekano wa kurukiwa na mapigano hayo haujaondoka kikamilifu,ila watarudi. Hebu angalia hapa Tz waTz wangapi wameondoka ni zaidi ya hao wa Ruanda na wapo nje kwa miaka mingi sana ,na hii huwezi kuizuia hata ukiwa na maendeleo ya aina gani ,wapo watakaoondoka.

MiCCM hamna la kujisifia hata moja,tsunami ya kufa kwa mahospitali inalinyemelea Taifa ,na ndani ya miezi miwili ijayo kama hamkukurupushana basi ndio mmejimaliza.Kuna sekta za serikali zinahitaji mishahara kila mwisho wa mwezi ,hazina kweupe ,mnatamani kuwambia wabunge wa BMK warudishe laki tatu.

Wanaodhulumu hawadumu wala hawajizidishii na hawana wanalolipata isipokuwa hasara na madhila
,Muulizeni Mh.Kikwete analikumbuka au kulijua hili ?
 
Kingine sisi tuna miji mingapi maana hata dodoma yetu si haba au haujafanya research kabla ya kupost hii habari. na kwa taarifa yako kigali ipo stagnant baada ya m23 kitolewa kongo. palikua na pesa ya damu iliyokua inavunwa kongo chezea kagame we.
 
Mwenyezi Mungu aanawalani MiCCM kila kukicha ,taratibu wala hana haraka ,Mheshimiwa KIkwete sijui amebadilisha Mawaziri mara ngapi ,leo hii jua linakuchwa IPTL imekuwa jipu lililoiva ,anytime from now litaburst kwani kumeshaanza kunuka hata halijatumbuliwa. Ni laana inawatafuta na kuwatafuna ,na kila anaeunga mkono basi huyo yumo,na ataonja adhabu wanayoipata wengine..
Nchi tulizozikomboa zote zimetutupa na zinatuogopa tusije tukawaambukiza ufisadi ,EAC hao hapo kila siku wanatusukuma pembeni ,ila bado tunajibanisha hapo hapo ,wameshaona Tz hakuna viongozi wazalendo zaidi ya wachumia tumbo ,mambo ambayo hawakuyatarajia katika system zao ,ila baada ya kuujua ukweli ,wanatuepuka kama ukoma.

Kuhusiana na suala la wakimbizi kutoka Rwanda au kwengineko hili halina uhusiano na maendeleo ya nchi haswa nchi changa ,na wanaokimbia huko hawana zaidi ya kukimbia mapigano ambayo hayapo mbali na wao na uwezekano wa kurukiwa na mapigano hayo haujaondoka kikamilifu,ila watarudi. Hebu angalia hapa Tz waTz wangapi wameondoka ni zaidi ya hao wa Ruanda na wapo nje kwa miaka mingi sana ,na hii huwezi kuizuia hata ukiwa na maendeleo ya aina gani ,wapo watakaoondoka.

MiCCM hamna la kujisifia hata moja,tsunami ya kufa kwa mahospitali inalinyemelea Taifa ,na ndani ya miezi miwili ijayo kama hamkukurupushana basi ndio mmejimaliza.Kuna sekta za serikali zinahitaji mishahara kila mwisho wa mwezi ,hazina kweupe ,mnatamani kuwambia wabunge wa BMK warudishe laki tatu.

Wanaodhulumu hawadumu wala hawajizidishii na hawana wanalolipata isipokuwa hasara na madhila
,Muulizeni Mh.Kikwete analikumbuka au kulijua hili ?

Usijitoe ufahamu watanzania wanaaondoka ni professionals, wanakwenda botswana, namibia, SA etc, tunaongelea wahamiaji haramu wale wanaoingiza ng'ombe maporini buligi kule, wale wanaopora mabasi kule Ngara, wale tuliowatimua majuzi kupitia operesheni kimbunga. Je hawa wamekimbia nini huko rwanda kwenye maisha mazuri na kuja Tanzania kwenye maisha ya tabu na ufisadi?
 
Then what? Hiyo ilala inayonuka? Uchafu umepandana utadhani indi ya zamani au dampo ya tabata enzi hizo. Ramadhan iliyopita nilipanga kufungia dar, lkn hali ilivyo hapo Ilala, sikuweza kukaa Dar hata wiki moja. Kwa kifupi dar ni jiji letu, tanzania ni nchi yetu, lakini kamwe sitakuwa kipofu wa kutoona mazuri ya wenzetu na mabaya yetu. Yatubidi tujipange sana tuache porojo huku duniani tunakashfika sana huku nje kutokana na kuwa na lundo la utajiri lkn jiji linanuka uchafu. Very sorry for that!

Hata wewe unanuka, wacha Ilala.
 
Kuna mtu humu jamvini Kikwete ni mboni hataki aguswe.
 
Back
Top Bottom