tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,647
- 29,011
Hivi upuuzi huu wa kutaka kila kitu kujifunza RWANDA unatoka wapi?
kama rwanda wamepiga hatua ya maendeleo tusijifunze kutoka kwao? unataka tujifunze kutoka kwa mama yako?
Hivi upuuzi huu wa kutaka kila kitu kujifunza RWANDA unatoka wapi?
Kagame ni Mbwa tena Mwitu.
Ahh! n'shazoea haya mambo labda kama hujakanyaga Rwanda ndo utatishika! Kwenye makaratasi, media, na mambo mengine kama hayo, Rwanda ni best in everything lakini ukishaingia Rwanda na kuiacha Kigali kuelekea mikoani, wala haitakuchukua muda kugundua what's said doesn't reflect the real life in Rwanda! The only documented fact which reflects reality ni Kagame's intolerance against opponents.
kama rwanda wamepiga hatua ya maendeleo tusijifunze kutoka kwao? unataka tujifunze kutoka kwa mama yako?
Pole sana, lakini mbona nishasema tangu zamani humu jamvini kwamba wakati wengine tatizo lao ni Watutsi, mie tatizo langu ni huyu muuaji Kagame na wala sio Watutsi! Ni mtu asiyefaa kwa chumvi wala sukari; seuze asali yenye upungufu wa maradhi!!! Pole yako wewe ambae kila siku unakazana kuja hapa kumtetea, na bila shaka itakuwa umebuni App ambayo, Kagame akitajwa tu humu jamvini, unapata sms hapo hapo na unakimbia kuja kumtetea! Kazi unayo ndugu.Hater!
acha usukule mkuu. kusifia mazuri ya rwanda kunamfanyaje mtu kuwa mhutu?
Pole sana, lakini mbona nishasema tangu zamani humu jamvini kwamba wakati wengine tatizo lao ni Watutsi, mie tatizo langu ni huyu muuaji Kagame na wala sio Watutsi! Ni mtu asiyefaa kwa chumvi wala sukari; seuze asali yenye upungufu wa maradhi!!! Pole yako wewe ambae kila siku unakazana kuja hapa kumtetea, na bila shaka itakuwa umebuni App ambayo, Kagame akitajwa tu humu jamvini, unapata sms hapo hapo na unakimbia kuja kumtetea! Kazi unayo ndugu.
sasa waliposema inaongoza ni wapi? We kweli kiboga!
Leo nimepata picha halisi....eti kawadanganye wasiokujua kujua; what a ----! Let me tell you this; zamani ulipokuwa unawaambia akina jMali kwamba mnawajua ni wakimbizi waliohusika na genocide, nusura niwaamini! Yaani NasDaz nae ni mkimbizi wa Rwanda; nimekushusha kupita kiasi manake kumbe huwa unabahatisha!Kawadanganye wasiokujua wewe,imeongelewa elimu cha kwanza ulichokimbilia oooooh propaganda na umesahau waliotoa report sio Rwanda...seems ndio nyie wakimbizi mnaoogopa kurudi kwenu or ni muhutu wa makabila ya TZ uliyejenga chuki kwa Watusi,MNA shida sana nyie
Leo nimepata picha halisi....eti kawadanganye wasiokujua kujua; what a ----! Let me tell you this; zamani ulipokuwa unawaambia akina jMali kwamba mnawajua ni wakimbizi waliohusika na genocide, nusura niwaamini! Yaani NasDaz nae ni mkimbizi wa Rwanda; nimekushusha kupita kiasi manake kumbe huwa unabahatisha!
Njomba, mimi ni Mtanzania 100%....Baba na Mama ni kutoka Lindi; manake angalau ingekuwa natoka Kagera! Lindi na Rwanda wapi na wapi?! Anyway, haidhuru manake hata Salma Kikwete nae mlidai Mhutu! Na kwa hakika hapa ndipo umethibitisha yale yanayosemwa kila siku kwamba, mtu asitofautiane mawazo na nyinyi, basi huyo ni alihusika kwenye mauaji ya halaiki...yaani mnatumia genocide kama ngao!
Hakika, leo umetoa kituko cha karne ambacho kinapaswa moja kwa moja kupelekwa kwenye jumba la makumbusho ili watu wapate kushuhuda kituko hiki cha karne!!!
Ningeshangaa nisingekukuta kwenye thread hii.HAKIKA wewe ni mhutu uliyejipachika utanzania.
Kirusi kingine toka kwa Mbwa Kagame
Nasema hivi, hakika leo hii ndugu yangu umenifungua macho!! Ah! Yaani kila mtu anayetofautiana na nyinyi basi ni Mhutu! maajabu sana haya! By the way, tuseme kwamba am Hutu, is there any problem with that? Anyway, here comes from deep inside my heart! Kuna mwenzako mmoja(PK Supporter) humu nilipata kumwambia wazi kwamba ikiwa unamtetea PK kwa kuwa PK ni Mnyarwanda na wewe ni Mnyarwanda, then well done and keep it up coz' una hakia ya kumtetea rais wako...sikulisema hilo kwa unafiki; i meant it! Lakini nikamwambia pia kuwa ikiwa anamtetea PK simply because PK ni Mtutsi na yeye ni Mtutsi, then am very sorry for all guys!I'm Chinese 100%.....liaaaaaar!
Nasema hivi, hakika leo hii ndugu yangu umenifungua macho!! Ah! Yaani kila mtu anayetofautiana na nyinyi basi ni Mhutu! maajabu sana haya! By the way, tuseme kwamba am Hutu, is there any problem with that? Anyway, here comes from deep inside my heart! Kuna mwenzako mmoja(PK Supporter) humu nilipata kumwambia wazi kwamba ikiwa unamtetea PK kwa kuwa PK ni Mnyarwanda na wewe ni Mnyarwanda, then well done and keep it up coz' una hakia ya kumtetea rais wako...sikulisema hilo kwa unafiki; i meant it! Lakini nikamwambia pia kuwa ikiwa anamtetea PK simply because PK ni Mtutsi na yeye ni Mtutsi, then am very sorry for all guys!
Picha niliyopata leo ni kwamba you guys hamumtetei PK kwavile tu yeye ni Rais wa Rwanda na nyie ni Wanyarwanda but it seems kv PK ni rais na Mtutsi na nyie ni Watutsi! I repeat, if so, then am very sorry for you guys! Hata hivyo, nikujuze tu kwamba ile century joke iliyopo makumbusho, mpaka sasa imeingiza $$ kadhaa manake imevuta watu kubaini kwamba, eh, kumbe NasDaz nae ni Mhutu!!!