kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Nimesikiliza ITV Habari saa 2.00 na habari inasema kutokana na utafiti wa Shirika la Elimu Duniani Rwanda imeweza Kuboresha elimu na idadi ya watoto 97% wapo shule na Hii imetokana na Serikali kuweka kipaumbela katika Elimu kwa mpango wao wao ELIMU KWA WOTE.
My Take
Ni vema nchi hii Tukajifunza mengi wanayofanya wenzetu wa Rwanda kwani unapoweka kipaumbele katika Elimu mambo mengine yote ufuata na naandika hivi kwa sisi kuweka kipaumbele katika kilimo na kuja na kauli ya KILIMO KWANZA huku tukijua kabisa Kilimo bila Elimu hakuna mafanikio.