Mshangazi mdogomdogo
Member
- Sep 23, 2024
- 73
- 73
Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa miezi 6 na mmoja ana umri wa miaka sita (6).
Chanzo cha tukio hilo ni wivu kwasababu mume wa Wende ana wanawake watatu ambapo inaonesha mke mdogo na wanawe ndio wanaopendwa na mume.
Siku ya tukio Julia 12 2025 mama wa watoto hao wa marehemu aliongozana na mume wao kuelekea mnadani na kuwaacha watoto nyumbani ,ndipo Wende alipotumia muda huo kutekeleza tukio hilo la mauaji.
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma limethibitisha kutokea Kwa tukio hilo na limesema linamshikilia mtuhumiwa Kwa hatua zaidi za kisheria.