RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu apata ujauzito baada ya kubakwa

Kisingizio kivipi?! Unafahamu umri wake?! Kwa sheria za Tanzania, kama darasa lake linawiana na umri wake, hapo AMEBAKWA hata kama alikuwa anavua chupi mwenyewe!! The problem mnaangalia hilo umbo kabla hamjafahamu umri wake!!!
Sijazungumzia sheria mimi .mimi nataka ukweli sio mnapost post tu humu
 
SITAKI AMINI HAYA NI MAWAZO YA GRAT THINKER...kwahiyo binamu yako akitembea na mwanao akampa mimba tuwaozeshe sio........dawa ya MAPEDOPHILES NI kuwacascate tu kuondoa mbupu zao na kuwafungia jiwe kubwa na kuwatupa baharini hata vitabu vya dini vimeongea

Mimi naongea kama mwalimu

fanya utafiti wanafunzi wa darasa la tatu kupanda. Wanafunzi wa kiume wanakuwa watulivu kuliko wanawake, Wanajali masomo, wapole, mambo ya mapenzi hawajui kabisa n.k sasa jiulize hawa watoto wa kike wanajifunza wapi haya mapenzi wakiwa watoto.

Tena utakuta wao ndo wavivu wa kazi darasani... wanafunzi wa kiume ndo wanafanya kazi hasa kuliko wanawake n.k

Kama ulishawahi kwenda girls tupu utashangaa wanaitana baby, husband, son, daddy wote ni watoto wa kike. Darasani ni kujifunza kuzungusha viuno. Huwajui watoto wa kike wewe nddo maana nasema wakifikisha miaka 12 wanakuwa MACHANGUDOA MACHIPUKIZI
 
SITAKI AMINI HAYA NI MAWAZO YA GRAT THINKER...kwahiyo binamu yako akitembea na mwanao akampa mimba tuwaozeshe sio........dawa ya MAPEDOPHILES NI kuwacascate tu kuondoa mbupu zao na kuwafungia jiwe kubwa na kuwatupa baharini hata vitabu vya dini vimeongea
Ungeainisha na kudemostrate kabisa
 
Iliripotiwa wapi kuwa kabakwa? Alishktaki kwa wazazi ama waalimu wake wa shule ama dini ay hata kwa kaka na Dada zake.

Ni wazi kama angeshtaki lazima angepelekwa Hosp na angepimwa vipimo vyote na hata angrpatiwa dawa za kuzuia huo ujauzito usitungwe.

Huyu binti ukitizama anatia huruma sana lkn mazingira ya kubakwa alikubaliana nayo ndio maana akashindwa kuliripoto hili kwa wakati. Angeripoti siku ya tukio Hali isingekuwa hivi ilivyo Leo.

Ili mtu isemekane kwamba kabakwa lazima kuwepo na ripoti inayo ripoti tukio lenyewe. Sasa amekaa miezi Minne baada ya kujulikana ndio anasema alibakwa? Kwann siku alipofanya kama hakutaka hakuripoti?


Leo nasema haya kwasabb jaman dunia imeharibika sana na hao tunaodhani ni watt sio watt kihivyo. Kuna case moja hapa mkuranga binti kapewa ujauzito na kijana kwa makubaliano alipogundua kuwa imenasa kijana akamwambia aseme amebakwa akitoka dukan jion. Ikabebwa hivyo hivyo. Yule kijana baradhuli yupo mtaani anakula maisha binti anasota na tumbo tuu. Mzazi hata kama watu wamekuambia fulan ni muhusika binti Kesha sema sio alibakwa na watu adui wajuaji. Utafanyaje? Mzazi amekaa kimya anaomba Mungu mtt azaliwe ndio amuangalie kamsadifisha nani...
Wa ushuani vs wabush. Ipo tofauti kubwa mno kati ya mjini na kijijini
 
Sasa kwanini aliyebakwa asiripoti kisa aibu?
Kuna watu wengi walibakwa udogoni wakaja kusema ukubwani hujawahi kuona mtoto anapigwa na kuogopa kusema nyumbani au anafanyiwa dhihaka na kuvumilia na wengine hufikia hatua ya kujinyonga kuepuka aibu hata oprah alibakwa na kaja kusema ukubwani tuna namna tofauti ya kupokea changamoto.
 
Kuna watu wengi walibakwa udogoni wakaja kusema ukubwani hujawahi kuona mtoto anapigwa na kuogopa kusema nyumbani au anafanyiwa dhihaka na kuvumilia na wengine hufikia hatua ya kujinyonga kuepuka aibu hata oprah alibakwa na kaja kusema ukubwani tuna namna tofauti ya kupokea changamoto.
Sasa nani mzembe apo?
 
Mkuu hebu niambie nani kathibitisha kwamba kabakwa?

Mtoto mwenyewe? Tena baada ya kuona mimba imegundulika?

Kwann hakuripoti hili siku ilipotokea? Ninaamin kabisa kwenye jamii anayeishi kuna watu anawaamini sana. Angeweza kulisemea hili the same day kisha akapata msaada.

Kukaa kimya kwake kunatia mashaka. Vipi kama hizi ni nyama za huyo alomtia mimba aseme kuwa kabakwa ili jamaa lipone mvua ya miaka 32?

Case kama hizi zimetoka sana na siku hizi ndizo tricks wanazocheza hawa watt na hao wapenzi wao.

Binti awe ukweli ili asaidike

Kubakwa lazima kungekuwa na kyripotiwa tukio. Na angeripoti angepata msaada wa Hosp pengine hata huo ujauzito usingetungika. Na pia Angekingwa dhidi ya magonjwa mengine ya zinaa na ukimwi
Hii inadhihirisha uwezo wako ulivyo katika kufikiri na kupambanua mambo
 
Sio mkubwa kiasi hicho na kubakwa ni tukio la aibu wachache huwa na nguvu ya kusema hasa kijijini ambako elimu ya kujiamini ni ndogo kifupi apewe uangalizi wa karibu ajifungue salama baada ya hapo aangaliziwe elim mbadala kama kushona cherehani au mapishi na mapambo
Wa ushuani hao ndugu, hawajui kabisa mfumo wa maisha ya kijijini
 
Kwangu mm kitoto na utu uzima na hupimwa kwa umri na maturity.

Binti huyu aseme ukweli ili asaidike. Tatizo anamficha muhusika kwa visingizio cha kubakwa alijua kwamba akisema kubakwa muhusika ni nani atasema simjui
Kwa mujibu wa maelezo ya afisa mtendaji mwalimu mkuu kasema muhusika anajulikana( katajwa na mtoto mwenyewe), kwasababu za kiupelelezi mtendaji hajamtaja ila tukio linaripotiwa polisi.
 
Au hawajapitia malezi ya watoto utagundua mengi sana ni bahati mbaya kwamba baadhi yetu tunalazimisha kila mtu awe kama sisi japo na sisi kuna wakati kuna mambo mengi tu hatuyawezi
Inasikitisha sana, kuna watu wanafikiri walivyo wao ndivyo hivyo hivyo wawe pia na wengine. Kijijini mtoto kutoa taarifa ya kubakwa ni vigumu sana kutokana na mazingira yalivyo
 
Sijazungumzia sheria mimi .mimi nataka ukweli sio mnapost post tu humu
Suala sio sheria! Suala ni kwamba, ikiwa binti ni mdogo basi anaweza kufanya maamuzi bila utashi wake mwenyewe!! Utashi ni kufahamu what's wrong and what's right. Inaaminika, and probably with scientific evidence kwamba, ni yule aliye matured enough tu ndie anaweza kufanya maamuzi huku ukifahamu consequeny ya kila anachokiamua!

Kibinti cha darasa la 3 unaweza kukiambia huwezi kupata mimba kama hujafikisha miaka 18, na chenyewe kinaweza kuamini!!

Ni kutokana na ukweli huo, ndio maana hata wewe leo hii ukiamua ukitandike kibinti kidogo, unaweza kukitandika just kwa kukipa icecream!
 
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai
iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani kuelekea nyumbani [HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]

Mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema aliipata taarifa hiyo kutoka mjumbe wa shule na kisha kumchukua pamaoja na wanafunzi wengine wanne na kuwapeleke hospitali kuwachunguza


Msameheni mbakaji kama mlivyofanya kwa babu seya ili moate umaarufu wa kisiasa
 
Hii ni ROHO MBAYA kuliko ya Paka.

Huyu amebakwa, hakuamua kuingizwa mimba deliberately.

Halafu, je akirudi darasani wewe inakupunguzia nini?

Unasema hamuwezi kusomesha mzazi, kwani ni wewe unayemsomesha kwa pesa yako ama ya baba yako?


Karibu ujibu kinagaubaga.

Mkuu, hao hawamaanishi ubaya.Si ajabu wameandika kwa hasira kutokana na "mungu" alivyokuwa anahubiri "utu wema" kwa jamii.Pole aisee! Kama umeiitikia pole yangu naomba nami unirudishie maana nagugumia maumivu.
 
Back
Top Bottom