RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu apata ujauzito baada ya kubakwa

Hilo swali lina uhusiano gani na kauli ya rais kuhusu mabinti wanaopata mimba wakiwa shuleni?
Elimu ni haki ya msingi lkn kumbuka watoto wa kike wanachangamoto nyingi . Jiulize wew leo unamtoto wa kike anasoma na kwa bahatj mbaya wakambaka je upo tayar afukuzwe shule? Acha uzuzu kwanza huyu mtoto alipenda kubakwa
 
Elimu ni haki ya msingi lkn kumbuka watoto wa kike wanachangamoto nyingi . Jiulize wew leo unamtoto wa kike anasoma na kwa bahatj mbaya wakambaka je upo tayar afukuzwe shule? Acha uzuzu kwanza huyu mtoto alipenda kubakwa

Unafahamu rais alisemaje kuhusu wanafunzi wanaopata mimba iwe kwa bahati mbaya au kubwaka? Au unajisikia kuropoka tu hapa?
 
Unafahamu rais alisemaje kuhusu wanafunzi wanaopata mimba iwe kwa bahati mbaya au kubwaka? Au unajisikia kuropoka tu hapa?
Kwanza ungekuwa unamtoto wa kike anasoma ningemtia mimba ili ujue uchungu hili jambo unalozungumzia
 
Kwanza ungekuwa unamtoto wa kike anasoma ningemtia mimba ili ujue uchungu hili jambo unalozungumzia
Nadhani hilo lengo lako ungelielekeza kwa mheshimiwa na mabinti zake kama anao wanaosoma bado. Mi haisadii kitu hata ningekuwa naye kwa sababu sera ya serikali ni kutokusomesha wazazi wanafunzi. Na aliyeleta hiyo sera ni rais wa nchi siyo mm. Kwa hiyo hasira zako zielekeze kwake, kwangu utakuwa unapoteza muda wako.
 
Hakakua na mimba...... Nahisi kalikua hakaja balehe kale..... Yani kalikua kadogo lol

Yani ukitafakari kwanini kalikua kanapenda hayo mambo Mmh mie nilikosa jibu

Wa hivo ndo anafika la 5 anaujauzito wa kubakwa yan eeehh

Jamani...... Kila mzazi ayajue majukumu yake...... Malezi jaman yanaharibu watoto.... Unamuachia mwanao simu ina mapicha ya ajabu akitoka hapo anaenda kujaribu..

Kama huyo mama..... Mwanae anaujauzito miezi mi4 eti yeye alijua ni afya mtoto kanenepa...... Ina maana hayuko karibu na mtoto wake au anajua mwanae alichokua anafanya.......
Kuna mengi mama qnayajua kuhusu mtoto wake, haiwezekani mtoto eako awe na mimba miezi minne eti hajui,
Lakini wa jirani yake wiki tatu kashajua.

Halafu mtoto wa darasa la tatu abakwe wewe kama mama usijue, au mzazi wake aaaaaah wapu hapa kuna mengi wanaficha

Na kwakumsaidia mtoto atoe tu ushirikiano,
Utakuta kashapzwa huyo binti,
Atengenezewe mazingira rafiki yasiomshtua tutajua meeeengi mnooo
 
Kuna mengi mama qnayajua kuhusu mtoto wake, haiwezekani mtoto eako awe na mimba miezi minne eti hajui,
Lakini wa jirani yake wiki tatu kashajua.

Halafu mtoto wa darasa la tatu abakwe wewe kama mama usijue, au mzazi wake aaaaaah wapu hapa kuna mengi wanaficha

Na kwakumsaidia mtoto atoe tu ushirikiano,
Utakuta kashapzwa huyo binti,
Atengenezewe mazingira rafiki yasiomshtua tutajua meeeengi mnooo
Tutasema mengi lakini huyo alikua mzoefu wa kufanya............ Sema umri tuu ndo shida
 
unajua boss katika vitu ambavyo hadi sasa nashindwa elewa ni ile mibazazi kutolewa jela baada ya reasonable doubt ilikua mibakaji,mipedophiler ila comment kama hizi naanza elewa..wenzetu hadi wanaifungiaga alarm miguuni ili isikae karibu na watoto wadogo kibongo twaweka kick mbele na kuiachia...aisee Mungu atusaidie sana aisee hiki kizazi
Posts ya kuachiwa Babu Seya na mwanae ilinibidi nizikwepe kutokana na hasira ambazo nilikuwa nazo... sikutaka kabisa kuchangia manake, cuz', I'm sure ningeongea maneno mabaya sana dhidi ya rais wa nchi. Na nilikuwa na mihasira zaidi kwa sababu hukumu ya ile kesi nilishawahi kuisoma huko nyuma... si mara moja, si mara mbili.
 
Jamani...... Kila mzazi ayajue majukumu yake...... Malezi jaman yanaharibu watoto.... Unamuachia mwanao simu ina mapicha ya ajabu akitoka hapo anaenda kujaribu..

Kama huyo mama..... Mwanae anaujauzito miezi mi4 eti yeye alijua ni afya mtoto kanenepa...... Ina maana hayuko karibu na mtoto wake au anajua mwanae alichokua anafanya.......
Hivi unaamini kabisa malezi ya mzazi peke yake yanaweza kushinda nguvu za mashetani wasiotaka kutofautisha kati ya mtoto na mtu mzima?! Hivi wewe leo hii kama hujawahi kufanya ngono na watoto wa wadogo ni kwa sababu watoto ulio karibu nao wana malezi bora kutoka kwa wazazi au ni kwa sababu unafahamu it's not right?!

Ikiwa hata hao watu wazima wanaghiribiwa kingono na hadi wameshavuliwa nguo ya ndani ndipo wanakuja kushituka; seuze mtoto mdogo ambae busara pekee aliyonayo ni ile inayotegemea mzazi/mlezi alimwambia nini...
 
Nimekosa chakuongea maana kwa udogo alionao watu wamengedua n a mimba juu.Kama mzazi nimeumia sana
 
Watoto wa sikuhz kabakwa lakn anakata kiuno kumzidi mbakaji, unatarajia nini?
 
Chuki zako binafsi na watu mkuu sio vizuri kuzitumia kama rejea ya mambo.



Namkumbuka dokta wa siasa mh. JK

Usirithi uadui, tengeneza wa kwako.

Hii kauli itafakari kwa kina mkuu.

Mahakama ni chombo cha kuthibitisha ukweli lakini sio kila hukumu yao ni ya kweli

Kesi ya hawa jamaa imegubikwa na ukakasi mwingi mkuu
" kwanza ile nyumba iliyoletwa kama ushahidi wa sehemu matukio yalipotendeka iko mtaa gani katika moja ya mikoa hapa nchin??""
Acha kusikiliza maneno ya barabarani ndugu!!! Nyumba husika ilikuwa well described, sasa wewe hayo umeyatoa wapi?! Sehemu ya ile hukumu inasema:
It all came out most an expectedly. Candy PW 1 is one of the guardians of Gift PW 2 aged seven. The latter is alleged to be one of the victims. Both live in Sinza Palestina Dar es Salaam. The alleged scene of crime is owned by the first accused House No. 607 hereinafter referred to as “607” is also in the same vicinity. Candy’s house girl is called Selina John aged 16 years old who did not testify.
Sehemu nyingine ya hukumu inasema:
The first accused person testified that he changed his names several times and the last time was after 1980 when he was renamed Nguza Vickings. That his musical fans nickname him General, Marshall, Big Sound, Maquisard but he had never heard or known someone called Baby Seya/Sea.

Regarding 607, the first accused person said that it belonged to him since 1981. That 607 was his matrimonial home where he lived with his late wife, the second to fourth accused persons his children inter alia. However, in 1998 his wife passed away. Before her death she had asked him never to remarry or live with another woman in 607. He vowed to adhere to her wish.

That since 1999 he was a playboy and had female friends. To respect his late wife’s wish he stopped living in 607 since then (1999). He moved to Kinondoni B Hombus near Sabato Church Hombus Road. He was not sure who owned that house whether Juma s/o, or Maria. Nonetheless he called Juma Msangi DW 19 to support him.

In April 2003 he again moved to another residence near Kijitonyama Police station calling Mohamed Kipasu DW 15, and Farida DW 10 to bear witness. The latter has been his fiancée for the past two years now with whom he has been living. But as will be seen in due course she was of little help.
CRT: Kipasu testified to this effect wef April 5, 2003. Unlike FaridaDW 10 who rectified that they entered that house Kipasu w.e.f. April 2002
see iv 2[94-5].
He shifted again either August or September 2003 to Sinza kwa Remmy. He did not know the house number, but the house belongs to Mama Kumekucha his DW 14. When his credibility was tested by Cross examination by the Public Prosecutor it was shaken. Farida DW 10 was of little assistance to the first accused personin respect to this as will be seen in due course.
Further description as found kwenye ile hukumu:
She even recalled the 607 by saying “I recall the home of Baby Sayer.Sea. There is a shop (container) in front of his house Yes. Yes I know the shop owner called Mangi. Yes he used to see us going with the house of Babu Sayer/Sea. Yes I recall the house of Baby Sayer/Sea and the toilet is inside. I saw a “dada” there. While the sex was going on the “dada didn’t see. I have never seen an old lady there”.

About Zizel she said “I know Zizel. I don’t know her mother. I have never seen her when ever we entered the House”. Regarding her sexual intercourse effects she said “My grandmother asked me”. “Why are you walking like that?” I said I was playing “Reddy”.
Sasa unataka kusema hizo descriptions za makazi hazifahamiki ni wapi Tanzania hii?
 
Mkuu hebu niambie nani kathibitisha kwamba kabakwa?

Mtoto mwenyewe? Tena baada ya kuona mimba imegundulika?

Kwann hakuripoti hili siku ilipotokea? Ninaamin kabisa kwenye jamii anayeishi kuna watu anawaamini sana. Angeweza kulisemea hili the same day kisha akapata msaada.

Kukaa kimya kwake kunatia mashaka. Vipi kama hizi ni nyama za huyo alomtia mimba aseme kuwa kabakwa ili jamaa lipone mvua ya miaka 32?

Case kama hizi zimetoka sana na siku hizi ndizo tricks wanazocheza hawa watt na hao wapenzi wao.

Binti awe ukweli ili asaidike

Kubakwa lazima kungekuwa na kyripotiwa tukio. Na angeripoti angepata msaada wa Hosp pengine hata huo ujauzito usingetungika. Na pia Angekingwa dhidi ya magonjwa mengine ya zinaa na ukimwi
unaongea kisheria ila si hali halisi, mtoto kama huyo kusema ilo tukio la aibu ni kazi mkuu. kama tu watu wazima hawawez mtoto anaanzaje tena drs la 3

na hata angesema nani angemuamini
 
Back
Top Bottom