RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu apata ujauzito baada ya kubakwa

Mkuu huyo mtu mbona unamshambulia hivyo...alichokisema ni msimamo wa serikali...halafu kumbuka tunamsomesha huyo mtoto kwa kodi zetu
Kuwa msimamo wa serikali haiondoi ukweli kuwa ni Uroho Mbaya kuliko ya paka.

Hii ndio itakuwa mara ya kwanza kumisuse kodi za watanzania?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa sijaelewa hoja?

Huyo akirudi kusoma wewe itakupunguzia nini?

Huwezi kusomesha mzazi, Kwani utamsomesha wewe kwa pesa yako ama ya Baba yako?
Ngoja nikupuuze... ikiwa unashindwa kuelewa hata maana ya " ", katu siwezi kuwa na uwezo wa kukuelewesha na ukaelewa!
 
Unaweza kuthibitisha kuwa sijaelewa hoja?

Huyo akirudi kusoma wewe itakupunguzia nini?

Huwezi kusomesha mzazi, Kwani utamsomesha wewe kwa pesa yako ama ya Baba yako?
Anasomeshwa kwa fedha ya serikali...hivyo ni hela ya huyo mdau na baba yake
 
Ngoja nikupuuze... ikiwa unashindwa kuelewa hata maana ya " ", katu siwezi kuwa na uwezo wa kukuelewesha na ukaelewa!
Hahaha...kupuuza is apparently illogical in this dialogue.

Hujapuuza ila umeshindwa kujibu maswali mawili niliyokuuliza.

Kuacha kusomesha Binti aliyebakwa na kushika mimba ni Roho ya kikatili.
 
Kwangu mm kitoto na utu uzima na hupimwa kwa umri na maturity.

Binti huyu aseme ukweli ili asaidike. Tatizo anamficha muhusika kwa visingizio cha kubakwa alijua kwamba akisema kubakwa muhusika ni nani atasema simjui
Excellent...!! Kati ya umri na maturity, ni ipi function of one another?! Is maturity function of age or age a function of maturity?!
 
Iliripotiwa wapi kuwa kabakwa? Alishktaki kwa wazazi ama waalimu wake wa shule ama dini ay hata kwa kaka na Dada zake.

Ni wazi kama angeshtaki lazima angepelekwa Hosp na angepimwa vipimo vyote na hata angrpatiwa dawa za kuzuia huo ujauzito usitungwe.

Huyu binti ukitizama anatia huruma sana lkn mazingira ya kubakwa alikubaliana nayo ndio maana akashindwa kuliripoto hili kwa wakati. Angeripoti siku ya tukio Hali isingekuwa hivi ilivyo Leo.

Ili mtu isemekane kwamba kabakwa lazima kuwepo na ripoti inayo ripoti tukio lenyewe. Sasa amekaa miezi Minne baada ya kujulikana ndio anasema alibakwa? Kwann siku alipofanya kama hakutaka hakuripoti?

Leo nasema haya kwasabb jaman dunia imeharibika sana na hao tunaodhani ni watt sio watt kihivyo. Kuna case moja hapa mkuranga binti kapewa ujauzito na kijana kwa makubaliano alipogundua kuwa imenasa kijana akamwambia aseme amebakwa akitoka dukan jion. Ikabebwa hivyo hivyo. Yule kijana baradhuli yupo mtaani anakula maisha binti anasota na tumbo tuu. Mzazi hata kama watu wamekuambia fulan ni muhusika binti Kesha sema sio alibakwa na watu adui wajuaji. Utafanyaje? Mzazi amekaa kimya anaomba Mungu mtt azaliwe ndio amuangalie kamsadifisha nani...
Wewe hamnazo kabisa, binti wa chini ya miaka 18 hata akikubalia yakitokea kama haya wewe ujue ulibaka. Wala utetezi wako wa kijinga kwamba alinikubalia haitasikilizwa mbele ya mahakama. Kwa ujinga wako unaona mtoto wa darasa la tatu anajua mapenzi ni nini , anajua consequences za kufanya mapenzi au wewe kama kijana mtu mzima ndiyo wa kumuongoza. Acha huyo kijana akakae jela miaka 30 iwe fundisho kwa wenye akili kama zako. Eti alikubali, hata kama alikubali so long as she is under 18 that stupid boy should be kept behind the bar for 30 years.
 
Hii ni ROHO MBAYA kuliko ya Paka.

Huyu amebakwa, hakuamua kuingizwa mimba deliberately.

Halafu, je akirudi darasani wewe inakupunguzia nini?

Unasema hamuwezi kusomesha mzazi, kwani ni wewe unayemsomesha kwa pesa yako ama ya baba yako?

Karibu ujibu kinagaubaga.
Acha kutoka povu basi. Mi nimenukuu kauli ya mh rais wetu kuhusu wanafunzi waopata mimba. Kwa hiyo punguza munkari. Mlaumu rais wako kwa kauli zake kuhusu mabinti wa shule wanaopata mimba
 
Anasomeshwa kwa fedha ya serikali...hivyo ni hela ya huyo mdau na baba yake
Okay....!

Ni kwanini mnaona ni sahihi kumzuia mwanafunzi wa kike kuendelea na masomo kisa alibakwa na kupata ujauzito?

Je kumsomesha itakuwa ni mara ya kwanza kumisuse kodi zetu?
 
Acha kutoka povu basi. Mi nimenukuu kauli ya mh rais wetu kuhusu wanafunzi waopata mimba. Kwa hiyo punguza munkari. Mlaumu rais wako kwa kauli zake kuhusu mabinti wa shule wanaopata mimba
Hahaha.....slow down !

Mimi sijatoka povu halafu kwanini unataka nimlaumu Rais pekee wakati hata wewe umesupport kuwa huyo binti aondolewe kabisa shuleni na ikiwezekana akafungwe?

Akiendelea kusoma wewe utapungukiwa na nini?

Hiyo ni roho mbaya isiyo ya Utu.
 
Hahaha...kupuuza is apparently illogical in this dialogue.

Hujapuuza ila umeshindwa kujibu maswali mawili niliyokuuliza.

Kuacha kusomesha Binti aliyebakwa na kushika mimba ni Roho ya kikatili.
Eti illogical!! In short, umekurupuka!!! Umewekewa hadi quotation mark na jina kabisa but still ukashindwa kuilewa post!!!
 
Wewe unaona ni sahihi kwa binti aliyepata mimba baada ya kubakwa kuzuiwa kuendelea na masomo?
Tuondoe hilo neno kubakwa...tuongelee mabinti kwa ujumla.ni imani yangu kuwa watu wangepiga kura juu ya uamzi huo wengi wangesema warudi kuendelea na masomo. ..na kuna mifano mingi ya walio pata ujauzito wakarudi kuendelea na masomo na hadi kufikia kufanya vzr hilo halipingiki. Ila kwa sasa swala hilo limeshachukua mkondo mwingine...hatuwezi kupinga ni msimamo wa serikali na hatuna budi kuuheshimu,wakati mwingine siyo kila unachokubaliana nacho ndio huwa msimamo wako...ni msimamo wa mkubwa wako na inabidi uufuate hata kama ni mchungu
 
Eti illogical!! In short, umekurupuka!!! Umewekewa hadi quotation mark na jina kabisa but still ukashindwa kuilewa post!!!
Nimekuuliza ni jinsi gani unaweza kujustify kutokuelewa kwangu?

Na ni kwanini hujibu maswali niliyokuuliza?

Kwanini mnamhukumu kuwa asisomeshwe kabisa huyo binti aliyepata ujauzito kwa kubakwa?

Kabla ya kueleza mengine jibu critically maswali niliyokuuliza.
 
Tuondoe hilo neno kubakwa...tuongelee mabinti kwa ujumla.ni imani yangu kuwa watu wangepiga kura juu ya uamzi huo wengi wangesema warudi kuendelea na masomo. ..na kuna mifano mingi ya walio pata ujauzito wakarudi kuendelea na masomo na hadi kufikia kufanya vzr hilo halipingiki. Ila kwa sasa swala hilo limeshachukua mkondo mwingine...hatuwezi kupinga ni msimamo wa serikali na hatuna budi kuuheshimu,wakati mwingine siyo kila unachokubaliana nacho ndio huwa msimamo wako...ni msimamo wa mkubwa wako na inabidi uufuate hata kama ni mchungu
Uzi huu unazungumzia binti aliyebakwa na kupata ujauzito, sina budi kujikita kwenye mada hii.

Kwanini unasema tuondoe neno kubakwa wakati huyu amebakwa kisha wadau wanasema asiendee kabisa na masomo tena afungwe.

Kwa kosa lipi?

Hiyo trick ya kusema nilibakwa hai-make sense huyo aweke mtu kati ale bakora mpaka amtaje jamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom