Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,593
- 23,198
Wajinga nyie
Kama mmoja wa Wabunge wenu anagalagala mbele ya Rais....akili zenu ni za kuvukia barabara na kukwepa boda tu...Ruvuma tuandamane ili tupate nn?
1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani.
2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote.
3. Lami mpaka ziwa Nyasa .