Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Viti maalum vya CCM mbona havihojiwi? Mti wa Chadema utakuwa na Matunda naona mnaupiga mawe ya kutosha. Mara ooh baada ya uchaguzi ATC sorry ACT kitakuwa ndiyo chama kikubwa cha upinzani. Kwikwiiii
kihoja ACT ndio kitakua chama cha maana cha upinzani. cdm imekua ya magamba na nyumbu wa malisho. hii ndio sababu wanasherehekea kwa shangwe kubwa ongezeko la ruzuku. i hope hawadai ongezeko la mshahara na posho siku ya kwanza bungeni.
Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.
Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.
Mkuu mbona sioni majibu ya hoja? Moleli alianza harakati lini? Yani ana nyimwa Rose Mayemba au Wolper anapewa Molel wa naniliuuu? Lini amekitumikia chama kamanda?