OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
kwa hiyo kila anayeingia chadema lazima atangaze?
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
chukua na namba yake kabisa kesho utuletee majibu yaliyonyooka
0672225623
Kwan Mollel ni kabila gan?
Mkuu wewe ndio umekuja kutoa jibu,ni Muarusha huyo ndio wenye SACOS yao hao
Watu mna chuki ...Kwani kaskazini Ni nchi nyingine
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Hata Manyara na Arusha wako mabinti wengi tu waliositisha ajira zao na kutumia fedha zao kuijenga chadema leo wanaambiwa kulikuwa na wanachama waliokuwa na "kazi maalum" ndani ya ccm ndio wanaukwaa ubunge.Kuna watu Kama Jane Pesha wamepigania chama huko Karagwe tangu 2005 CCM wanaiba kura lakini hawakati tamaa.2010 alikosa viti maalum na hakupata tamaa akaendelea.Hii 2015 alikuwa amegombea jimbo lakini kura za maoni hazikutosha ndipo akagombea viti maalum .Lakini alishirikiana bega kwa bega kufanya kampain kwa ajili ya kuhakikisha kitu cha ubunge kinachukuliwa na CHADEMA lakini Kama Kawaida dhuluma ya CCM imeendelezwa.Sasa Hawa wanaopewa kirahisi tu na kuwanyima kina Jane Pesha kwa Kweli watu watakata tamaa na CHADEMA itazidi kushutumiwa kwa upendeleo wa watu fulani.
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Mbona masimba ni ngoma ya nani? Mbona viki kamata haumsemi? hivi ile ndoa yake iliisia wapi vile ? aummejisahaulisha? by the way yule mtoto wenu wa kiarabu kwa jina la Shine bado anakaa mwananyamala kwa yule binamu yake aliyekuwa mbunge wa kilombero Abass Gulamali? au naye yuko Dubai kama wale mapacha ?
Utaratibu?Cha muhimu taratibu zilifuatwa? Na kama hazikuatwa ni wapi zilikiukwa?
.
Sijakusoma.Utaratibu?
kelele za vyura wa Lumumba haziwezi kuzuia ng'ombe kunywa Maji. Mlitaka wateuliwe mama zenu au?
Naingiaje hapa sasa?