Anaji-equip kwa kuwa USA and her/its partners wameisogelea Russia mipakani kwa kutumia nchi kama Lithuania, Estonia na Latvia zilizokuwa kwenye Soviet Union na pia huko Poland iliyokuwa kwenye Warsaw Pact. Western Powers wanaiogopa mno Russia kwani imeamka na kuchukua nafasi ya Soviet Union iliyosambaratika. Wakati Western Powers walikuwa wanashangilia kusambaratika kwa Soviet union na hivyo kuwa mwisho wa vita baridi kumbe Russia chini ya PUTIN ilikuwa inajiimarisha kijeshi kimya kimya, Western Powers wameshtuka but it is almost too late.