Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.Nguruvi3,
Mimi sishangilii vita, ninacho kwambia wewe kuwa Empire era zimepitwa, Ukraine na Russia sio Libya. Iraq na Afghanistan zimewatoa kamasi. Marekani hawezi kuwa kijibwa maji wa Myahudi akaleta ujinga wake Russia. Tena huyo Myahudi ashukuru kwa sababu anaoshindana na Putin ni Neo- Nazis wanaotaka kufanya ubaguzi. This time litajulikana la kumenya na kuchinja.
Na wewe unaekaa huko uliko kama una ki green card chako uchwara cha magendo utarudi kwenu Bongo uje kulima mahindi.
Kuna ardhi ya kutosha huku ya kukuendeshea maisha usisubiri Chadema kushika madaraka ndio urudi maana utasubiri sana. Chadema ni Antichrist entity haiwezi kushinda uchaguzi kirahisi rahisi. Kwanza kisu cha kuimaliza Chadema kiko Zanzibar na tutaichinja dakika za mwisho kikose usajili. Teh teh teh
serikali ya marekani inafirisika na inatokea,wao maranyingi huwa wanatoa order ya kuprint dollar kwa federal reserve ambayo ni private entity.hiyo bank inaprint then inaipa serikali kwa kuexchange na government bonds.na hawa jamaa wanapata kiburi cha kuchapisha noti kama hawana akili nzuri na kuonekana matajiri kwasababu pesa yao inatumika dunia nzima,siku wakianza kuachana na kutumia dollar,uchumi wa marekani unakufa ndani ya wiki moja.Propaganda ndizo zinazokufanya usiwe na mantiki katika unayoongea. Unapodai kuwa serikali ilifilisika ikashindwa kulipa watu mishahara ni kuonyesha kuwa hujui jinsi fedha za serikali ya Marekani zinavotolewa. Goverenment sutdown uliyosikia ni kuwa Bunge halikuidhinisha matumizi ya fedha siyo kuwa serikali ilikosa fedha; pesa zote zinazotumiw na serikali ya Marekani zinaidhinishwa na bunge.
Majitambo ya kudai umekaa nje ya nchi ukadahani kuwa ndiyo warrant ya kujua mambo ni wewe umeyaleta hapa. Huko ulikokaaa miaka 20 hakukusaidia kujua mambo ya dunia.
Kupigana vita siyo sifa katika dunia ya kisasa, ni kupoteza maisha ya watu bure, tena wengi waowakiwa hawana faida ya mohja kwa moja na vita hiyo kwa pande zote mbili zainazohusika. Huwa hakuna ushindi wa kivita usionedana na kupoteza maisha ya watu. Ninakushangaa wewe wakati Marekani inaingia vitani huko Iraki watu tulipiga kelele sana dhidi ya uvamizi huo pamoja na kuwa walijidai kupeleka kesi yao umoja wa mataifa; halafu eti leo taifa jingine linavamia nchi nyingine unashangilia.
Haya mzee Mr RUSSIA, wewe shangilia vita; nasikia huko kwenu hata wanamuziki wanapoimba mambo yasiyomfurahisha Mtukufu wanafungwa kimya kimya!
serikali ya marekani inafirisika na inatokea,wao maranyingi huwa wanatoa order ya kuprint dollar kwa federal reserve ambayo ni private entity.hiyo bank inaprint then inaipa serikali kwa kuexchange na government bonds.na hawa jamaa wanapata kiburi cha kuchapisha noti kama hawana akili nzuri na kuonekana matajiri kwasababu pesa yao inatumika dunia nzima,siku wakianza kuachana na kutumia dollar,uchumi wa marekani unakufa ndani ya wiki moja.
Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.
Punguza hasira, pata funda tatu za maji ya ukwaju ukiwa kitako.
Ahsante
Nguruvi3,
Mimi sishangilii vita, ninacho kwambia wewe kuwa Empire era zimepitwa, Ukraine na Russia sio Libya. Iraq na Afghanistan zimewatoa kamasi. Marekani hawezi kuwa kijibwa maji wa Myahudi akaleta ujinga wake Russia. Tena huyo Myahudi ashukuru kwa sababu anaoshindana na Putin ni Neo- Nazis wanaotaka kufanya ubaguzi. This time litajulikana la kumenya na kuchinja.
Na wewe unaekaa huko uliko kama una ki green card chako uchwara cha magendo utarudi kwenu Bongo uje kulima mahindi.
Kuna ardhi ya kutosha huku ya kukuendeshea maisha usisubiri Chadema kushika madaraka ndio urudi maana utasubiri sana. Chadema ni Antichrist entity haiwezi kushinda uchaguzi kirahisi rahisi. Kwanza kisu cha kuimaliza Chadema kiko Zanzibar na tutaichinja dakika za mwisho kikose usajili. Teh teh teh
Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.
Punguza hasira, pata funda tatu za maji ya ukwaju ukiwa kitako.
Ahsante
second phase of Russian invansion of ukraine may well be underway.i dont see Russia attacking Ukreine for real,it is just a kind of cool war not cold war