Russian invasion on Crimea is underway

Russian invasion on Crimea is underway

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
40,343
Reaction score
33,487
Kumekucha huko ukraine,baada ya mapinduzi yalimwondoa rais wa ukraine wiki iliyopita,mambo si mambo tena,kwani hatari ya janga hili kugeuka vita ya dunia ni kubwa.vikosi vya russia vinazidi kumiminika huko cremea licha ya marekani na EU kutoa matamko makali dhidi ya hatua hiyo.
STAYTUNED.
 
hakuna kitu kama hicho marekani hawezi kuingia vitani na russia kisa ukrain tukumbuke vile vita vya gorgia kipindi kile bush alikua madarakani alichimba mkwara hivyo hivyo lakini comandoo v.putin hakuhofia mkwara wowote mzee akaingia gorgia akawaadabisha kisha akarudi hom tena kipindi kile alikua wazir mkuu,puting sikuzote aogopi nyau ilimradi maslahi yao yasiharibiwe tu the same to us,
 
russia keep going. kupinduliwa kwa uongozi kiev ni hila za wamagharibi kuendelea kudhoofisha urusi lakini watashindwa.
 
Putin seeks Ukraine troop deployment

President Putin asks Russian parliament's upper house to approve use of Russian troops in Ukraine

Here we go again

Source: BBC
 
Nchi za magharibi zime instigate machafuko huko Ukraine.
Mapinduzi yaliyofanyika waliyasapoti na kuchekelea kwenye TV zao.
Sasa mwanaume Putin anataka kumfunge kengele nyau.

Putin anajifariji tu, nchi za magharibi ni wajanja sana kwa kupiga propaganda za siasa wakikuchukia wao ukiwa Rais wa nchi fulani utashangaa hata raia wako wanakuchukia
 
Nimeipata hii cnn!!
[Breaking News Update 9:22 a.m. ET]
(CNN) -- Russian President Vladimir Putin asked the upper
house of parliament to send Russian troops into Ukraine's
Crimea region to normalize the political situation there, the
Kremlin said Saturday. Due to the "extraordinary situation on
Ukraine," Putin said, there are threats to the lives of Russian
citizens and Russian military personnel based in the Crimean
region
 
Lets hope hii conflict isiende nuclear

Kama vp tunaweza kuanza kukusanya chakula na kutafuta chimbo huko milimani

Worst scenerio nuclear confrotation between russia and Nato

n
 
Putin seeks Ukraine troop deployment

President Putin asks Russian parliament's upper house to approve use of Russian troops in Ukraine

Here we go again

Source: BBC
bunge la russia limeshampa ok putin apeleke jeshi ukraine.

Vilevile wanataka russia imuite balozi wake kutoka marekani.
Mambo yanazidi kuwa mambo as the time gooseby.
 
russia keep going. kupinduliwa kwa uongozi kiev ni hila za wamagharibi kuendelea kudhoofisha urusi lakini watashindwa.
nchi za magharibi walichukia sana pale ukraine walipoamua kuelemea russia badala ya kujiunga na EU.

Walitegea hadi russia wako busy na michezo ya olimpic kule sochi ndo wakaincite uprising iliyomtoa rais wa ukraine.
Putin alikua ameisoma move yote na akaonya mataifa ya nje yasijiingize ukraine,baada ya mapinduzi ndo putin kaamua kuichukua crimea,kinachofuata?
 
Kwa mwaka jana putin ndo alikuwa na nguvu zaidi kwa kuzuia siria isivamiwe....mwaka huu tena putin anaonyesha makucha yake huko ukraine...tusubiri tuone
 
Putin anajifariji tu, nchi za magharibi ni wajanja sana kwa kupiga propaganda za siasa wakikuchukia wao ukiwa Rais wa nchi fulani utashangaa hata raia wako wanakuchukia

Mkuu wewe huwafahamu Warusi.
They can be pig headed hasa wakati huu ambapo nchi za magharibi zimecheza rafu kando mwa nchi yake.
If anything to go by, Georgia ilibomondwa bila West kufanya lolote.

Katika hili licha ya Urusi kuahidi kuisaidia Ukraine wakaamua kumpindua rais kwa msaada wa West,

Ukraine ndo inavunjika hivo , Urusi imeamua kuisaidia Crimea,yenye warusi wengi.

Warusi ukiwachokoza tegemea kiburi, na West wameipata sasa.
Katika hili the west can only watch and they will do NOTHING.
 
Zamani Shuleni tulikuwa tunaita ngumi za Majeba...
 
Akili ya Putin ni ya kizamani sana. Ni mmoja wa wale wanaojaribu kuandika historia ya zamani upya badala ya kuwa anafanya kazi ya kuweka historia mpya. Mgogoro huu ni mdogo sana lakini unaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa dunia ya leo kutokana na ubongo wa Putin kama ilivyokuwa kwamba vita ya pili ya dunia ilisababishwa na ubongo wa Hitler kutaka kuandika upya historia ya zamani kuhusu himaya ya ujerumani.
 
Kwa mwaka jana putin ndo alikuwa na nguvu zaidi kwa kuzuia siria isivamiwe....mwaka huu tena putin anaonyesha makucha yake huko ukraine...tusubiri tuone
Putin anaweza kuwa anatumia mwanya uliopo kwenye political system ya Marekani kuhusu mgawanyiko wa Republican na Democrats; ila itakapofika kuwa enough is enough na jamaa wakawa Marekani moja kama ilivyokuwa 9/11 utashangaa kuona mabavu ya Marekani dhidi ya Putin na wafuasi wake. Cold War iliyokwishwa zaidi miaka 20 iliiypita na kuacxha superpower mmoja haiwezi kurudi tena leo. Sehemu kubwa sana ya teknolojia inayotumiwa na urusi leo imetoka marekani, na vile vile uchumi wote wa urusi leo unategema sana gesi wanayouza kwenye nchi za NATO.
 
Urusi ana hali mbaya kiuchumi lakini ana silaha za kutosha kuangamiza dunia.na ndio mtaji wake uliobaki,ndio maana kila siku haishi chokoza chokoza,wamarekani na uingereza wanalijua hilo.ndio maana hawana haraka nae maana wanajua hata wakiingia vitani,ni wao ndio watapoteza yeye mrusi alishapoteza zamani sana.
 
hakuna kitu kama hicho marekani hawezi kuingia vitani na russia kisa ukrain tukumbuke vile vita vya gorgia kipindi kile bush alikua madarakani alichimba mkwara hivyo hivyo lakini comandoo v.putin hakuhofia mkwara wowote mzee akaingia gorgia akawaadabisha kisha akarudi hom tena kipindi kile alikua wazir mkuu,puting sikuzote aogopi nyau ilimradi maslahi yao yasiharibiwe tu the same to us,
Kuna angle nyingine ya kuangalia. Ukrain ilikuwa ndiyo ngao ya urusi wakati wa cold war.

Kijeshi wapo fiti na wapo kama milioni 30 ukiondoa warusi, kuna tartars na NATO wakati Georgia ni kama mil 8 kama sikosei. Ukraine anaweza kuzichapa na rUSSIA, kwa muda mrefu tu.
 
we wape matumaini tu hao wa ukrain waone,
 
Back
Top Bottom