Russia yasema vitendo vya marekani ni vya kishetani

Russia yasema vitendo vya marekani ni vya kishetani

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Waziri Mkuu wa Russia, Dimitry Medvedev, amelaani vikwazo vipya vya Marekani na waitifaki wake wa Ulaya na kuitaja hatua hiyo kuwa ni ya ‘kishetani’. Medvedev amesema Russia haitopigishwa magoti na Wamagharibi na amesisitiza kuwa serikali ya Moscow itaendelea kulinda na kutetea maslahi yake kote duniani.
 
warusi walichokifanya Ukraine hakikubaliki kimataifa wanahitaji vikwazo zaidi. New world order inahitajika ili kuondokana na ubabe wa mataifa makubwa dhidi ya manyonge. Tuwe wakweli. Ukraine is a sovereign state. iweje Russia watumie ubabe wao na wanachukua ardhi ya crimea kwa ubabe, hali wakijua hakuna atakae weza kuwazuia . its unfair. Wanahitaji kulaaniwa duniani.
Tatizo jingine linalojitokeza China namba 2 kwa uchumi duniani na Russia hazilaumiani zinapofanya U-bully kwa mataifa madogo. kwakuwa zote zina migogoro ya ardhi na mipaka ya muda mrefu na zinaepuka nguvu ya marekani kwa kutoonyesha tofauti zao hadharani. hivyo zinakaa kimya kamavile hakuna kilichotokea. Na huu ni unafiki. zinajua zikialaumiana US itapata nguvu ya kuwagawa na kuwatawala, hivyo dawa ni wao kukaa kimya tu na kuendeleza urafiki wao wenye mashaka. Na ni kwakuwa US inaisapoti Japan dhidi ya Russia na CHina, Taiwan(nchi ambayo China wanasema ni sehemu yao) inaisapoti US. China imechukua visiwa vya nchi kadhaa ikiwemo mipaka kati yake na India
Russia imechukua Crimea, Ardhi ya china , na ardhi ya Japan kwa ubabe!!
 
Marekani ongeza vikwazo kwa urusi,umoja wa ulaya weka vikwazo zaidi. Muwekeeni putin vikwazo vya kutokanyaga ulaya na mfrizi mali zake zote. Naipenda marekani.
 
Hayo masula ya kuuita ukraine sovereign state mbona marekani na washirika wake waliunda state ya israel katika nchi ya palestine kibabe...je palestine haikuwa sovereign state kabla ya mwaka 1948...tuache ushabiki, upenzi na unafki ..anachokifanya russia tena bora yeye crimea walipiga kura hao israel wanafanya ubabe huo palestine wa kuongeza mipaka mbona hawawekewi vikwazo au wamekuwa wakina nani
 
Back
Top Bottom