Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kuna wale madogo niliwaambia crotia kamtoa england kwa bahat na kukosa uzoefu walinishambulia sana nikawaambia crotia anakufa kiurahisi sana niliona jinsi mabek wa crotia walivyokimbizwa na sterling

Wakajidai wanajua mpira yako wapi?
 
Sana alishahamishia ofisi Russia
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Asante, rais wa Croatia amenponza!
 
Hapana aisee siyo kweli labda kwa mbinde na makosa sana kwa upande wa Ufaransa. Wiki mbili iliyopita nilisema hivi Russia World Cup 2018 Special Thread
halafu baadaye nikafanya marekebisho haya Russia World Cup 2018 Special Thread

Kwa sasa hivi sioni mabadiliko tena; bado kombe linaenda Ufaransa
Matokeo ya leo pia hayakunishangaza kabisa; niliyaona siku nyingi sana zilizopita ilikuwa ni swala la time tu. Croatio leo ilionekana kutawala mchezo kutokana na uzembe wa midfieled ya Ufaransa, na vile vuile defense ya ufaransa haikuwa katika ubora wake. lakini Fowardline ya Ufaransa bado ilibaki kuwa sharp sana.
 
Kwa majaliwa tutaonana 2012 labda na timu ya Tanzania wakati huo ikiwa imebatizwa na kuitwa HAPA KAZI TU nayo itashiriki!. Kwaherini wapenzi wote wa WORLD CUP mlioshiriki katika thread hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom